Back to Kayumba Schools Campaign (Making Kayumba Schools Great Again) MAKASGA Camapign

Kweli kabisa.
 
mm huwa napenda kuangalia vipindi vya shule vile vinavyorushwa kwenye tv. kwakweli ukiona watoto wa kayumba wanavyoulizwa maswali na majibu yao huwezi kufanya maamuzi kama haya labda km hauna uwezo inaeleweka.
Hiyo ni propaganda tu mkuu wala usiogope
 
Nilitaka kucoment haya uliyoyaandika, lakini nikaona bora nipitie comments za wenzangu kwanza niepuke duplication.
 
Mkuu cha kuzingatia ni tuition tu,tafuta mwalimu mmoja ambae ni kichwa kwenye english na hesabu,awe anawabrush kila siku hata kwa masaa mawili tu,ukimpa laki kwa mwezi hawez ikataa
Laki kwa mwezi, masaa mawili halafu mwalimu kichwa? Labda walimu wa serikalini, au wasome kama kundi (si one-on-one) plus, mwalimu awe average.
Walimu wazuri wako busy sana.
Walimu wa primary private schools wanchaji 10,000+ kwa risali.
 
Mbona hesabu ndogo sana hiyo. Hiyo pesa ambayo alikuwa haitoi ada maana yake ni kwamba alikuwa anaizungusha kwenye biashara.


Kuhusu kujenga huko Chanika kuna viwanja hadi vya milioni 2 na ukiwa na milioni 25 unajenga nyumba safi kabisa.

Tatizo hamsalimii watu

makwega7
 
Hizo English medium kuna watanzania wenzako wameajiriwa huko na wanaendesha maisha yao na kuhudumia familia zao.

Kampeni na ushuhuda huu si afya Kwa taifa.
Mafundi nyumba pia nao wasinge pata kazi za ujenzi kutoka kwake, lakini bank pia zimepata kuaminiwa na jamaa kaweka 8m bank, dukani wameuza pia TV na mafundi cherehani nao wameshona uniforms za watoto wake; mwamba kazungusha pesa kwa wengine as well
 
English Mediums hizi hizi?

Waalimu wenyewe hawana exposure
 
Mafundi nyumba pia nao wasinge pata kazi za ujenzi kutoka kwake, lakini bank pia zimepata kuaminiwa na jamaa kaweka 8m bank, dukani wameuza pia TV na mafundi cherehani nao wameshona uniforms za watoto wake; mwamba kazungusha pesa kwa wengine as well
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bonge la Come Back
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…