Back to Kayumba Schools Campaign (Making Kayumba Schools Great Again) MAKASGA Camapign

Laki kwa mwezi, masaa mawili halafu mwalimu kichwa? Labda walimu wa serikalini, au wasome kama kundi (si one-on-one) plus, mwalimu awe average.
Walimu wazuri wako busy sana.
Walimu wa primary private schools wanchaji 10,000+ kwa risali.
Hata serikalin wapo walimu zuri sana,
 
Baba zao si tumesoma shule hizo za Kiswahili? Wasomi wote unao waona sasa hvi ni products za saint Kayumba, hizo shule za saints watakatifu zimeanza katikati ya miaka ya 90, kwenye system hawapo wengi kiviile so what do u mean kwamba sijui Kingereza?
 
Kupanga ni kuchagua,kama unaishi kwenye miji mikubwa sikushauri upeleke watoto huko,
 
Nakuunga mkono,mimi hizi shule zilichangia pa kubwa sana kunichomea pesa zangu,bahati nzuri wa mwisho alifaulu form 4 akachaguliwa special school nikampeleka huko,mwaka kesho anamaliza form 6,no ada na anafanya vizuri sana...
 
Baba zao si tumesoma shule hizo za Kiswahili? Wasomi wote unao waona sasa hvi no products za saint Kayumba, hizo shule za saints watakatifu zimeanza katikati ya miaka ya 90, kwenye system hawapo wengi kiviile so what do u mean kwamba sijui Kingereza?
Hawa wasomi wa phd wanaosema waliokotwa. Jaalalani? Umeshawahi kuona integrity level ya mtu wa phd huko first class world?
Saint Kayumba zinazalisha wasomu wa kukariri ndo maana hata sindano hatuvumbui.
 
Hizi shule za kina Junior ukicheza nazo zinakufirisi kimya kimya.

Unakuwa unazitafutia ada tu. Mambo mengine ya muhimu yanasimama
Alafu cha maana hakuna zaidi ya mtoto kuzungumza lugha ya watu,
Angalau zingekua na mtaala wa fani tofauti tofauti ama fani moja ingekua ni shule yenye ulazima ,mfano mechanics,umeme wa viwanda na majumbani,serenala,uashi na kadhalika .
lakini bado mitaala inafundisha kuwa mtegemezi hazina maana yoyote,
 
English Mediums hizi hizi?

Waalimu wenyewe hawana exposure
Labda EM zipi mkuu?
Za uchochoroni sawa lakini peleka mtoto zile za maana,ana gain vitu vingi sana kuanzia arts, technological advanced,tour nyingi zinazowajenga n.k
Sasa kama Kuna zinazompeleka mtoto mpaka nje,mambugani,na kila kitu unategemea exposure ya huyu mtoto itakua sawa na kayumba ambaye anakuja kujifunza chuo ama akiwa kazini/kaanza maisha.

Walosoma EM wametupita sana,ni vile TU tumekutana nao chuo class moja na kua mabest kibinadamu.Ila uhalisi wanakiangalia kitu kwa tathmini kubwa sana.
Hebu ona wanavyo buni ma-NGO'S,market company zinazofanya kazi na govt na makampuni makubwa.
Hebu ona jicho la fursa kwao lilivyo kubwa.
Wewe wajifunza kufungua company,wao wanafanya simple TU.

Nimeona,Nina hao marafiki yani jambo gumu kwa sisi wa kayumba wao ni simple sana hasa technology za Computer/IT,Magari,design,market,fursa,service company like security,sub-contractor, Accountant company,Law firms,big event preparations, consultant company ktk nyanja mbalimbalin.k
Hivi vitu sisi tunachukulia poa lakini wenzetu wamepata-exposure hizo na Zina run maisha Yao fresh sana
 
Hawa wasomi wa phd wanaosema waliokotwa. Jaalalani? Umeshawahi kuona integrity level ya mtu wa phd huko first class world?
Saint Kayumba zinazalisha wasomu wa kukariri ndo maana hata sindano hatuvumbui.
Kama nakuelewa vizuri ni kwamba, in recently years tutaanza kubuni vitu vyetu cause saint saints zime produce products za kutosha na zipo mtaani by now, right? Tutaanza kua na magari yetu nk.
 
Kama nakuelewa vizuri ni kwamba, in recently years tutaanza kubuni vitu vyetu cause saint saints zime produce products za kutosha na zipo mtaani by now, right? Tutaanza kua na magari yetu nk.
Haipo hivyo japo umeongea kwa kejeli.
English medium schools are there kupunguza damage kwenye already damaged education structure ya kumfundisha mtoto masomo kwa kiswahili ambacho. Kina limitation kadhaa
Ni. Kama vile mgonjwa wa kisukari anapoambiwa asitumie vyakula vya wanga, haimaanishi kuwa atapona kisukari , bali anapunguza madhara tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…