Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100% Fact.Ni kupoteza pesa tu, wanaosoma kwenye hizo shule hawana ubunifu wowote, ni sawa na kuku broiler vs kuku wa kienyeji.
Kama pesa ipo, peleka mtoto kayumba mpaka kidato cha nne, baada ya hapo kamlipie kozi ya urubani na nyinginezo unazoona zinafaa; lakini kutumia gharama kubwa kwa ajili ya kwenda kujifunza a for apple ni kupoteza pesa.
A for Apple.🤣🤣🤣Ni kupoteza pesa tu, wanaosoma kwenye hizo shule hawana ubunifu wowote, ni sawa na kuku broiler vs kuku wa kienyeji.
Kama pesa ipo, peleka mtoto kayumba mpaka kidato cha nne, baada ya hapo kamlipie kozi ya urubani na nyinginezo unazoona zinafaa; lakini kutumia gharama kubwa kwa ajili ya kwenda kujifunza a for apple ni kupoteza pesa.
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻Nimesoma shule za serikali tupu, tena za viwango vya chini.
Nimekutana na watu wamesoma shule tofauti wengine seminary, wengine private, wengine kayumba wengine shule za serikali za vipaji. Nimechagua wanangu nikijaaliwa kuwa nao watasoma private.
Classmates wangu na collegemates wangu waliofanikiwa ni waliotoka private schools zaidi.
Mtu ametokea shule aliyokuwa anabeba mavi ya ng'ombe kupanda migomba ya mwalimu awe na future career sawasawa na mtu alikuwa anapelekwa tour kutembelea airport control tower au engine room ya meli?
Hunidanganyi kitu nimeona kwa experience mwenyewe. Kama vipi twende shule ya msingi Mchikichini nikuonyeshe sehemu ya mapumziko ya wanafunzi ambapo wana-share na wavuta bangi wa mabondeni kule.
It's u'r choice.Ni kweli shule za private ni hard na za kayumba ni hard so choose your hard . Uncle alipeleka wanae wote private ila mpaka sasa wamempa maumivi million na ushenzi mmoja alipofika six kaolewa na mzungu, mwingine kaenda kwa bwana , mwingine kaenda nae hivyo last kapull off wote pesa zimepotea na hana kitu
wanakutana wapi, wakati kila mtu anaenda shule yake? wenye A utawakuta Benjamin wakat wenye C utawakuta kerezange secondaryMwenye C na mwenye A wote mwakani wanakutana kidato cha kwanza.
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Kama gearbox ni mbovu gari haitaweza kuondoka hata hatua moja. Weka gearbox ya EM kisha ukifika kilometa kadhaa weka gearbox yako ya Kayumba gari litaondoka vizuri kwani vifaa vingine vitakuwa vinafanya kazi ipasavyo. Wamefanya vizuri kwasababu walipata msingi bora kutoka EMs.Za kuambiwa, CHANGANYA na zako!
Sio kweliKama gearbox ni mbovu gari haitaweza kuondoka hata hatua moja. Weka gearbox ya EM kisha ukifika kilometa kadhaa weka gearbox yako ya Kayumba gari litaondoka vizuri kwani vifaa vingine vitakuwa vinafanya kazi ipasavyo. Wamefanya vizuri kwasababu walipata msingi bora kutoka EMs.
Anauza kiwanja cha Urithi ili akalipie English Medium School?Jamaa alikuwa so much dis appointed . Nakumbuka wakati wa Corona aliwahi niuzia kiwanja kwa bei ya Chanika halafu hela yote akaenda kulipa ada shuleni. Sehemu yenyewe aliyoniuzia kiwanja ni very potential area. Japo kiwanja sio chake ni cha urithi but aliniuzia kwa bei ya chini.
Tena Nursery na Primary haina impact kama watu wanavyodhani its just a bussness like Other bussness.Hata hivyo hakuna umuhimu wowote wa wewe kulipa hela yote hiyo kwa ajili ya Elimu ya msingi ya mtoto.
Wewe pia ni mwathrika wa hizi misconception.My friend umeongea vizuri, Ila tatizo shule za kayumba hazina kiingereza kizuri, kiingereza ni kiswahili Cha Dunia, mafanikio yako kwenye connection na Dunia, connection na Dunia inahitaji ufasaha wa lugha ya mawasiliano, kwa hiyo issue siyo C au A ya ukweli au ya magumashi. Issue ni presentation ya hizo objective zako kupitia kiswahili Cha Dunia kwa wenye hela, japo Sina hela , lakini kwa kulitambua Hilo natamani sana kupeleka mtoto EM ili aka adapt kwa ufasaha lugha ya Dunia, maisha yako Duniani ukijiattach na Dunia
PGM,PCM,PCB,kwa advance shule nzuri kwa level hii na kombi hizo ni za SERIKALI,fanya research utaniambiaUshauri wangu kwa wazazi; mtoto akiwa Primary School asome kayumba alafu akienda form one mpaka form four asome shule ya Private inayoeleweka matokeo yake then form five kama atasoma PCM PCB PGM aende private ila kama atasoma kombi za arts aende government
Sawa kama ni hvyo basi tuwapekeke advance za government wote wa Arts na SciencePGM,PCM,PCB,kwa advance shule nzuri kwa level hii na kombi hizo ni za SERIKALI,fanya research utaniambia
Hata mimi nilichukua uamzi huu. Masela wangu wananipongeza kila siku jinsi nilivyowazidi kete.Ushauri wangu kwa wazazi; mtoto akiwa Primary School asome kayumba alafu akienda form one mpaka form four asome shule ya Private inayoeleweka matokeo yake then form five kama atasoma PCM PCB PGM aende private ila kama atasoma kombi za arts aende government