Back to Kayumba Schools Campaign (Making Kayumba Schools Great Again) MAKASGA Camapign

mimi mwenzenu wa kwangu niliona ni ana akili ya wastani toka msingi. nimeona aendelee kusoma kayumba na sekondari atasoma kayumba. pia nimemwandikisha dojo anacheza michezo boxing na karate
. akimaliza f4 aende jeshini anaingia na fani ya ngumi.
Safi sana mkuu. Wewe ni moja kati ya watanzania wachache sana wanao jielewa.
 
Hii nayo pointi...mimi sipingi watu kupeleka watoto wao huko. Ila nashauri watu wasijiforce kama hawana uwezo.

Nina Marafiki wengi wameliwa pesa, wana mkopo balaa.
At the end anachoambulia mtoto ni kingereza kizuri tu nothing else.

Watoto wa vigogo wanafanikiwa sio kwa sababu wamesoma EMS bali wao hawa wasipoenda huko tayari wana Garantee ya Maisha mazuri.

Mfano Mo Dewj amesoma Tanganyuka IS na Marekani.

Yeye hata bila kupita huko tayari ana mafanikio ya ukoo.
Hawa wanao force ndiyo wanasababisha hizo shule kushuka viwango sababu wanaongeza demand na kupelekea watu waone fursa na kuanza ku recruit waalimu wasio na uwezo
 
mimi mwenzenu wa kwangu niliona ni ana akili ya wastani toka msingi. nimeona aendelee kusoma kayumba na sekondari atasoma kayumba. pia nimemwandikisha dojo anacheza michezo boxing na karate
. akimaliza f4 aende jeshini anaingia na fani ya ngumi.
Dah....sio mbaya kama mzazi umefikiria mbali
 
Anauza kiwanja cha Urithi ili akalipie English Medium School?

Haoni kama anajiforce na uwezo huo hana?

I can asure You hakuna Mtu anatoa pesa mfukoni mwake akaenda juzitupa huko Expensive schools.

Mfano halisi nimesoma na Feza chool boys and girls, Marian girls and the Likes.......majority ni hawa wala pesa zetu za Kodi.

Sasa kama wewe ni kajamba nani ukaiga Utakufa kwa stress na mikopo.

Mwisho wa siku ingawa sio wote all of the graduates has nothing more to show that benefits and value the money spent.

Wakimaliza Vyuo wote tunazunguka na Bahasha. Zile wanazosema sijui exposure na connection is just a Myth.

Kuna watu wataniambia nina Wivu au Sina hela😅😅

Umeongea ukweli mtupu mkuu.
 
Wafaransa,wachina etl siyo levels zetu ,wao wanaindustries na commodities za kunadi lugha zao na bidhaa zao,( complimentary,joint demand,composite demand)iwe isiwe lazima uhitaji commodity ya huyo mchina,mfaransa nk,automatically ili uwe efficient lazima ujifunze lugha yake,kinyume na sisi watz,tuna export commodity ipi ya kuiattach na kiswahili ili kusudi hao wachina,wafaransa nk waone umuhimu wa kukipenda kiswahili,kimsingi mtoto ukimnyima lugha ya Dunia,umemtengenezea ukuta,wa kuzunguka hapa hapa nchini
Kama hii ndio hoja yako kwanini badala ya kuwakazania kwenye kiingereza tusijikite katika kuwafundisha kuwa wabunifu ili wabuni vitu ambavyo vitawafanya watu wa mataifa mengine walazimike kujua kiswahili?
 
Hata mimi nilichukua uamzi huu. Masela wangu wananipongeza kila siku jinsi nilivyowazidi kete.

Unatema mshahara wako wote kulipia Nursery utakuwa huna akili.

Wacha walamba asali wafanye na kama una mpunga wa kutosha sawa. Ila kama unauza viwanja vya urithi na kuingia mikopo wewe ni Limbukeni tu.
Kabisa mkuu na ndicho watu wengi wanacho kifanya wanajistres bure
 
wanakutana wapi, wakati kila mtu anaenda shule yake? wenye A utawakuta Benjamin wakat wenye C utawakuta kerezange secondary
Sio kweli mkuu hutegemeana na kata aliyopo mtoto. Kama unaishi kwa mfano kata ya Makongo utapelekwa shule zilizopo kata ya Makongo. Wanacho kifanya walimu ni kuwapangia mikondo kulingana performance yao.
 
Ni braza moja kati ya wasomi wa kitaani kwetu. He was born in 1980. He is 5 years older than me. Darasani alikuwa very smart. Ni wale the cream wa Azania wa Enzi hizo.

To cut story short. Jamaa alikuwa mtumwa mwaminifu wa Shule za Ems. Amepunwa ile kinoma Noma. Kwanza Watoto wawili wa kwanza . Hawa aliendelea kupunwa hadi seco kawapeleka shule wanalipa ada tu milioni 6. Dogo wa kiume kamaliza form four kagoma kwenda Advance kasema anataka kwenda college. Kozi Aliyo ichagua sasa " PROCUREMENT ". Ule utoto aliokuwa anamwambia baba ake alipokuwa primary " Daddy I want to be a pilot, lawyer, Doctor or Engineer blah blah blah" ukawa ume evaporate.

Jamaa alikuwa so much dis appointed . Nakumbuka wakati wa Corona aliwahi niuzia kiwanja kwa bei ya Chanika halafu hela yote akaenda kulipa ada shuleni. Sehemu yenyewe aliyoniuzia kiwanja ni very potential area. Japo kiwanja sio chake ni cha urithi but aliniuzia kwa bei ya chini.

Mwaka mmoja baadae akataka nimtafutie mteja amuuzie kiwanja chake kingine alipe ada za watoto.

Nikamkalisha chini nikampa somo kuhusu shule za Kayumba. Nikamwambia warudishe wanao Kayumba. Watoto watatu sio poa. Mapacha wawili wa kike plus mdogo wa mwisho, kwa kipato chako sio kweli bro. Hata hivyo hakuna umuhimu wowote wa wewe kulipa hela yote hiyo kwa ajili ya Elimu ya msingi ya mtoto.

Toa watoto wako Em walete Kayumba. Mbona Mimi nimewatoa na wako poa tu.

Jamaa akawa inspired na ushauri wangu. Akawatoa watoto wake wote watatu Ems akawaleta Kayumba. Hao mapacha wawili ndio wamefaulu wamepata A zote na mdogo wao anafanya vizuri sana shuleni.

Jamaa kuandika gazeti refu sana ananishukuru mdogo wake kwa ushauri ambao pia umemsaidia kusave pesa na kuinvest kwenye mambo mengine.

Comments za wadau sasa. Kuna comments za watu kama sita ambao nao pia waliwatoa watoto wao Ems wakawaleta Kayumba. Wadau hao wanasema walikuwa inspired na Mimi. Baada ya kuona hadi Mimi nimewarudisha watoto wangu Kayumba. ( Aina ya maisha ninayo ishi na vitu ninavyo vimiliki ambavyo watu wa mtaani kwetu wanavijua, wanaona watoto wangu hawastahili kusoma Kayumba. Mimi kuwapeleka watoto wangu Kayumba ni jambo linalo tengeneza sentensi " kama Likud kawatoa watoto wake Kayumba Mimi nani)

Wengi walio watoa watoto wao Ems na kuwaleta Kayumba wanashukuru sana na wanajilaumu kwanini hawakufanya hivyo mapema.

Hata wewe mzazi unae jistress kulipia mamilioni kwenye shule za Ems wacha mara moja. Haraka sana kimbia kawatoe watoto wako EMS walete Kayumba. Huna sababu yoyote ile ya kujistress kulipa mamilioni huko EMs . N real sense,Shule za Ems hazina umuhimu wala UPEKEE wa aina yoyote ile. Umuhimu na upekee huo umetengenezwa na Wamiliki wa shule za Ems ili waendelee kukupuna.

Mtu muhimu kuliko wote kwenye shule hizo ni wewe mzazi kwa sababu wewe ndo unaelipa ada na ndio sababu kuu kwanini mmimiki kaanzisha shule hiyo.

Kilaza atasema " Likud huna hela "

Situmii hela hovyo kwa sababu ninazo.

Enyi wazazi ambao watoto wenu wamefanya vizuri kwenye shule za Kayumba enyi wazazi ambao mliwatoa watoto wenu Ems na kuwaleta Kayumba na wamefanya vizuri,acheni ubinafsi. Hakikisheni mnashare hizo information kwa watu wengi iwezekanavyo ili kuwatoa usingizini wazazi ambao bado wamelala. Wazazi ambao wana jistress kulipa mamilioni kwenye shule za Ems

Mimi mapema sana. Siwezi umiza pesa kishamba hivyoo!
 
Mimi mwenzenu wa kwangu niliona ni ana akili ya wastani toka msingi. Nimeona aendelee kusoma kayumba na sekondari atasoma kayumba. Pia nimemwandikisha dojo anacheza michezo boxing na karate
Akimaliza f4 aende jeshini anaingia na fani ya ngumi.
haha umenichekesha sana 🤣🤣🤣
sema nimekukubali umeangalia mbali. ngoja nikopi mbinu yako maana mtoto wangu nimeiangalia sioni intelligent pipo naona kilaza. mama yake ati alitaka nipeleke shule ya english medium baada ya kupata kibarua gulf. nikamuambia wacha usenge. by the way wote mwisho wa siku wanakuja kufanana mbeleni kwenye kusaka ajira. na hawa wa medium wanakua mandezi wengi hawana ile kujitafutia spirit.
kama una mapesa ni kumpeleka mitaala ya international baccalaureate huko
 
Sio kweli mkuu hutegemeana na kata aliyopo mtoto. Kama unaishi kwa mfano kata ya Makongo utapelekwa shule zilizopo kata ya Makongo. Wanacho kifanya walimu ni kuwapangia mikondo kulingana performance yao.
sio kweli, mkuu wanaangalia ufaulu, Kibasila, Benjamini na zingine hawapokei c flat
 
My friend umeongea vizuri, Ila tatizo shule za kayumba hazina kiingereza kizuri, kiingereza ni kiswahili Cha Dunia, mafanikio yako kwenye connection na Dunia, connection na Dunia inahitaji ufasaha wa lugha ya mawasiliano, kwa hiyo issue siyo C au A ya ukweli au ya magumashi. Issue ni presentation ya hizo objective zako kupitia kiswahili Cha Dunia kwa wenye hela, japo Sina hela , lakini kwa kulitambua Hilo natamani sana kupeleka mtoto EM ili aka adapt kwa ufasaha lugha ya Dunia, maisha yako Duniani ukijiattach na Dunia

Cha ajabu ni kwamba huko EMs watoto wanafundishwa na walimu ambao : 👇👇👇
1. Sio waingereza.

2. Kiingereza sio lugha yao ya mawasiliano ya kila siku.

3. Kiingereza sio lugha mama yao.

4. Kwenye maisha yao ya kila siku wanawasiliana kwa lugha ya kiswahili.

Hakuna mashiko yoyote kwenye hoja hiyo.

Kama ishu ni mtoto kujua kiingereza basi mpeleke Uingereza kabisa ili awe anazungumzia kiingereza muda wote.

As a matter of fact kama kiingereza ingekuwa ishu kama unavyo taka kuaminisha wewe basi waingereza na wamarekani wote wangekuwa na mafanikio.

Uganda na Malawi zingekuwa zimeendelea zaidi kuliko Tanzania.
 
haha umenichekesha sana 🤣🤣🤣
sema nimekukubali umeangalia mbali. ngoja nikopi mbinu yako maana mtoto wangu nimeiangalia sioni intelligent pipo naona kilaza.

mama yake ati alitaka nipeleke shule ya english medium baada ya kupata kibarua gulf. nikamuambia wacha usenge.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ulitisha sana mkuu. Hela haitakiwi kutumika kizembe who kwa sababu ipo.
by the way wote mwisho wa siku wanakuja kufanana mbeleni kwenye kusaka ajira. na hawa wa medium wanakua mandezi wengi hawana ile kujitafutia spirit.
kama una mapesa ni kumpeleka mitaala ya international baccalaureate huko
 
sio kweli, mkuu wanaangalia ufaulu, Kibasila, Benjamini na zingine hawapokei c flat
Wanapokea watoto wa kata za Kariakoo tu. Wanapokea A na B na wenye mchanganyiko wa A B na C pia wanapokelewa.
 
Ni braza moja kati ya wasomi wa kitaani kwetu. He was born in 1980. He is 5 years older than me. Darasani alikuwa very smart. Ni wale the cream wa Azania wa Enzi hizo.

To cut story short. Jamaa alikuwa mtumwa mwaminifu wa Shule za Ems. Amepunwa ile kinoma Noma. Kwanza Watoto wawili wa kwanza . Hawa aliendelea kupunwa hadi seco kawapeleka shule wanalipa ada tu milioni 6. Dogo wa kiume kamaliza form four kagoma kwenda Advance kasema anataka kwenda college. Kozi Aliyo ichagua sasa " PROCUREMENT ". Ule utoto aliokuwa anamwambia baba ake alipokuwa primary " Daddy I want to be a pilot, lawyer, Doctor or Engineer blah blah blah" ukawa ume evaporate.

Jamaa alikuwa so much dis appointed . Nakumbuka wakati wa Corona aliwahi niuzia kiwanja kwa bei ya Chanika halafu hela yote akaenda kulipa ada shuleni. Sehemu yenyewe aliyoniuzia kiwanja ni very potential area. Japo kiwanja sio chake ni cha urithi but aliniuzia kwa bei ya chini.

Mwaka mmoja baadae akataka nimtafutie mteja amuuzie kiwanja chake kingine alipe ada za watoto.

Nikamkalisha chini nikampa somo kuhusu shule za Kayumba. Nikamwambia warudishe wanao Kayumba. Watoto watatu sio poa. Mapacha wawili wa kike plus mdogo wa mwisho, kwa kipato chako sio kweli bro. Hata hivyo hakuna umuhimu wowote wa wewe kulipa hela yote hiyo kwa ajili ya Elimu ya msingi ya mtoto.

Toa watoto wako Em walete Kayumba. Mbona Mimi nimewatoa na wako poa tu.

Jamaa akawa inspired na ushauri wangu. Akawatoa watoto wake wote watatu Ems akawaleta Kayumba. Hao mapacha wawili ndio wamefaulu wamepata A zote na mdogo wao anafanya vizuri sana shuleni.

Jamaa kuandika gazeti refu sana ananishukuru mdogo wake kwa ushauri ambao pia umemsaidia kusave pesa na kuinvest kwenye mambo mengine.

Comments za wadau sasa. Kuna comments za watu kama sita ambao nao pia waliwatoa watoto wao Ems wakawaleta Kayumba. Wadau hao wanasema walikuwa inspired na Mimi. Baada ya kuona hadi Mimi nimewarudisha watoto wangu Kayumba. ( Aina ya maisha ninayo ishi na vitu ninavyo vimiliki ambavyo watu wa mtaani kwetu wanavijua, wanaona watoto wangu hawastahili kusoma Kayumba. Mimi kuwapeleka watoto wangu Kayumba ni jambo linalo tengeneza sentensi " kama Likud kawatoa watoto wake Kayumba Mimi nani)

Wengi walio watoa watoto wao Ems na kuwaleta Kayumba wanashukuru sana na wanajilaumu kwanini hawakufanya hivyo mapema.

Hata wewe mzazi unae jistress kulipia mamilioni kwenye shule za Ems wacha mara moja. Haraka sana kimbia kawatoe watoto wako EMS walete Kayumba. Huna sababu yoyote ile ya kujistress kulipa mamilioni huko EMs . N real sense,Shule za Ems hazina umuhimu wala UPEKEE wa aina yoyote ile. Umuhimu na upekee huo umetengenezwa na Wamiliki wa shule za Ems ili waendelee kukupuna.

Mtu muhimu kuliko wote kwenye shule hizo ni wewe mzazi kwa sababu wewe ndo unaelipa ada na ndio sababu kuu kwanini mmimiki kaanzisha shule hiyo.

Kilaza atasema " Likud huna hela "

Situmii hela hovyo kwa sababu ninazo.

Enyi wazazi ambao watoto wenu wamefanya vizuri kwenye shule za Kayumba enyi wazazi ambao mliwatoa watoto wenu Ems na kuwaleta Kayumba na wamefanya vizuri,acheni ubinafsi. Hakikisheni mnashare hizo information kwa watu wengi iwezekanavyo ili kuwatoa usingizini wazazi ambao bado wamelala. Wazazi ambao wana jistress kulipa mamilioni kwenye shule za Ems
Kama mzazi una hela ya kusomesha private schools basi mpeleke mwanao international school zile wanazosoma watoto wa vigogo achana na hizi za mitaala ya Nacte
ambazo mtoto anamaliza anaenda kusomea upolisi
Bora asome hizi Kayumba tu maana hizi English medium ni Kayumba zilizochangamka tofauti ni kiingereza na school buss
 
100% Fact.
 
Back
Top Bottom