Back to Kayumba Schools Campaign (Making Kayumba Schools Great Again) MAKASGA Camapign

Utoe mtoto feza, Martin Luther, baobab, FK, umpeleke kayumba! Utakuwa na kichaa, ataje hizo EM kwanza, asije kuwa wanae walikuwa, zile za, uchochoroni, za kwetu watoto wanaenda tours Nairobi, Joburg,
 
Mazingira aliyepo mtoto ndiyo huwa yanamfanya aongee kiingereza kizuri au kibaya. Mtoto hata awe na akili kiasi gani hawezi kuongea kiingereza kizuri kama muda wote amezungukwa na marafiki wanao ongea lugha tofauti na kiingereza.

Ndiyo maana majority ya wanafunzi waliosoma shule za private wanazungumza kiingereza kizuri kuwazidi wanafunzi wengi waliotoka shule za serikali.

Afu kwenye comment yangu sikumaanisha kuwa wanafunzi wote waliotoka shule za serikali hawawezi kuzungumza kiingereza kizuri.
 
Mimi huwa nakuelewa sana. Niliwahi kusoma ushauri wako humu mwaka juzi kama sikosei, nikaanza kuufanyika kazi kwa kumplekea kijana aliyekuwa aende Form Private moja ya ghali sana kule Moshi nikampeleka Dodoma Secondary. Dogo nilikaa naye chini akanielewa na ufaulu wake ni mkubwa sana. sasa hivo anaendelea na mitihani yake ya form II na ameahidi kuniletea A's 10. Huu ndo msimamo wangu kwa sasa kila anayemaliza darasa la saba safari ni kwenda shule za Serikali. Navumilia tu wamalizie madarasa yao huko EMs maana nilishajichanganya awali.

Nakazia tu kwa wadau kwamba kama kipato chako ni tia maji tia maji usijiuumize, peleka vijana Serikalini tulikosoma sisi baba zao.
 
Big up sana mkuu na hongera
 
Mkuu uliza watu wanaoenda ulaya na kupata international opportunities sio kwa sababu ya Kingereza chao.
Unajichanganya.
Prof Ussoro ulimsikia Kingereza Chake?
Professor ossolo, huyo ni mmoja na bahati yake, Mimi ninacho si kwamba kiingereza tu , Bali na fani zingine awe nazo,kwa mtoto ansyejihangaikia mwenyewe ,pamoja na fani anayo iombea ajira,lakini kwanza aweze kiingereza, interview,zoom meeting nk ,hayo yote ni mazungumzo ya ana kwa ana kwa nje,Tena siyo English tu ,ni nakifaransa pia,Sasa Kama shule za kuelimisha hiyo lugha zipo hapa bongo,kwanini mtoto umnyime hiyo fursa Kama ipo
 
Sawa kama ni hvyo basi tuwapekeke advance za government wote wa Arts na Science
PCM, PCB,PGM ni kombi za gharama Sana vifaa vyake,Sasa kwa private inampa hasara ikitokea wanatoa kombi hizo halafu asipate wanafunzi wengi wa advance, kwa hiyo utakuta private nyingi kwa advance wanafundisha ART ,sababu ni cheap ku implement kuliko sayansi ( opportunity cost), sayansi mtoto mpeleke serikalini,vinginevyo labda uwe na genuine issue ya kupeleka mtoto private kwa kombi za sayansi advance,kwa ART ni uchaguzi wako
 
Huu ni utetezi wa kijinga, kwamba St.Kayumba itakuwa guarantee ya watoto kutoharibikiwa?
 
Kila mtu ana preferences zake. Unachokiona kizuri mwingine anakiona kibaya na unachokiona kibaya mwingine anakiona kizuri. Kila mtu aishi maisha yake. Usiwapangie watu maisha
 
Mwenye C na mwenye A wote mwakani wanakutana kidato cha kwanza.

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Wakati mwenye C yake ananitafuta kuungaunga Kiingereza nwenzake anateleza tu! Tuliyaona vyuoni jinsi mtoto ya EMs yanavyotiririka kwenye presentation! Njoo kazini sasa kwenye ma NGO makubwa makubwa jinsi ma E. Kibona yanavyotiririka na Kiingereza! Tuache kudanganyana jamani mwenye uwezo wa kulipa ada apeleke watoto wake EM! Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake!
 
Kujitesa tu yaani ELIMU YA VISHAZI HURU NA VISHAZI TEGEMEZI ikwamishe ujenzi wa nyumba zangu
 
Huu ni utetezi wa kijinga, kwamba St.Kayumba itakuwa guarantee ya watoto kutoharibikiwa?
Ujinga mtupu!

Mjukuu kwenye ukoo wa my wife mke wangu, amekimbilia kupigwa miti pamoja na kusoma St. Kayumba tangu msingi mpaka Sekondari. Kaishia form two! Siku nikikakuta mtaani lazima kalipie vile kalikula nyumbani kwangu! Nitahakikisha miguu inagusa dari pumbavu kabisa!
 
Yaani mtu uwe na pesa na watoto wametoka kwenye kiuno chako uwapeleke Kayumba??

Ni sawa na kusema kulalia mkeka/Jamvi ni sawa na kulalia godoro kwa kigezo wote mnalala na kukoroma/kuj@mb@..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…