Bad news: CAF kufuta kombe la shirikisho je, Simba tumejiandaaje?

African super league

Kuongezeka Kwa kibunda kwenye AFCON
African super league nayo huko mbeleni itaenda kupoteza mvuto kutokana na vilabu visivyokuwa na hadhi navyo vitapata fursa ya kushiriki

Na ndio maana CAF walisema hakutakuwa na uwekezaji mkubwa kama uliofanywa kwenye mashindano yaliyopita.

Its like everything you touch is get ruined or cursed
 
Mnaenda kucheza mpira mkitegemea bahati? you are soo loser
 
Kwani Simba si itashiriki African Football League? Au safari hii ni zamu ya walio chini ya Simba?
 
Kipindi hicho mashindano hayo yalikuwa na mvuto sana, lakini baada ya kuingia Yanga na Marumo yakawa ni kama mashindano ya kutafuta Miss Tanzania

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Yanga ndiye aliyeleta mvuto mkubwa pale mkuu

That's y kina mayele wapo timu kubwa
Prof Nabi saizi anampiga wydad nje ndani
 
Mnaenda kucheza mpira mkitegemea bahati? you are soo loser
Bahati ndio iliyowafanya mfike fainali sio uwezo.

Kwanini mlishangilia mlipoona mmepangwa na Rivers

Na kwanini hamkushangilia Club bingwa mlipopangwa na Al Hilal na Al Ahly?
 
Sasa Simba SC imeingiaje hapo??
 
Sio mtoa post mwenye chuki na Simba Sc?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Bahati ndio iliyowafanya mfike fainali sio uwezo.

Kwanini mlishangilia mlipoona mmepangwa na Rivers

Na kwanini hamkushangilia Club bingwa mlipopangwa na Al Hilal na Al Ahly?
Itakuchukua miaka 5 kurudi kwenye akili yako timamu Rivers tulikutana nae makundi? alf hao Al Ahly unao wapa hype mechi ili isha aje?
NB nyie hamna bahati ndio maana mnaishia robo kila siku?
 
Itakuchukua miaka 5 kurudi kwenye akili yako timamu Rivers tulikutana nae makundi? alf hao Al Ahly unao wapa hype mechi ili isha aj
Nani kasema makundi?

Rivers mlipangwa nao kwenye robo fainali ndio waliokuja na tiketi yenu ya nusu fainali. Hawa ndio waliotuletea kelele mjini

Al Ahly mlitoa nao sare na hata Al Hilal nao matokeo yalikuwa hivi hivi.
 
Simba hata wasipochukua ubingwa mwakani watakuwepo tena kwenye CAF Champions League kama ulikuwa hujui. Mwakani zitaenda timu nne

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Usipochukua ubingwa, unatakiwa uwe nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu ndio upate tiketi ya kushiriki klabu bingwa. Kinyume na hapo hauchezi klabu bingwa
 
CAF jinga sana badala ya kuboresha mashindano kwa kuongeza hata michuano mingine midogo ili pia team ndogo ambazo hazipati nafasi club bingwa zicheze Kama ilivokua kwa UEFA conference league Bado wanapunguzu hiyo michache iliyokuepo.
 
Yaah mkuu... kikubwa Simba wasiende kutuabisha Kwa kuchoma moto viwanja huko super league
 
Nani kasema makundi?

Rivers mlipangwa nao kwenye robo fainali ndio waliokuja na tiketi yenu ya nusu fainali. Hawa ndio waliotuletea kelele mjini

Al Ahly mlitoa nao sare na hata Al Hilal nao matokeo yalikuwa hivi hivi.
Sasa kama nyie Mabingwa wa Africa tumewapiga 5G ulitegemea nini kwa Rivers United?
 
Mkuu ulipotea ghafla kutoa updates za Singida vs Simba. Nini kilikusibu? Nikahisi umeungana na Okra hospitali
Mama Ako mdogo alinihitaji nimpe haki yake ya ndoa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…