Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
African super league nayo huko mbeleni itaenda kupoteza mvuto kutokana na vilabu visivyokuwa na hadhi navyo vitapata fursa ya kushirikiAfrican super league
Kuongezeka Kwa kibunda kwenye AFCON
Na ndio maana CAF walisema hakutakuwa na uwekezaji mkubwa kama uliofanywa kwenye mashindano yaliyopita.
Its like everything you touch is get ruined or cursed