Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Niweke video hizo au nisiweke? Tupige kura. Watu watano wakikubali naweka.
Niweke video hizo au nisiweke? Tupige kura. Watu watano wakikubali naweka.
Hatushangai mapigo yenu. Kwanza Serikali ya kenya inataka kuinua wakulima hapa, lakini hawangefunga mipaka mbeleni, saa hizi Corona ni excuse ili tupige marufuku ununuzi wa chakula cha TZ.Tatizo sijui ni ujinga au uzezeta. Huwezi kuleta uhuni halafu ukaanza kushangaa watu wakirudisha mapigo. Kama huwezi kuhimili joto toka jikoni.
Kwanza nimeamua kukujibu kwasababu Leo umeandika kwa kunyenyekea sana, umeonesha nidhamu. Safi sana, wa Tanzania tunapenda nidhamu, sio unaandika andika tu ugoro kama Jana.Lakini soma historia ndugu. Kilimanjaro ilikuwa Kenya wakati wa ukoloni lakini mfalme wa ujerumani akaomba mfalme wa uingereza ampe mount Kilimanjaro na ikawa.
Kwani huwa naandika vipi hizo siku zingine?Kwanza nimeamua kukujibu kwasababu Leo umeandika kwa kunyenyekea sana, umeonesha nidhamu. Safi sana, wa Tanzania tunapenda nidhamu, sio unaandika andika tu ugoro kama Jana.
Turudi kuhusu historia, ukiwa unataja kwamba Mlima Kilimanjaro ulikuwa Kenya usisahau kusema Bandari ya Mombasa ilikuwa Tanzania.
Ndiyo maana mkaachia mlima ili mpate bandari, Mngekuwa na hali mbaya zaidi muda huu
Section 20
Sasa tubadilishane tu. Hamna namna. Bandari tushapata nyingine.Kwanza nimeamua kukujibu kwasababu Leo umeandika kwa kunyenyekea sana, umeonesha nidhamu. Safi sana, wa Tanzania tunapenda nidhamu, sio unaandika andika tu ugoro kama Jana.
Turudi kuhusu historia, ukiwa unataja kwamba Mlima Kilimanjaro ulikuwa Kenya usisahau kusema Bandari ya Mombasa ilikuwa Tanzania.
Ndiyo maana mkaachia mlima ili mpate bandari, Mngekuwa na hali mbaya zaidi muda huu
Section 20
Bahari ipo Mombasa pekee, tukichukua Mombasa labda mtabakiza Bandari ya Lake Victoria Ha ha haaaaaaaSasa tubadilishane tu. Hamna namna. Bandari tushapata nyingine.
Mfalme wa ujerumani??π historia gani umesoma mzeeLakini soma historia ndugu. Kilimanjaro ilikuwa Kenya wakati wa ukoloni lakini mfalme wa ujerumani akaomba mfalme wa uingereza ampe mount Kilimanjaro na ikawa.
Alikua Chancellor. Pitia facts zako vizuri Kilimanjaro haijawahi kuwa kenya. Hata tamaduni za Kilimanjaro na Kenya ni tofauti kabisa.Von Bismarch alikuwa ni nani? Mimi sijui historia ya Ujerumani. Pengine unielezee
LOL na nyie mabepari uchwara mnajiita "comrades" hahaha maajabu hayaI like your optimism My Comrade , but hawa watu huwezi kushirikiana nao..
Wana some level of low self esteem na insecurity za kishenzi ambazo huwezi kuelewa...
LOL toka lini mkawa na wakulima wa kutosheleza mahitaji yenu? Mnao wachakura ardhi sio wakulimahatushangai mapigo yenu. Kwanza Serikali ya kenya inataka kuinua wakulima hapa, lakini hawangefunga mipaka mbeleni, saa hizi Corona ni excuse ili tupige marufuku ununuzi wa chakula cha TZ.
Its our farmers we are thinking about. Magufuli anafikiria ni vita vya Korona
We pimbi kkoo watu walikuwa wanaanguka miaka nenda rudikabla hata ya korona watu wana matatizo yao ya kiafyaWacha uongo. Kwenye hizo video nne nilizoona, watu wanazungumza kwa kiswahili cha kibongo. Kuna moja mtu ameanguka Kariokoo.
LOL ipi hiyo? White elephant ππππππππππππSasa tubadilishane tu. Hamna namna. Bandari tushapata nyingine.
Kwanza nimeamua kukujibu kwasababu Leo umeandika kwa kunyenyekea sana, umeonesha nidhamu. Safi sana, wa Tanzania tunapenda nidhamu, sio unaandika andika tu ugoro kama Jana.
Turudi kuhusu historia, ukiwa unataja kwamba Mlima Kilimanjaro ulikuwa Kenya usisahau kusema Bandari ya Mombasa ilikuwa Tanzania.
Ndiyo maana mkaachia mlima ili mpate bandari, Mngekuwa na hali mbaya zaidi muda huu
Section 20