Badala ya Kenya na Tanzania kupimana urefu wa kisogo kwanini tusishirikiane kwa pamoja?

Badala ya Kenya na Tanzania kupimana urefu wa kisogo kwanini tusishirikiane kwa pamoja?

Tatizo sijui ni ujinga au uzezeta. Huwezi kuleta uhuni halafu ukaanza kushangaa watu wakirudisha mapigo. Kama huwezi kuhimili joto toka jikoni.
Hatushangai mapigo yenu. Kwanza Serikali ya kenya inataka kuinua wakulima hapa, lakini hawangefunga mipaka mbeleni, saa hizi Corona ni excuse ili tupige marufuku ununuzi wa chakula cha TZ.

Its our farmers we are thinking about. Magufuli anafikiria ni vita vya Korona.
 
Lakini soma historia ndugu. Kilimanjaro ilikuwa Kenya wakati wa ukoloni lakini mfalme wa ujerumani akaomba mfalme wa uingereza ampe mount Kilimanjaro na ikawa.
Kwanza nimeamua kukujibu kwasababu Leo umeandika kwa kunyenyekea sana, umeonesha nidhamu. Safi sana, wa Tanzania tunapenda nidhamu, sio unaandika andika tu ugoro kama Jana.

Turudi kuhusu historia, ukiwa unataja kwamba Mlima Kilimanjaro ulikuwa Kenya usisahau kusema Bandari ya Mombasa ilikuwa Tanzania.

Ndiyo maana mkaachia mlima ili mpate bandari, Mngekuwa na hali mbaya zaidi muda huu

Section 20
 
Kwani huwa naandika vipi hizo siku zingine?
 
Kwanza nimeamua kukujibu kwasababu Leo umeandika kwa kunyenyekea sana, umeonesha nidhamu. Safi sana, wa Tanzania tunapenda nidhamu, sio unaandika andika tu ugoro kama Jana.

Turudi kuhusu historia, ukiwa unataja kwamba Mlima Kilimanjaro ulikuwa Kenya usisahau kusema Bandari ya Mombasa ilikuwa Tanzania.

Ndiyo maana mkaachia mlima ili mpate bandari, Mngekuwa na hali mbaya zaidi muda huu

Section 20
Sasa tubadilishane tu. Hamna namna. Bandari tushapata nyingine.
 
Lakini soma historia ndugu. Kilimanjaro ilikuwa Kenya wakati wa ukoloni lakini mfalme wa ujerumani akaomba mfalme wa uingereza ampe mount Kilimanjaro na ikawa.
Mfalme wa ujerumani??😎 historia gani umesoma mzee
 
Von Bismarch alikuwa ni nani? Mimi sijui historia ya Ujerumani. Pengine unielezee
Alikua Chancellor. Pitia facts zako vizuri Kilimanjaro haijawahi kuwa kenya. Hata tamaduni za Kilimanjaro na Kenya ni tofauti kabisa.
 
I like your optimism My Comrade , but hawa watu huwezi kushirikiana nao..
Wana some level of low self esteem na insecurity za kishenzi ambazo huwezi kuelewa...
LOL na nyie mabepari uchwara mnajiita "comrades" hahaha maajabu haya
 
Ni ngumu kidogo kushirikiana na wajinga. Mjinga mwingine jana anasifia askari kupiga watu, mjinga mwingine anashangaa watu kufix transfoma na hapo hapo umeme bado haujarudi. Mjinga mwingine anasifia nchi yao kupambana na corona ukimuuliza jumla ya deni la corona na lile linalosababisha china itake kuoa nchi nzima, hajui.

Nafikiri Tanzania tuendelee kuwaunga mkono jirani zetu Kenya kwa msimamo wao wa kufunga mpaka ili kujikinga na corona, hivyo nasi tuendelee kufunga mpaka.
 
hatushangai mapigo yenu. Kwanza Serikali ya kenya inataka kuinua wakulima hapa, lakini hawangefunga mipaka mbeleni, saa hizi Corona ni excuse ili tupige marufuku ununuzi wa chakula cha TZ.

Its our farmers we are thinking about. Magufuli anafikiria ni vita vya Korona
LOL toka lini mkawa na wakulima wa kutosheleza mahitaji yenu? Mnao wachakura ardhi sio wakulima

Kuchakura maana yake ni kama kuku anavyokwangua udongo kupekua viroboto kupata protein.
 
Wacha uongo. Kwenye hizo video nne nilizoona, watu wanazungumza kwa kiswahili cha kibongo. Kuna moja mtu ameanguka Kariokoo.
We pimbi kkoo watu walikuwa wanaanguka miaka nenda rudikabla hata ya korona watu wana matatizo yao ya kiafya

Send by APOLO 1
 
Sasa tubadilishane tu. Hamna namna. Bandari tushapata nyingine.
LOL ipi hiyo? White elephant 🐘😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

No more development on this thing, no roads no railways to connect this elephant to nowhere 😂😂😂😂😂

Na pesa imeshatafunwa yaani wakenya huwa mnajitia wasomi sana lakini ni watu wapumbavu haijawahi kutokea

Pesa zote zilizopotezwa hapa zingepelekwa kwenye sector ya afya au maji mngekua mbali, sad maji yenyewe hamna huko Nairobi

Screenshot_20200516-090425.png
 
Story suluhu zinakuja baada ya nyie kufanya unilateral decison ya kufunga mipaka yenu !!

Tulieni muuone moto, hatatutaki undugu wa washenzi, kila mtu abaki kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo kawa mpole huyo kumbe hata wewe umemuona ee

Back
Top Bottom