Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,042
- 2,005
Umeeleza vyema na wanaokupinga umewapiga kwenye mshono .Bado hatujapata opponent wa maana kwa CCM ,kazi kurukia mada yoyote iliyopo mezani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti ya chama cha siasa na "pressure group"...Chama cha siasa huwa hakitumiii nguvu kubwa sana "kushinikiza serikali isikosee".
Chama cha siasa husubiri serikali ikosee na kuvuna Kura iwapo serikali itakosea Kwa kutangaza policies tofauti na serikali iliyopo ...vile vile chama cha siasa huwa na Sera na mijadala ya masuala mbalimbali.
Huwa hawashupai na jambo moja kama Alfa na omega...hatari ya kushupaa na jambo moja ni kuwa likiisha..mtakuwa hamna Jambo lingine....unless litokee...lakini pressure group wao hukomaa na jambo Lao ...likiisha hao wanasambaratika.
Kingine chama cha siasa huwa Wanafanya lobbying na Ku compromise kwaajili ya chama...siasa nyingi hufanywa "background"...majukwaani huwa ni "image branding"...huwezi kukuta wanasiasa serious "wanafoka"majukwaani.....lakini pressure groups huwa na wanaharakati ambao kazi Yao ni "kutema moto" kwenye media na majukwa na kufanya "public stunts"…
Chama cha siasa huwa Viongozi wake huongea machache katika mengi wanayo yajua...wakati pressure groups hutumia kila information wanayoipata kusambaza propaganda ili mradi kuongeza shinikizo kupata wanacho kitaka...
Pressure groups Wana sifa kubwa ya kukubali kutumika na wasiasa ili na wao ajenda zao pia zipite...wakati chama cha siasa wao hutumia pressure groups kupata kueneza Sera zao....sio kutumika na wanasiasa WA chama kingine kusambaza propaganda za hao wanasiasa ukiamini labda mgawanyiko utasaidia....
Pressure groups huwa Wana ongozazwa na mentality za "do or die" "kama hawataki basi"..refer ..Bunge la katiba.
Wakati chama cha siasa hutafuta namna ya kupata Jambo moja muhimu litakalo leta mengine...
Mfano badala ya kukomaa na serikali tatu...why wasinge komaa na tume ya uchaguzi?..sababu tume ya uchaguzi inaweza rahisisha kabisa zoezi la kuamua Aina gani ya Muungano tunataka au hatutaki.
Chama cha siasa Mwenyekiti wake hawezi sema "usalama wameniambia niongelee Bandari"..
Wakati hao usalama hawakuwahi mwambia Makamu wake alipigwa risasi na kina nani?msaidizi wake alizikwa wapi? Walikuwa wapi wakati anafilisiwa na kuwekwa mahabusu kila mara?...unless offcourse.. Mwenyekiti kakubali sasa kutumika kama "pressure group"..Kwa agenda yeyote Ile watakayo mpa.
Pressure groups huwa pia zinaongezewa watu ...na kunyang"anywa watu....Dr Slaa,Lipumba na wengine...huweza kuwekwa na kuchukuliwa kupewa maagizo mengine wakati wowote ule ..watumike kama pressure group activists.
Pressure groups huwa na sifa ingine pia ya kupenda kuchangisha wananchi na kuwa wakali wakiulizwa lolote kuhusu hiyo michango.
Pressure groups huwa ina wananchama wakali wenye jazba..kama sio matusi ukibishana nao kidogo tu...wakati chama cha siasa huwa na watu werevu wenye ushawishi..ambao hutumia hoja kushawishi na hutumia hoja kuonesha kwanini lazima tubadili chama.
Pressure groups hutumia ujinga WA wananchi kuwajaza hofu ili Tu kupata sapoti ...mfano wa zile pressure groups za climate change...zinavyo Tia watu hofu.
Labda wenzetu waanze kujiuliza ...wao ni chama cha siasa au ni pressure group? Kama Samia anakosea si mumuache akosee ili mje mvune kura? Mkimzuia akosee halafu mnapata nini? Kuwa mmepiga Kelele akawasikia?hayo ndo mafanikio? Kuwa kazi yenu ni kukosoa serikali ijirekebishe? Na nyinyi mmekubali hiyo title? Title wanayopewa "pressure groups"?
Sifa kubwa ya pressure group ni kutumika na kuachwa agenda ya wanaowatumia ikipita... tusubiri tuone....
Siku zote nilikuwa naamini wewe ni critical thinker, lakini nilikosea. Kipindi hiki cha Samia you are so biased, si kama kipindi cha Magufuli. Kwa hiyo unaaminisha Republicans kule US ni pressure groups? Maana kila kosa linalofanywa na uongozi wa Democrats sasa wanalishikia bango, - sasa wako na cocaine kukutwa ikulu na students' loans. Lakini pia ingekuwa wewe ni critical thinker ungejua tatizo la siasa Tanzania, liko wapi, limeanzia kwa mentality ya watanzania? Vyombo vya usalama au kwa vyama vya upinzani...Tofauti ya chama cha siasa na "pressure group"...Chama cha siasa huwa hakitumiii nguvu kubwa sana "kushinikiza serikali isikosee".
Chama cha siasa husubiri serikali ikosee na kuvuna Kura iwapo serikali itakosea Kwa kutangaza policies tofauti na serikali iliyopo ...vile vile chama cha siasa huwa na Sera na mijadala ya masuala mbalimbali.
Huwa hawashupai na jambo moja kama Alfa na omega...hatari ya kushupaa na jambo moja ni kuwa likiisha..mtakuwa hamna Jambo lingine....unless litokee...lakini pressure group wao hukomaa na jambo Lao ...likiisha hao wanasambaratika.
Kingine chama cha siasa huwa Wanafanya lobbying na Ku compromise kwaajili ya chama...siasa nyingi hufanywa "background"...majukwaani huwa ni "image branding"...huwezi kukuta wanasiasa serious "wanafoka"majukwaani.....lakini pressure groups huwa na wanaharakati ambao kazi Yao ni "kutema moto" kwenye media na majukwa na kufanya "public stunts"…
Chama cha siasa huwa Viongozi wake huongea machache katika mengi wanayo yajua...wakati pressure groups hutumia kila information wanayoipata kusambaza propaganda ili mradi kuongeza shinikizo kupata wanacho kitaka...
Pressure groups Wana sifa kubwa ya kukubali kutumika na wasiasa ili na wao ajenda zao pia zipite...wakati chama cha siasa wao hutumia pressure groups kupata kueneza Sera zao....sio kutumika na wanasiasa WA chama kingine kusambaza propaganda za hao wanasiasa ukiamini labda mgawanyiko utasaidia....
Pressure groups huwa Wana ongozazwa na mentality za "do or die" "kama hawataki basi"..refer ..Bunge la katiba.
Wakati chama cha siasa hutafuta namna ya kupata Jambo moja muhimu litakalo leta mengine...
Mfano badala ya kukomaa na serikali tatu...why wasinge komaa na tume ya uchaguzi?..sababu tume ya uchaguzi inaweza rahisisha kabisa zoezi la kuamua Aina gani ya Muungano tunataka au hatutaki.
Chama cha siasa Mwenyekiti wake hawezi sema "usalama wameniambia niongelee Bandari"..
Wakati hao usalama hawakuwahi mwambia Makamu wake alipigwa risasi na kina nani?msaidizi wake alizikwa wapi? Walikuwa wapi wakati anafilisiwa na kuwekwa mahabusu kila mara?...unless offcourse.. Mwenyekiti kakubali sasa kutumika kama "pressure group"..Kwa agenda yeyote Ile watakayo mpa.
Pressure groups huwa pia zinaongezewa watu ...na kunyang"anywa watu....Dr Slaa,Lipumba na wengine...huweza kuwekwa na kuchukuliwa kupewa maagizo mengine wakati wowote ule ..watumike kama pressure group activists.
Pressure groups huwa na sifa ingine pia ya kupenda kuchangisha wananchi na kuwa wakali wakiulizwa lolote kuhusu hiyo michango.
Pressure groups huwa ina wananchama wakali wenye jazba..kama sio matusi ukibishana nao kidogo tu...wakati chama cha siasa huwa na watu werevu wenye ushawishi..ambao hutumia hoja kushawishi na hutumia hoja kuonesha kwanini lazima tubadili chama.
Pressure groups hutumia ujinga WA wananchi kuwajaza hofu ili Tu kupata sapoti ...mfano wa zile pressure groups za climate change...zinavyo Tia watu hofu.
Labda wenzetu waanze kujiuliza ...wao ni chama cha siasa au ni pressure group? Kama Samia anakosea si mumuache akosee ili mje mvune kura? Mkimzuia akosee halafu mnapata nini? Kuwa mmepiga Kelele akawasikia?hayo ndo mafanikio? Kuwa kazi yenu ni kukosoa serikali ijirekebishe? Na nyinyi mmekubali hiyo title? Title wanayopewa "pressure groups"?
Sifa kubwa ya pressure group ni kutumika na kuachwa agenda ya wanaowatumia ikipita... tusubiri tuone....
Na bqhati mbaya au nzuri CCM wanajua hili. So hawpati shida. Roho huwa inaniumq sana. Naona kabisa ccm ikiendelea kupeta.Tofauti ya chama cha siasa na "pressure group"...Chama cha siasa huwa hakitumiii nguvu kubwa sana "kushinikiza serikali isikosee".

Sasa wao Kama chama Cha siasa wanakosea kwa kuwa pressure Group si ndio vizuri kwako na hao wadini wenzio???Tofauti ya chama cha siasa na "pressure group"...Chama cha siasa huwa hakitumiii nguvu kubwa sana "kushinikiza serikali isikosee".

Kumzuia mwizi ni bora kuliko umwache aibe aende ndipo ukamtafute umpeleke mahakamani hilo halipo utapoteza muda wako bure, halafu hakuna Mahakama ya kumshtaki huyu Mama hapa duniani.Tofauti ya chama cha siasa na "pressure group"...Chama cha siasa huwa hakitumiii nguvu kubwa sana "kushinikiza serikali isikosee".

BuyuNilikuwaga namheshimu the boss, na yeye sijuhi siku hizi amekuwaje. Mawazo mbadala kwa presure kubwa yanatakiwa sana kwa nchi kama Tanzania. Viongozi wa nchi si sheria bali wao wanapaswa kufuata sheria na kuilinda
hii kwa sababu hawana focus,hawana sera na wala hawajijui wapo kwa ajiki ganiTofauti ya chama cha siasa na "pressure group"...Chama cha siasa huwa hakitumiii nguvu kubwa sana "kushinikiza serikali isikosee".
Chama cha siasa husubiri serikali ikosee na kuvuna Kura iwapo serikali itakosea Kwa kutangaza policies tofauti na serikali iliyopo ...vile vile chama cha siasa huwa na Sera na mijadala ya masuala mbalimbali.
Huwa hawashupai na jambo moja kama Alfa na omega...hatari ya kushupaa na jambo moja ni kuwa likiisha..mtakuwa hamna Jambo lingine....unless litokee...lakini pressure group wao hukomaa na jambo Lao ...likiisha hao wanasambaratika.
Kingine chama cha siasa huwa Wanafanya lobbying na Ku compromise kwaajili ya chama...siasa nyingi hufanywa "background"...majukwaani huwa ni "image branding"...huwezi kukuta wanasiasa serious "wanafoka"majukwaani.....lakini pressure groups huwa na wanaharakati ambao kazi Yao ni "kutema moto" kwenye media na majukwa na kufanya "public stunts"…
Chama cha siasa huwa Viongozi wake huongea machache katika mengi wanayo yajua...wakati pressure groups hutumia kila information wanayoipata kusambaza propaganda ili mradi kuongeza shinikizo kupata wanacho kitaka...
Pressure groups Wana sifa kubwa ya kukubali kutumika na wasiasa ili na wao ajenda zao pia zipite...wakati chama cha siasa wao hutumia pressure groups kupata kueneza Sera zao....sio kutumika na wanasiasa WA chama kingine kusambaza propaganda za hao wanasiasa ukiamini labda mgawanyiko utasaidia....
Pressure groups huwa Wana ongozazwa na mentality za "do or die" "kama hawataki basi"..refer ..Bunge la katiba.
Wakati chama cha siasa hutafuta namna ya kupata Jambo moja muhimu litakalo leta mengine...
Mfano badala ya kukomaa na serikali tatu...why wasinge komaa na tume ya uchaguzi?..sababu tume ya uchaguzi inaweza rahisisha kabisa zoezi la kuamua Aina gani ya Muungano tunataka au hatutaki.
Chama cha siasa Mwenyekiti wake hawezi sema "usalama wameniambia niongelee Bandari"..
Wakati hao usalama hawakuwahi mwambia Makamu wake alipigwa risasi na kina nani?msaidizi wake alizikwa wapi? Walikuwa wapi wakati anafilisiwa na kuwekwa mahabusu kila mara?...unless offcourse.. Mwenyekiti kakubali sasa kutumika kama "pressure group"..Kwa agenda yeyote Ile watakayo mpa.
Pressure groups huwa pia zinaongezewa watu ...na kunyang"anywa watu....Dr Slaa,Lipumba na wengine...huweza kuwekwa na kuchukuliwa kupewa maagizo mengine wakati wowote ule ..watumike kama pressure group activists.
Pressure groups huwa na sifa ingine pia ya kupenda kuchangisha wananchi na kuwa wakali wakiulizwa lolote kuhusu hiyo michango.
Pressure groups huwa ina wananchama wakali wenye jazba..kama sio matusi ukibishana nao kidogo tu...wakati chama cha siasa huwa na watu werevu wenye ushawishi..ambao hutumia hoja kushawishi na hutumia hoja kuonesha kwanini lazima tubadili chama.
Pressure groups hutumia ujinga WA wananchi kuwajaza hofu ili Tu kupata sapoti ...mfano wa zile pressure groups za climate change...zinavyo Tia watu hofu.
Labda wenzetu waanze kujiuliza ...wao ni chama cha siasa au ni pressure group? Kama Samia anakosea si mumuache akosee ili mje mvune kura? Mkimzuia akosee halafu mnapata nini? Kuwa mmepiga Kelele akawasikia?hayo ndo mafanikio? Kuwa kazi yenu ni kukosoa serikali ijirekebishe? Na nyinyi mmekubali hiyo title? Title wanayopewa "pressure groups"?
Sifa kubwa ya pressure group ni kutumika na kuachwa agenda ya wanaowatumia ikipita... tusubiri tuone....
Hbr yako mzee wa DP world!Tofauti ya chama cha siasa na "pressure group"...Chama cha siasa huwa hakitumiii nguvu kubwa sana "kushinikiza serikali isikosee".

Usimlaum the boss mpunga wa DP world umemfyonza ubongo woteNilikuwaga namheshimu the boss, na yeye sijuhi siku hizi amekuwaje. Mawazo mbadala kwa presure kubwa yanatakiwa sana kwa nchi kama Tanzania. Viongozi wa nchi si sheria bali wao wanapaswa kufuata sheria na kuilinda
Ni mpumbavu tu ambaye anasubiri mlisha ng'ombe amnyime ng'ombe chakula mpaka afe kisha aje kusema ...Tofauti ya chama cha siasa na "pressure group"...Chama cha siasa huwa hakitumiii nguvu kubwa sana "kushinikiza serikali isikosee".
Chama cha siasa husubiri serikali ikosee na kuvuna Kura iwapo serikali itakosea Kwa kutangaza policies tofauti na serikali iliyopo ...vile vile chama cha siasa huwa na Sera na mijadala ya masuala mbalimbali.
Huwa hawashupai na jambo moja kama Alfa na omega...hatari ya kushupaa na jambo moja ni kuwa likiisha..mtakuwa hamna Jambo lingine....unless litokee...lakini pressure group wao hukomaa na jambo Lao ...likiisha hao wanasambaratika.
Kingine chama cha siasa huwa Wanafanya lobbying na Ku compromise kwaajili ya chama...siasa nyingi hufanywa "background"...majukwaani huwa ni "image branding"...huwezi kukuta wanasiasa serious "wanafoka"majukwaani.....lakini pressure groups huwa na wanaharakati ambao kazi Yao ni "kutema moto" kwenye media na majukwa na kufanya "public stunts"…
Chama cha siasa huwa Viongozi wake huongea machache katika mengi wanayo yajua...wakati pressure groups hutumia kila information wanayoipata kusambaza propaganda ili mradi kuongeza shinikizo kupata wanacho kitaka...
Pressure groups Wana sifa kubwa ya kukubali kutumika na wasiasa ili na wao ajenda zao pia zipite...wakati chama cha siasa wao hutumia pressure groups kupata kueneza Sera zao....sio kutumika na wanasiasa WA chama kingine kusambaza propaganda za hao wanasiasa ukiamini labda mgawanyiko utasaidia....
Pressure groups huwa Wana ongozazwa na mentality za "do or die" "kama hawataki basi"..refer ..Bunge la katiba.
Wakati chama cha siasa hutafuta namna ya kupata Jambo moja muhimu litakalo leta mengine...
Mfano badala ya kukomaa na serikali tatu...why wasinge komaa na tume ya uchaguzi?..sababu tume ya uchaguzi inaweza rahisisha kabisa zoezi la kuamua Aina gani ya Muungano tunataka au hatutaki.
Chama cha siasa Mwenyekiti wake hawezi sema "usalama wameniambia niongelee Bandari"..
Wakati hao usalama hawakuwahi mwambia Makamu wake alipigwa risasi na kina nani?msaidizi wake alizikwa wapi? Walikuwa wapi wakati anafilisiwa na kuwekwa mahabusu kila mara?...unless offcourse.. Mwenyekiti kakubali sasa kutumika kama "pressure group"..Kwa agenda yeyote Ile watakayo mpa.
Pressure groups huwa pia zinaongezewa watu ...na kunyang"anywa watu....Dr Slaa,Lipumba na wengine...huweza kuwekwa na kuchukuliwa kupewa maagizo mengine wakati wowote ule ..watumike kama pressure group activists.
Pressure groups huwa na sifa ingine pia ya kupenda kuchangisha wananchi na kuwa wakali wakiulizwa lolote kuhusu hiyo michango.
Pressure groups huwa ina wananchama wakali wenye jazba..kama sio matusi ukibishana nao kidogo tu...wakati chama cha siasa huwa na watu werevu wenye ushawishi..ambao hutumia hoja kushawishi na hutumia hoja kuonesha kwanini lazima tubadili chama.
Pressure groups hutumia ujinga WA wananchi kuwajaza hofu ili Tu kupata sapoti ...mfano wa zile pressure groups za climate change...zinavyo Tia watu hofu.
Labda wenzetu waanze kujiuliza ...wao ni chama cha siasa au ni pressure group? Kama Samia anakosea si mumuache akosee ili mje mvune kura? Mkimzuia akosee halafu mnapata nini? Kuwa mmepiga Kelele akawasikia?hayo ndo mafanikio? Kuwa kazi yenu ni kukosoa serikali ijirekebishe? Na nyinyi mmekubali hiyo title? Title wanayopewa "pressure groups"?
Sifa kubwa ya pressure group ni kutumika na kuachwa agenda ya wanaowatumia ikipita... tusubiri tuone....
Safari hii tuliwekwa chini kuwa tumtetee huyu ni mwenzetu.Nilikuwaga namheshimu the boss, na yeye sijuhi siku hizi amekuwaje. Mawazo mbadala kwa presure kubwa yanatakiwa sana kwa nchi kama Tanzania. Viongozi wa nchi si sheria bali wao wanapaswa kufuata sheria na kuilinda