Badala ya kuwa Chama cha siasa wamegeuzwa "pressure group"..na wanafurahia...

Tofauti ya chama cha siasa na "pressure group"...Chama cha siasa huwa hakitumiii nguvu kubwa sana "kushinikiza serikali isikosee".

Chama cha siasa husubiri serikali ikosee na kuvuna Kura iwapo serikali itakosea Kwa kutangaza policies tofauti na serikali iliyopo ...vile vile chama cha siasa huwa na Sera na mijadala ya masuala mbalimbali.

Huwa hawashupai na jambo moja kama Alfa na omega...hatari ya kushupaa na jambo moja ni kuwa likiisha..mtakuwa hamna Jambo lingine....unless litokee...lakini pressure group wao hukomaa na jambo Lao ...likiisha hao wanasambaratika.

Kingine chama cha siasa huwa Wanafanya lobbying na Ku compromise kwaajili ya chama...siasa nyingi hufanywa "background"...majukwaani huwa ni "image branding"...huwezi kukuta wanasiasa serious "wanafoka"majukwaani.....lakini pressure groups huwa na wanaharakati ambao kazi Yao ni "kutema moto" kwenye media na majukwa na kufanya "public stunts"…

Chama cha siasa huwa Viongozi wake huongea machache katika mengi wanayo yajua...wakati pressure groups hutumia kila information wanayoipata kusambaza propaganda ili mradi kuongeza shinikizo kupata wanacho kitaka...

Pressure groups Wana sifa kubwa ya kukubali kutumika na wasiasa ili na wao ajenda zao pia zipite...wakati chama cha siasa wao hutumia pressure groups kupata kueneza Sera zao....sio kutumika na wanasiasa WA chama kingine kusambaza propaganda za hao wanasiasa ukiamini labda mgawanyiko utasaidia....

Pressure groups huwa Wana ongozazwa na mentality za "do or die" "kama hawataki basi"..refer ..Bunge la katiba.

Wakati chama cha siasa hutafuta namna ya kupata Jambo moja muhimu litakalo leta mengine...
Mfano badala ya kukomaa na serikali tatu...why wasinge komaa na tume ya uchaguzi?..sababu tume ya uchaguzi inaweza rahisisha kabisa zoezi la kuamua Aina gani ya Muungano tunataka au hatutaki.

Chama cha siasa Mwenyekiti wake hawezi sema "usalama wameniambia niongelee Bandari"..
Wakati hao usalama hawakuwahi mwambia Makamu wake alipigwa risasi na kina nani?msaidizi wake alizikwa wapi? Walikuwa wapi wakati anafilisiwa na kuwekwa mahabusu kila mara?...unless offcourse.. Mwenyekiti kakubali sasa kutumika kama "pressure group"..Kwa agenda yeyote Ile watakayo mpa.

Pressure groups huwa pia zinaongezewa watu ...na kunyang"anywa watu....Dr Slaa,Lipumba na wengine...huweza kuwekwa na kuchukuliwa kupewa maagizo mengine wakati wowote ule ..watumike kama pressure group activists.

Pressure groups huwa na sifa ingine pia ya kupenda kuchangisha wananchi na kuwa wakali wakiulizwa lolote kuhusu hiyo michango.

Pressure groups huwa ina wananchama wakali wenye jazba..kama sio matusi ukibishana nao kidogo tu...wakati chama cha siasa huwa na watu werevu wenye ushawishi..ambao hutumia hoja kushawishi na hutumia hoja kuonesha kwanini lazima tubadili chama.

Pressure groups hutumia ujinga WA wananchi kuwajaza hofu ili Tu kupata sapoti ...mfano wa zile pressure groups za climate change...zinavyo Tia watu hofu.

Labda wenzetu waanze kujiuliza ...wao ni chama cha siasa au ni pressure group? Kama Samia anakosea si mumuache akosee ili mje mvune kura? Mkimzuia akosee halafu mnapata nini? Kuwa mmepiga Kelele akawasikia?hayo ndo mafanikio? Kuwa kazi yenu ni kukosoa serikali ijirekebishe? Na nyinyi mmekubali hiyo title? Title wanayopewa "pressure groups"?

Sifa kubwa ya pressure group ni kutumika na kuachwa agenda ya wanaowatumia ikipita... tusubiri tuone....
Kwa hyo unataka uharibifu ufanywe na watu wakae kimya kiss wasubiri majukwaa ya kisiasa wayaongee

HV shule umekwenda kusomea ujinga

Wew ndio think tank la familia yako
 
Nilikuwaga namheshimu the boss, na yeye sijuhi siku hizi amekuwaje. Mawazo mbadala kwa presure kubwa yanatakiwa sana kwa nchi kama Tanzania. Viongozi wa nchi si sheria bali wao wanapaswa kufuata sheria na kuilinda
Mm binafsi nilkuwa namuheshimu ila kuanzi SAS namuona mpuuzi,mwenda wazimu tu mbele yangu
 
Okay, tukubali upo Sawa.

Ila sio jukumu la wananchi wote kikatiba kulinda rasilimali za nchi yao?
Kwamba serikal iingie makubaliano ya kudumu dhidi ya rasilimali za nchi yao wakae kimya wasubir kura? Kweli?

CCM imekuwa madarakani miaka yote hiyo, hayo yaliyofanyika kwenye Madini, Loliondo nk... yamewah punguza kura za CCM kwa kiasi gani?

Siasa za kura ni sawa na siasa za ugali wanazofanya kina msukuma na kundi lake.... kama chama cha siasa ni kusubir mambo ya haribike bas bora tuendelee kuwa na pressure groups za kutosha nchi isonge mbele..

We love it here.. no matter what.
Pressure kubwa inatakiwa dhidi ya serekali hi ya majiz baadhi
 
Mkuu The Boss , nimeipenda hii ya chama na pressure group!. Niliwahi kuzungumza kitu kama hiki kuhusu chama cha siasa kinachojiandaa kushika nchi na vyama vya kiharakati.

Chadema has never been serious with anything!. Hili tuliwaambia humu CHADEMA Hamkujipanga, hamjajipanga, hamjipangi na hamtajipanga!-2015 ni CCM tena! hii ilikuwa kwa ajili ya 2015, hawakujipanga!.

Kuelekea uchaguzi wa 2020 tukauliza humu Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition? na tukija kwenye specific issues ndio kabisa! Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza? hivyo hata sasa kuelekea 2025, hakuna kitu ni vile vile!.

Kwenye hili la pressure group wasamehe bure kwasababu Siasa za Kijungu Jiko, Penye Uzia, Penyeza Rupia!. Hakuna Mkate Mgumu Mbele ya Chai!, Hata Uwe Mgumu Vipi, Mbele ya Chai/Rupia, Lazima Utalainika!
P
Naoan umejitokeza kuunga ujinga mkono
 
Hata mradi wa bomba la gas sifa zilikuwa ni hizi. Hilo bwawa la Nyerere zitazalishwa 2,115mw wakati wa porojo za gas ilikuwa zitazalishwa 5,000mw. Je kuna kipi cha kusifia hapo?
Muda sio mrefu tutajua suala la umeme kama ukweli au siasa tu. Mwelekeo ni mzuri mpaka dakika hii.
 
Hilo jambo la umeme wa gas lilikuwa 2014 sasa sijui ni muda mrefu gani. Hilo la umeme wa maji ni lazima tusubiri ufanisi wake, maana hatukawii kusikia halina ufanisi inabidi apewe mwekezaji.
 
Tofauti ya chama cha siasa na "pressure group"...Chama cha siasa huwa hakitumiii nguvu kubwa sana "kushinikiza serikali isikosee".

Chama cha siasa husubiri serikali ikosee na kuvuna Kura iwapo serikali itakosea Kwa kutangaza policies tofauti na serikali iliyopo ...vile vile chama cha siasa huwa na Sera na mijadala ya masuala mbalimbali.

Huwa hawashupai na jambo moja kama Alfa na omega...hatari ya kushupaa na jambo moja ni kuwa likiisha..mtakuwa hamna Jambo lingine....unless litokee...lakini pressure group wao hukomaa na jambo Lao ...likiisha hao wanasambaratika.

Kingine chama cha siasa huwa Wanafanya lobbying na Ku compromise kwaajili ya chama...siasa nyingi hufanywa "background"...majukwaani huwa ni "image branding"...huwezi kukuta wanasiasa serious "wanafoka"majukwaani.....lakini pressure groups huwa na wanaharakati ambao kazi Yao ni "kutema moto" kwenye media na majukwa na kufanya "public stunts"…

Chama cha siasa huwa Viongozi wake huongea machache katika mengi wanayo yajua...wakati pressure groups hutumia kila information wanayoipata kusambaza propaganda ili mradi kuongeza shinikizo kupata wanacho kitaka...

Pressure groups Wana sifa kubwa ya kukubali kutumika na wasiasa ili na wao ajenda zao pia zipite...wakati chama cha siasa wao hutumia pressure groups kupata kueneza Sera zao....sio kutumika na wanasiasa WA chama kingine kusambaza propaganda za hao wanasiasa ukiamini labda mgawanyiko utasaidia....

Pressure groups huwa Wana ongozazwa na mentality za "do or die" "kama hawataki basi"..refer ..Bunge la katiba.

Wakati chama cha siasa hutafuta namna ya kupata Jambo moja muhimu litakalo leta mengine...
Mfano badala ya kukomaa na serikali tatu...why wasinge komaa na tume ya uchaguzi?..sababu tume ya uchaguzi inaweza rahisisha kabisa zoezi la kuamua Aina gani ya Muungano tunataka au hatutaki.

Chama cha siasa Mwenyekiti wake hawezi sema "usalama wameniambia niongelee Bandari"..
Wakati hao usalama hawakuwahi mwambia Makamu wake alipigwa risasi na kina nani?msaidizi wake alizikwa wapi? Walikuwa wapi wakati anafilisiwa na kuwekwa mahabusu kila mara?...unless offcourse.. Mwenyekiti kakubali sasa kutumika kama "pressure group"..Kwa agenda yeyote Ile watakayo mpa.

Pressure groups huwa pia zinaongezewa watu ...na kunyang"anywa watu....Dr Slaa,Lipumba na wengine...huweza kuwekwa na kuchukuliwa kupewa maagizo mengine wakati wowote ule ..watumike kama pressure group activists.

Pressure groups huwa na sifa ingine pia ya kupenda kuchangisha wananchi na kuwa wakali wakiulizwa lolote kuhusu hiyo michango.

Pressure groups huwa ina wananchama wakali wenye jazba..kama sio matusi ukibishana nao kidogo tu...wakati chama cha siasa huwa na watu werevu wenye ushawishi..ambao hutumia hoja kushawishi na hutumia hoja kuonesha kwanini lazima tubadili chama.

Pressure groups hutumia ujinga WA wananchi kuwajaza hofu ili Tu kupata sapoti ...mfano wa zile pressure groups za climate change...zinavyo Tia watu hofu.

Labda wenzetu waanze kujiuliza ...wao ni chama cha siasa au ni pressure group? Kama Samia anakosea si mumuache akosee ili mje mvune kura? Mkimzuia akosee halafu mnapata nini? Kuwa mmepiga Kelele akawasikia?hayo ndo mafanikio? Kuwa kazi yenu ni kukosoa serikali ijirekebishe? Na nyinyi mmekubali hiyo title? Title wanayopewa "pressure groups"?

Sifa kubwa ya pressure group ni kutumika na kuachwa agenda ya wanaowatumia ikipita... tusubiri tuone....
Holy Crap
 
Waambie viongozi wako kama hawataki fujo za pressure group wakafungue ofisi zao binafsi ili wasikosolewe lakini wakitaka kukalia ofisi za serikali basi wavumilie pressure!
 
Back
Top Bottom