Badala ya kuwa Chama cha siasa wamegeuzwa "pressure group"..na wanafurahia...

Shida ya kusoma History hiyo.

Quantitative Techniques, swali 1 lina njia hata 3 za ku solve na jibu likawa sawa na njia zingine. Je , shida ipo wapi?
 
Kazi ya chama chochote cha upinzani ni kuionesha serikali udhaifu wake, na wanafanya hivyo kwa kuipa pressure serikali ili irekebishe makosa yake, sasa kama hutaki serikali ipewe pressure unataka ibembelezwe kwa sababu ni ya shangazi yako?

Mkataba wa hovyo uliofanya nchi yetu idharaulike mbele ya jumuia ya kimataifa, hayupo mwenye kujielewa atakayekubaliana na hili, ni wajinga pekee, na kuchangishana ili kufikia malengo ya kuikomboa Tanganyika yetu hakuna tatizo, isipokuwa kwa mjinga kama The Boss
 

Wagawa bandari za Watanganyika bure kwa wajomba zao waarab nao wanajiita chama cha siasa?
CCM sio chama cha siasa ni genge la wahuni tu na ndiyo hawawezi tena omba kura kwa wananchi,wanategemea ma DED wawachotee kura haramu
 
Siku zote nilikuwa naamini wewe ni critical thinker, lakini nilikosea. Kipindi hiki cha Samia you are so biased, si kama kipindi cha Magufuli. Kwa hiyo unaaminisha Republicans kule US ni pressure groups? Maana kila kosa linalofanywa na uongozi wa Democrats sasa wanalishikia bango, - sasa wako na cocaine kukutwa ikulu na students' loans. Lakini pia ingekuwa wewe ni critical thinker ungejua tatizo la siasa Tanzania, liko wapi, limeanzia kwa mentality ya watanzania? Vyombo vya usalama au kwa vyama vya upinzani...
 
Na bqhati mbaya au nzuri CCM wanajua hili. So hawpati shida. Roho huwa inaniumq sana. Naona kabisa ccm ikiendelea kupeta.
 
Chama cha siasa Mwenyekiti wake hawezi sema "usalama wameniambia niongelee Bandari"..
Wakati hao usalama hawakuwahi mwambia Makamu wake alipigwa risasi na kina nani?msaidizi wake alizikwa wapi? Walikuwa wapi wakati anafilisiwa na kuwekwa mahabusu kila mara?...

Inafikirisha...
 
Sasa wao Kama chama Cha siasa wanakosea kwa kuwa pressure Group si ndio vizuri kwako na hao wadini wenzio???


Acha wakosee ili mpate manufaa.

Au kama vipi na nyie anzisheni chama Cha siasa, Kama mnajua zaidi kuendesha vyama vya siasa
 
Kumzuia mwizi ni bora kuliko umwache aibe aende ndipo ukamtafute umpeleke mahakamani hilo halipo utapoteza muda wako bure, halafu hakuna Mahakama ya kumshtaki huyu Mama hapa duniani.
 
hii kwa sababu hawana focus,hawana sera na wala hawajijui wapo kwa ajiki gani
 
Sijawahi kugundua hapo kabla, kumbe asali inalewesha kuliko hata hizi pombe zetu za kawaida!
 
Hbr yako mzee wa DP world!
 
Nilikuwaga namheshimu the boss, na yeye sijuhi siku hizi amekuwaje. Mawazo mbadala kwa presure kubwa yanatakiwa sana kwa nchi kama Tanzania. Viongozi wa nchi si sheria bali wao wanapaswa kufuata sheria na kuilinda
Usimlaum the boss mpunga wa DP world umemfyonza ubongo wote
 
Ni mpumbavu tu ambaye anasubiri mlisha ng'ombe amnyime ng'ombe chakula mpaka afe kisha aje kusema ...
Nlisema mimi huyu hafai. Akisahau huyo ni ng'ombe wa familia. Tunaweza tetea tukidhani waarabu wale wa DP World ni Dini yetu na Rais ni Dini yetu. Huo ni upumbavu. Mkataba ulioingiwa ni wa kichifu mangungu wa msovero kuliko hata ule wenyewe. Huyu ni Chief Hangaya wa Unguja.
 
Nilikuwaga namheshimu the boss, na yeye sijuhi siku hizi amekuwaje. Mawazo mbadala kwa presure kubwa yanatakiwa sana kwa nchi kama Tanzania. Viongozi wa nchi si sheria bali wao wanapaswa kufuata sheria na kuilinda
Safari hii tuliwekwa chini kuwa tumtetee huyu ni mwenzetu.
 
Unayosema ndio yameipa Siasa a bad Name; Siasa za sasa (Na unazoona wewe zinafaa) ni Siasa za Attack na Survival (waliopo wanafanya kila kitu ili wabaki ikiwemo propaganda na faulo za hapa na pale) walio nje wana-attack waliopo hata wakifanya mazuri kwa kuyapindisha... (ili mradi tu waingie kundini) Ukizingatia hakuna tofauti ya Sera on paper zaidi ya Vyama vya Bongo kuwa Platform za watu kuwa Watawala....

Kwa muktadha huo afadhali vyama vyote na kila mtu angekuwa Pressuer Group - Mwisho wa siku mambo yangekwenda - Unadhani kwanini Demokrasia has been found wanting ? (Ni hicho hicho unachosema lobbying, compromising na hakuna anayefanya long term project ni short terms issues ili baada ya miaka mitano wapate cha kuonyesha walifanya kitu) Hii ndio inafanya nchi kama China ipige hatua hakuna muda wa long unnecessary, unending debates (hata USA hakuna kinachofanyika zaidi ya Kila chama kuvutia kwao)... China wadau wakishaamua kwamba ni pale ndio tunakwenda wanaswaga tu hakuna kujiuliza wala kujishauri wala kupiga hatua mbili mbele tatu nyuma.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…