Badala ya kuwa Chama cha siasa wamegeuzwa "pressure group"..na wanafurahia...

Kwa hyo unataka uharibifu ufanywe na watu wakae kimya kiss wasubiri majukwaa ya kisiasa wayaongee

HV shule umekwenda kusomea ujinga

Wew ndio think tank la familia yako
 
Nilikuwaga namheshimu the boss, na yeye sijuhi siku hizi amekuwaje. Mawazo mbadala kwa presure kubwa yanatakiwa sana kwa nchi kama Tanzania. Viongozi wa nchi si sheria bali wao wanapaswa kufuata sheria na kuilinda
Mm binafsi nilkuwa namuheshimu ila kuanzi SAS namuona mpuuzi,mwenda wazimu tu mbele yangu
 
Pressure kubwa inatakiwa dhidi ya serekali hi ya majiz baadhi
 
Naoan umejitokeza kuunga ujinga mkono
 
Hata mradi wa bomba la gas sifa zilikuwa ni hizi. Hilo bwawa la Nyerere zitazalishwa 2,115mw wakati wa porojo za gas ilikuwa zitazalishwa 5,000mw. Je kuna kipi cha kusifia hapo?
Muda sio mrefu tutajua suala la umeme kama ukweli au siasa tu. Mwelekeo ni mzuri mpaka dakika hii.
 
Muda sio mrefu tutajua suala la umeme kama ukweli au siasa tu. Mwelekeo ni mzuri mpaka dakika hii.
Hilo jambo la umeme wa gas lilikuwa 2014 sasa sijui ni muda mrefu gani. Hilo la umeme wa maji ni lazima tusubiri ufanisi wake, maana hatukawii kusikia halina ufanisi inabidi apewe mwekezaji.
 
Holy Crap
 
Waambie viongozi wako kama hawataki fujo za pressure group wakafungue ofisi zao binafsi ili wasikosolewe lakini wakitaka kukalia ofisi za serikali basi wavumilie pressure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…