The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Bado tukiwaza Hili la Mtedendaji Mkuu wa Serikari kusema Vijana walio Maliza Elimu ya juu waende VETA Nimewaza ya kwangu pia kwa Taifa langu.
Kwanza Naona maono ya Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa kushauri VIjana waliomaliza vyuo vikuu ni namna ya kuongeza ujuzi na sio dharau.
Ila nimefikiri Badala ya Vijana wetu wanaomaliza elimu ya kidato cha sita kwenda mafunzo ya Jeshi, Ambayo ni bure,Wakila huko na kulala huko basi,Watoto wetu hawa kwa mfuko huo huo VETA iungane na Jeshi la Kujenga Taifa watoto hawa wawe wakipatiwa mafunzo ya ufundi.
Hii itaongeza thamani ya hawa wahitimu na kuwapa ujuzi badala ya kuwa rusha rusha vichurachura kila Asubuh na jioni kwa kisingizio cha ukakamavu.
Watatoka hapo na ujuzi,wa kuendelea kujiajiri waende wa kuendelea na elimu ya juu waende.
Pesa ya kuwakopesha hawa watoto kama Ada,itumike kuwakopesha hawa vijana mitaji kwa ambao hawataki kwenda Elimu ya juu na wamekidhi vigezo vya kupata mikopo.
Legacy.