Sharbel
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,699
- 3,281
Mhhh! Kuandika tu kunakutoa jasho.Soma Haya ya mwisho ya Andiko langu nimejazia nyama.
Mhhh! Kuandika tu kunakutoa jasho.Soma Haya ya mwisho ya Andiko langu nimejazia nyama.
Kujiajiri ✓ kujiajili ×
Nipo kwenye ajira, hizo ni nukuu sio zangu.
Mhhh! Kuandika tu kunakutoa jasho.
Bado mifumo na uwajibikaji ni mbovu sana ndugu yangu. Kijana kashapata ujuzi, umempa mkopo huyu akiingia mitini utampata wapi, na hauwezi kumlaumu kijana kwa sababu yeye mwenyewe anaona viongozi wanavyojipigia keki ya taifa kwaiyo anaona na yeye bora achukue chake apotee. Hii nchi mifumo ipo shaghalabaghala. Suluhu ni kufumua na kusuka upya mifumo yetuSoma Haya ya mwisho ya Andiko langu nimejazia nyama.
Akikujibu yeye ni "web developer" fundi wa kutengeneza website utamjibu nini ?....Kijana umesema umekosa kujiajili,nikakuuliza je una elimu gani ya Ufundi? Hukujibu kitu
Bado mifumo na uwajibikaji ni mbovu sana ndugu yangu. Kijana kashapata ujuzi, umempa mkopo huyu akiingia mitini utampata wapi, na hauwezi kumlaumu kijana kwa sababu yeye mwenyewe anaona viongozi wanavyojipigia keki ya taifa kwaiyo anaona na yeye bora achukue chake apotee. Hii nchi mifumo ipo shaghalabaghala. Suluhu ni kufumua na kusuka upya mifumo yetu
Huko wakapewe nini? Manake Kwa Elimu ya mtaala Mpya kwenda Advance itakuwa tight Kwa Sasa so watakaopenya na kwenda advance hao ni WA UniversityBado tukiwaza Hili la Mtedendaji Mkuu wa Serikari kusema Vijana walio Maliza Elimu ya juu waende VETA Nimewaza ya kwangu pia kwa Taifa langu.
Kwanza Naona maono ya Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa kushauri VIjana waliomaliza vyuo vikuu ni namna ya kuongeza ujuzi na sio dharau.
Ila nimefikiri Badala ya Vijana wetu wanaomaliza elimu ya kidato cha sita kwenda mafunzo ya Jeshi, Ambayo ni bure,Wakila huko na kulala huko basi,Watoto wetu hawa kwa mfuko huo huo VETA iungane na Jeshi la Kujenga Taifa watoto hawa wawe wakipatiwa mafunzo ya ufundi.
Hii itaongeza thamani ya hawa wahitimu na kuwapa ujuzi badala ya kuwa rusha rusha vichurachura kila Asubuh na jioni kwa kisingizio cha ukakamavu.
Watatoka hapo na ujuzi,wa kuendelea kujiajiri waende wa kuendelea na elimu ya juu waende.
Pesa ya kuwakopesha hawa watoto kama Ada,itumike kuwakopesha hawa vijana mitaji kwa ambao hawataki kwenda Elimu ya juu na wamekidhi vigezo vya kupata mikopo.
Legacy.
Huko wapiHuko wakapewe nini? Manake Kwa Elimu ya mtaala Mpya kwenda Advance itakuwa tight Kwa Sasa so watakaopenya na kwenda advance hao ni WA University
Utapeli tu,Huwezi lima kwa pamojaHivi ike BBT inaendelea?