The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,698
- 17,114
Unaelewa Somo lakini?"Amkeni nyinyi hakuna elimu ya bure,
Ninachojua Mimi Elimu ni gharama,
Siku zote nachoamini cha bure hakina maana,
Wanatupa Elimu mbovu ya bure isiyo na maana,
Na ndio maana siku hizi tunawasomi wajinga sanaa." Nay wa Mitego
"Nishatafuta kazi ya elimu yangu nikakosa,Unaelewa Somo lakini?
Lengo sio ajira,lengo ni ujuzi wa kujiajili Sawa Kijana,Imagine ungekua na Ujuzi wa kuchomelea"Nishatafuta kazi ya elimu yangu nikakosa,
Nikatafuta kazi ya mshahara mdogo nikakosa,
Hata ya mshahara wa chakula bado nao nikakosa
Nipo na vyeti nangoga miujiza ya Mwamposa" Nay wa Mitego
Ndugu mwanaJF hata wakitoka huko VETA bado watasota na ajira ikiwa hata sasa kazi ya kutafuta mashahara wa chakula tu ni shughuli pevu.
Kwani unaposema ajira unaelewa lakini ? kujiajiri nayo ni ajiraLengo sio ajira,lengo ni ujuzi wa kujiajili Sawa Kijana,Imagine ungekua na Ujuzi wa kuchomelea
Eeh kichwa chako kigumuu kuelewa,una elimu gani ya Ufundi? Nje ya degree yako?Kwani unaposema ajira unaelewa lakini ? kujiajiri nayo ni ajira
Tatizo Lipi?Aliyetoa Hilo wazo anataka kutengeneza tatizo jingine kubwa sana
Kinachoongelewa hapa ni mtu kuwa na machaguo mengi,Kuna mtu akifika hatua flan ya ujuzi anasema mimi siendelei na elimu ya Juu.Veta imejua kutrend
Shida inakuja wahitimu wanaona aibu kufanya kazi ambavyo zimezoeleka kuwa za wale wenzao walioishia darasa la saba, form 4, n.k.
Sasa kwani kujiajiri sio ajira ? Mimi na Wewe nani mwenye kichwa kigumu?Eeh kichwa chako kigumuu kuelewa,una elimu gani ya Ufundi? Nje ya degree yako?
Kijana umesema umekosa kujiajili,nikakuuliza je una elimu gani ya Ufundi? Hukujibu kituSasa kwani kujiajiri sio ajira ? Mimi na Wewe nani mwenye kichwa kigumu?
Ujuzi wa kuchomelea kuuleta kwenye vitendo utahitaji vifaa, tuna mfumo wa kuwawezesha hao vijana. Tatizo sio kwenda VETA wala upuuzi gani sijui, tatizo mfumo wetu ni mbovu na ili kumaliza tatizo tufumue mfumo mzima na kuweka mfumo mpya unaunganisha elimu na fursa zilizopo kwenye mazingira yetu.⁷Lengo sio ajira,lengo ni ujuzi wa kujiajili Sawa Kijana,Imagine ungekua na Ujuzi wa kuchomelea
Ujuzi wa kuchomelea kuuleta kwenye vitendo utahitaji vifaa, tuna mfumo wa kuwawezesha hao vijana. Tatizo sio kwenda BETA wala upuuzi gani sijui, tatizo mfumo wetu ni mbovu na ili kumaliza tatizo tufumue mfumo mzima na kuweka mfumo mpya unaunganisha elimu na fursa zilizopo kwenye mazingira yetu.
Education without employment opportunities produce educated thugs. The key is to combine economic activities with education.
Unforfunatery, we still don't have the intellectual capacity neccesary to solve the kind of problems we are facing. Worst is that we don't know that we don't have intellectual level to solve we problem we have, we wont even consider them as problem
Kujiajiri ✓ kujiajili ×Kijana umesema umekosa kujiajili,nikakuuliza je una elimu gani ya Ufundi? Hukujibu kitu