Badala ya vijana wanaomaliza Form Six kwenda Jeshini Waende VETA Bure

Soma Haya ya mwisho ya Andiko langu nimejazia nyama.
Bado mifumo na uwajibikaji ni mbovu sana ndugu yangu. Kijana kashapata ujuzi, umempa mkopo huyu akiingia mitini utampata wapi, na hauwezi kumlaumu kijana kwa sababu yeye mwenyewe anaona viongozi wanavyojipigia keki ya taifa kwaiyo anaona na yeye bora achukue chake apotee. Hii nchi mifumo ipo shaghalabaghala. Suluhu ni kufumua na kusuka upya mifumo yetu
 

Hiyo ni Topic ingine lakini,nafikiri umegundua kitu.
 
Kwangu mimi yoyote kwenda VETA ni sawa na pia sio sawa kutegemea yeye ni nani na ndoto zake ni zipi.
Mi la nne c nilienda VETA naona kama inanisaidia kwenye changamoto zangu za kitaa japo husband wangu la kwanza c na hajapita huko lakini Mimi alinipeleka.
Mimi sio mwanasiasa na maneno ya PM sio sumu kila mtu ajitathimini na majibu yake atayapata aende wapi na kwa sababu gani?.
 
Huko wakapewe nini? Manake Kwa Elimu ya mtaala Mpya kwenda Advance itakuwa tight Kwa Sasa so watakaopenya na kwenda advance hao ni WA University
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…