Badili mtazamo wako kuhusu BMW

mkuu...tatizo mnauziwa vifaa feki vya toyota ndo maana mnadhani toyota ina vipuri vya bei rahisi...mnavyouziwa k.koo vingi si genuine...jaribu tu kuulizia vipuri genuine vya toyota alafu ulete majibu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kwamba genuine spare hazipo z Toyota zipo nyingi sana ila watanzania wengi hawapend vitu genuine kwa bei kubwa wao wana msemo wao nikiweka hiki kikipiga miezi mitatu ni mingi sana pia Toyota ni kampuni ambayo mchina amemtolea spare nyingi sana hii ni kutokana na mfumo wake aliouweka ni tofaut na magari ya ulaya ambayo ni ngumu kwa mchina kumtolea copy yake
 
*TANGAZO* .

kama una rafiki yako ametokea Moshi na Gari *BMW white namba T223 DPU*

Majina
1. Mohammed Laseko(CRDB)
2. Dorine Mitimingi(CRDB)
3. Ainess

Walikuwa wanatokea kwenye Kili Marathon.
Gari yao imegonga treni hapa Mombo, na gari imeharikiba sana. Vitu vyao vimepotea watakuwa hawapatikani kwa simu.Wamevunjika miguu,
Wamepelekwa hospital. Dereva yupo chini ya ulinzi.

Mwenye ndugu mfike Mombo polisi....

Jr[emoji769]
 
View attachment 686106ni aina ya gari inayoaangaliwa kwa jicho la tofauti sana... Likionekana ni gari ghali na la kifahari huku watu wakitishana sana kuhusu ughali wa vipuri na upatikanaji wake wa shida...
Mkuu Mshana naona siku hizi umeachana na story za mauchawi na majini. BMW tumekusoma mkuu, vipi una uzoefu na Benz utupemo pia hints?
 
Mkuu Mshana naona siku hizi umeachana na story za mauchawi na majini. BMW tumekusoma mkuu, vipi una uzoefu na Benz utupemo pia hints?
[emoji23][emoji23][emoji23]hapana kaka kwenye Benz niko mweupe

Jr[emoji769]
 
Hakika!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba kuuliza hivi Vw touran na Vw golf touran ni gari mbili tofauti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina BMW SUV, X5. Electronics isues sijaona hivyo.

Ila pia baada ya muda kidogo nataka kujiongeza nichukue Porsche Macan S.

Kwa vile hatukujui wacha tukubali ...mi pia nina range rover ya 2013

Diesel

4.4L v8

340hp gia nane . .huwa sioni wa kusumbuana nae nae njiani...
 

Hicho kioo uliona kina waya kama wa touch za smart phone hizi au kipo tu kawaida ww ukakubali kwamba kina sensor bila kujiuliza hiyo sensor iko wap
 

Hakuna automatic brake system ...ni antlock/ skid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…