Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EBay ni nini sasa mkuu? au ndo umenitupia kitu hivyo!!!! Maana hadi kichwa kimeuma gaflaEBay
Ooh!hukusoma vzr uzi wangu mkuu, sio mimi ni jamaa namfahamu ndo alikutwa na huo mkasa,ndo nikawa namuona alivyokuwa anahangaika kutafuta speaUmesema uligongwa nanunalalamika kwamba hyo taa gharama sijui na vitu gani..sasa ndo nauliza hukuwa na bima
[emoji15] [emoji15] [emoji15] duuEBay ni nini sasa mkuu? au ndo umenitupia kitu hivyo!!!! Maana hadi kichwa nimetuma
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hizi walau kwa Bongo nazionaga zipo nyingi nyingiMimi nina BMW SUV, X5. Electronics isues sijaona hivyo.
Ila pia baada ya muda kidogo nataka kujiongeza nichukue Porsche Macan S.
Mafundi wengi Tanzania ni magumashi!njaa tu .Fundi wa kweli awezi tumia lisaa limoja kama ana computer kujua tatizo.gari lina Computer system inaitwa Electronic Control Unity amabyo nayo ina software kama vile computer.Tatizo unaweza kuta hao mafundi wana diagnostic kit yenye let say bmw za mwaka 2002 mpaka na 2005 wakati BMW wanayotakiwa waicheck tatizo ni ya 2006! Hapa hizo computer zao azitoona tatizo.pia mafundi wengi hapa Tanzania awataki kujisomea wao ni try and erro.Kuna jirani yangu ana bmw wiki ya 3 sasa lipo ndani mfumo wake wa umeme umeleta shida gari haiwaki,vioo havifunguki,sterring imejiloki.
Wameshakuja mafundi zaidi ya 7 wamefungua kila wanapojua na computer zao wameshindwa.
Yeah kama lile la Diamond X6 ile.sema ana uwezo ila X5 za nyuma naona wengi wanamudu. Kuna jamaa yangubaliibahatiaha ya mkononi 20 M miaka kama minne imepita anadunda nayoModel ya nyuma kidogo hazina shida ila ukichukua kama X6 nk... Mtihani kukitokea hitilafu
Hahaaa.Kuyanunua sawa inaweza isiwe ghali ila kuyanaintain ndio mtihani ulipo!
Tatizo mpaka leo VETA awafundishi Automotive Electronics ,mpaka leo sylubus yao ni Ya 1947 pijot na Landlover yenye only 5 wires (wirring nzima ya gari).Ata ukiend KJ Motors ambao ni dealer wa Toyota zipo Toyota mafundi wamechemka ishu za umeme! Tanzania bado tuna safari ndefu kwenye kuzalisha mafundi wa uhakika wa magari ya kisasa,LED TVs,Simu na Vifaa vypte vya kisasa vya Kielectronics mpaka vile vya mahospital....Natamani ningeanzisha darasa juu ya hivi vitu kama ningepata patners so sad pale unaponunua kifaa cha electronic alafu kikifa ujui fundi umpelekee naniKuyanunua sawa inaweza isiwe ghali ila kuyanaintain ndio mtihani ulipo!
Hapo ilikuwa ulaji wa matraffic police maana wanahesabu ni kosa. Mi mwenyewe ni mhanga wa hivi vijiwe yaan vikishasababisha crack kidogo inaendelea.Hahaaa.
Mwezi uliopita kuna kijiwe gani sijui kimepiga kwenye kioo. Ufa ukaanza kidogo. Ukawa unatambaa by the day.
Mzee mzima nikasema sitaki gozigozi kuendesha gari kioo kina ufa. Nikafanya research kioo cha mbele nafuu kilikuwa $450. Ukienda kichwa kichwa kuna sehemu mpaka $1200. Nikaambiwa kwa sababu kioo kina sensor ya kujua mvua inanyesha.
Nikasema isiwe tabu. Nikajipiga nikawekewa kipya.
This is sad kwa kweli. Mfano serikali inanunua mashangingi ya 2016 mapyaaa halafu watu wa kuyaendesha na kufanyia ukarabati ni wa miaka 47 wapi na wapi..matokeo yake gari ikienda service wanajua kureplace tu vifaa kurepair ni ngumuTatizo mpaka leo VETA awafundishi Automotive Electronics ,mpaka leo sylubus yao ni Ya 1947 pijot na Landlover yenye only 5 wires (wirring nzima ya gari).Ata ukiend KJ Motors ambao ni dealer wa Toyota zipo Toyota mafundi wamechemka ishu za umeme! Tanzania bado tuna safari ndefu kwenye kuzalisha mafundi wa uhakika wa magari ya kisasa,LED TVs,Simu na Vifaa vypte vya kisasa vya Kielectronics mpaka vile vya mahospital....Natamani ningeanzisha darasa juu ya hivi vitu kama ningepata patners so sad pale unaponunua kifaa cha electronic alafu kikifa ujui fundi umpelekee nani
Mashikolo mageni.Hapo ilikuwa ulaji wa matraffic police maana wanahesabu ni kosa. Mi mwenyewe ni mhanga wa hivi vijiwe yaan vikishasababisha crack kidogo inaendelea.
Sasa hapo kwenye bei..kwa toyota isingezidi $100 au $200 kulingana na aina ya gari. Sasa hayo mambo ya sensor ya mvua tena? [emoji2]
Mfano mpaka leo.Service ya gari mara nyingi wanabadili oil na oil filter. basi...kumbe ata airbags zinatakiwa kuwa checked na Computer kama zipo OK au hapana.Automatic brake System kama zipo OK au hapana na Sensors haya hayafanyiki..kweli kabisa safari bado ndefu.Serikali inatakiwa kuwekeza kwenye kuzalisha mafundi mchundo wengi kuendana na kasi ya teknolojia na ukuwaji wa uchumiThis is sad kwa kweli. Mfano serikali inanunua mashangingi ya 2016 mapyaaa halafu watu wa kuyaendesha na kufanyia ukarabati ni wa miaka 47 wapi na wapi..matokeo yake gari ikienda service wanajua kureplace tu vifaa kurepair ni ngumu
Mkuu mzigo unafika ndani ya siku tatu?Mafundi wengi Tanzania ni magumashi!njaa tu .Fundi wa kweli awezi tumia lisaa limoja kama ana computer kujua tatizo.gari lina Computer system inaitwa Electronic Control Unity amabyo nayo ina software kama vile computer.Tatizo unaweza kuta hao mafundi wana diagnostic kit yenye let say bmw za mwaka 2002 mpaka na 2005 wakati BMW wanayotakiwa waicheck tatizo ni ya 2006! Hapa hizo computer zao azitoona tatizo.pia mafundi wengi hapa Tanzania awataki kujisomea wao ni try and erro.
Kwa sasa unaingi E bay unaweka part no.unalipia kwa Pay pal baada ya siku tatu DHL wanakugongea mlango spea zimeshafika.Mimi na X3 na wala sikosi usingizi wa kuwaza spea sijui nini.Watanzania walio wengi ni maji kufanta mkondo awajiongezi! Wananunua magari kufuata maongezi ya vijiweni,matokeo yake wanakuwa waoga ktk kubadilika
Dunia ya leo ugumu wa upatikanaji wa spare unatoka wapi? Siku hizi hadi kandambili ukitaka unaagiza kutoka duka la ujerumani wanakuletea hadi bongo.Kulinunua sio tatizo,tatizo ni kulifanya liendelee kukaa barabarani, upatikanaji wa spea ni mgumu kwa bongo pia ni ghali,unaweza kuwa na pesa lakini ukakosa spea bongo mpaka uagize toka nje!!