Badili mtazamo wako kuhusu BMW

Badili mtazamo wako kuhusu BMW

Mkuu kuna 320td??? Yani kuna 320 ya Turbo?? Mbona wanasema 320 ni naturally aspitared????
Kiukweli ni gari nzuri...wenye mpango wa kununua magari ya kushuka 2007 bora wanunue 320 aisee interior yake haipitwi na wakati
 
Yeah kama hicho kisport pichani.. Engine kubwa powerful marvellous looks... Mafuta starehe
 
Kuna jirani yangu ana bmw wiki ya 3 sasa lipo ndani mfumo wake wa umeme umeleta shida gari haiwaki,vioo havifunguki,sterring imejiloki.

Wameshakuja mafundi zaidi ya 7 wamefungua kila wanapojua na computer zao wameshindwa.
(niunganishe na huyu jamaa, naweza tatua tatizo la gar yake)
 
Sijaandika mda mrefu sana jamiiforum lakini hapa kwa huyu mnyamwa umenishawishi niandike.
BMW ni balaa ni machine isiyo ya kawaida nadiriki kusema it's like imefungwa jet-engine. Machine is very stable ikikaa barabarani, speed skwambii kaangalie tu review ikilinganishwa na audi au M.benz ambazo zote zinaburuzwa. Machine inamuonekano wa kuvutia. Taa zake mbele ni amaizing
9cb66a914057ed873352287713d72dd4.jpg
6f3599f1d6fd07e147119664c89df8c8.jpg
aff198ee1f295c152cb1c22b18a8a74b.jpg
Ila ukweli ni kua BMW 3 series ya ukweli ni F-30 hiyo ndo inaweza kuizidi A4 B8...ila e90 inaziburuza vibaya audi a4 b7 kushuka chini...
Ila sijajua kama F-30 inaweza kucompete na A4 B9
So ukisema kuna bmw inaishinda audi taja na model
 
Mshana. Hebu yapange haya madude ya wajukuu wa Adolf kwa kuanzia na dude ambalo spea zake ni rahisi kupatikana. Mambo ya bei achana nayo.

BMW. BENZ. VW. AUDI.
 
Mimi ni MGONJWA wa BMW kwahiyo naipa no moja hayo mengine sina mzuka nayo kabisa labda at least VW sports
 
Mkuu kuna 320td??? Yani kuna 320 ya Turbo?? Mbona wanasema 320 ni naturally aspitared????
Kiukweli ni gari nzuri...wenye mpango wa kununua magari ya kushuka 2007 bora wanunue 320 aisee interior yake haipitwi na wakati
Td...turbo diesel
 
ipo ndugu... miaka kadhaa nyuma nilikuwa napush hyo 320 turbo diesel ila nikaisukuma baada ya vyuma kukaza since ilikuwa inaumiza kwenye spare parts nimerudi kwenye ulimwengu wa toyota... maana car enthusiast's wa bongo wanakwambia TOYOTA is our god SUZUKI is our jesus sasa jiroge utoke nje ya hizo brand na mfuko umetoboka
 
Maisha lazima yawe na changamoto... If you choose to be xcluziv be ready to pay the price .....
 
Back
Top Bottom