Badili mtazamo wako kuhusu BMW

Badili mtazamo wako kuhusu BMW

Hawezi. Anaandika kwa kutumia maneno anayosikia na tambo za kilevi.mi namwambia kitu ambacho nampa na data anaweza akaserach akafaham ukweli.imenishtusha sna.mndengereko mmoja wa hapa mwenge,manzese,mbezi,sinza na masaki anasema Toyota wanatengeneza taka taka.... Kidogo nizimie kwa mshtuko huo.lakini nikagundua ni kutokuelemika.nchi ambayo hatutengenez hata baiskel unamponda toyota? Ingekuwa nchi nyingine jamaa wangeenda mpima haja dogo na kichwani. Wazungu wenyewe wanazikubal toyota. Canada kuna kiwanda cha Toyota wanaziita Lexus zinaendeshwa na wazungu wengi tu.mimi mmatumbi nasema taka taka?

Badala umjibu GuDume kwa fact na takwim kama alivyokujibu wewe unaendelea kuandika utumbo.
 
Hawezi. Anaandika kwa kutumia maneno anayosikia na tambo za kilevi.mi namwambia kitu ambacho nampa na data anaweza akaserach akafaham ukweli.imenishtusha sna.mndengereko mmoja wa hapa mwenge,manzese,mbezi,sinza na masaki anasema Toyota wanatengeneza taka taka.... Kidogo nizimie kwa mshtuko huo.lakini nikagundua ni kutokuelemika.nchi ambayo hatutengenez hata baiskel unamponda toyota? Ingekuwa nchi nyingine jamaa wangeenda mpima haja dogo na kichwani. Wazungu wenyewe wanazikubal toyota. Canada kuna kiwanda cha Toyota wanaziita Lexus zinaendeshwa na wazungu wengi tu.mimi mmatumbi nasema taka taka?
wengi humu mkuu wanaishi kwa hisia. yaani wanajiona kama wako ulaya hivi. kwa nchi kama yetu mtu anaita Toyota takataka pengine anayeita hivyo anapandaga bmw la shemeji yake hajui gharama ya vipuri wala minor servicing.
DUNIA HII INA WATU NA VIATU.
 
Mkuu mshana asante kwa kututoa hofu...vipi unazungumziaje hii X3 na X5 as nataka kujilipua na mojawapo...interms of maintanance na fuel consumption.

Please [HASHTAG]#mshana[/HASHTAG] wengine ambao mnayajua..mi niko na nissan kwa miaka kadhaa....ila nataka nihamie humo.
 
kwa Tanzania yetu hii magari yanayoongoza kupendwa,kukubalika na ya gharama ya kati ni
gari za matumizi binafsi
1.Toyota
2.Suzuki
3.Nissan

gari za mizigo mikubwa
1.Scania
2.Mercedes Benz
3.Faw,Howo

gari za mizigo ya kati
1.Mitsubishi
2.Toyota
3.Isuzu

gari ndogo za mizigo
1.Toyota
2.Nissan
3.Suzuki

Gari kubwa za abiria
1.Scania
2.Yu Tong
3.Zongtong, higer etc

gari za kati za abiria
1.Toyota
2.Tata
3.Isuzu and Nissan

gari ndogo za abiria
1.Toyota
2.Toyota
3.Nissan

ukinunua nje ya brand hizi jiandae kisaikolojia kama mkono wako mfupi kama Mimi. kumbuka nunua gari ambayo utaweza kuimudu kuanzia service mpaka vipuri la sivyo gari itakushinda. pia nunua gari ambayo ni rahisi kupata Spear parts zake na bei iwe nafuu kwako. usinunue gari kwa sifa bila kufanya utafiti.
 
Jilipue tu ila usichukue la kisasa sana tech yetu bado sana... Hizo sio model mbaya ila tafuta td ili ufurahie ulimwengu wa cruising with less costs
 
Unazijua akili za JF kuna mwingine atakwambia tangu aanze kumiliki gari hajaona kama escalade au GMC. Mwingine atakwambia gari pekee anayoona ni gari ni Rolls Royce. Basi unagundua tu na tutoto tuliomaliza form four tumo humu ndani maana msafara wa mamba na kenge nao wamo nyuma nyuma.

Mi nakubali magari ya europe na hata america kwa aina na aina ni mazuri kama ambavyo kuna toyota nzuri na ghali pia. But siwez nikaonesha upuuzi wangu wa kwa kusema gari za toyota ni takata taka. Watu wanapenda toyota sababu spares zake zinapatikana kwa wingi hapa tz kama si africa.but ukitaka BMW zipo bei ya kawaida tu hata Benz, Audi,Cadillac etc shida ni upatikanaji wa spares zake na mafundi pia.

kwa Tanzania yetu hii magari yanayoongoza kupendwa,kukubalika na ya gharama ya kati ni
gari za matumizi binafsi
1.Toyota
2.Suzuki
3.Nissan

gari za mizigo mikubwa
1.Scania
2.Mercedes Benz
3.Faw,Howo

gari za mizigo ya kati
1.Mitsubishi
2.Toyota
3.Isuzu

gari ndogo za mizigo
1.Toyota
2.Nissan
3.Suzuki

Gari kubwa za abiria
1.Scania
2.Yu Tong
3.Zongtong, higer etc

gari za kati za abiria
1.Toyota
2.Tata
3.Isuzu and Nissan

gari ndogo za abiria
1.Toyota
2.Toyota
3.Nissan

ukinunua nje ya brand hizi jiandae kisaikolojia kama mkono wako mfupi kama Mimi. kumbuka nunua gari ambayo utaweza kuimudu kuanzia service mpaka vipuri la sivyo gari itakushinda. pia nunua gari ambayo ni rahisi kupata Spear parts zake na bei iwe nafuu kwako. usinunue gari kwa sifa bila kufanya utafiti.
 
Mwaikibaki. Wewe nunua gari unayopenda achana na stories za JF. hizi zikusaidie tu kupata uzoefu.huwez sema leo hii nikisema wanawake wa kitutsi ni watamu sana nawe utasema uachane na mkeo ukaoe mtutsi au uongeze mke wa kitutsi. Hili ni suala binafs unakula kitu you love...

Mkuu mshana asante kwa kututoa hofu...vipi unazungumziaje hii X3 na X5 as nataka kujilipua na mojawapo...interms of maintanance na fuel consumption.

Please [HASHTAG]#mshana[/HASHTAG] wengine ambao mnayajua..mi niko na nissan kwa miaka kadhaa....ila nataka nihamie humo.
 
Mwaikibaki. Wewe nunua gari unayopenda achana na stories za JF. hizi zikusaidie tu kupata uzoefu.huwez sema leo hii nikisema wanawake wa kitutsi ni watamu sana nawe utasema uachane na mkeo ukaoe mtutsi au uongeze mke wa kitutsi. Hili ni suala binafs unakula kitu you love...
GuDume ngoja nisizungumzie wengine.. Nijizungumzie binafsi
Mimi kwanza ni MGONJWA wa magari na gari ya kwanza kununua ilikuwa ni Mitsubishi Gallant mwaka 2001,kisha nikanunua Nissan bluebird... Baada ya hapo nikaingia kwenye TOYOTA chaser, Avante lordly... Niliipenda sana hii mashine TZS 2164, Nikaendelea na TOYOTA nikanunua Balloon GX90 CRESTA T800ABJ... hii mpaka leo ipo... Sifa ya balloon itakumbukwa vizazi vingi... Nikaingia kwenye Ford Explorer V8, nikaingia kwenye Benz V boot, nikarudi kwenye Nissan English Version kisha nikaingia kwenye BMW halafu nikarudi kwenye Nissan kisha BMW
Naomba nikiri wazi bila kificho bila hiyana na bila sifa BMW ni gari bora hasa linapokuja suala la ubora uimara na usalama
 
Mkuu ni wachache sana ambao wanapenda kua unique...kwa Bongo wengi wanapenda kufata mkumbo huku wakijifanya wanaenda na fasheni....binafsi mm napenda vitu unique...wamiliki tunakua wachache....ndo mana sitaki kuskia kuhusu Toyota na jamii yake
 
Ukitaka kumlevya Kasie na mahaba yake we mpatie BMW new model... waaahuuuu hakika mahaba yake utayapata 200/200.

Kasie being in love with BMW..... kisses and bumps to BMW.
Mtoto mzuri km Ww Hutakiwi kabisa kupandishwa kwny Toyota yyt Ile Ile hata VX.

Ww km unaendesha mwenyewe ukae kwny BMW X3 or A18i
Km Uko na mzee pembeni basi ukate kishoka kwny Range Rover New model au Audi Q7
 
Ukitaka kumlevya Kasie na mahaba yake we mpatie BMW new model... waaahuuuu hakika mahaba yake utayapata 200/200.

Kasie being in love with BMW..... kisses and bumps to BMW.
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] your request is my command Kasie
 
GuDume ngoja nisizungumzie wengine.. Nijizungumzie binafsi
Mimi kwanza ni MGONJWA wa magari na gari ya kwanza kununua ilikuwa ni Mitsubishi Gallant mwaka 2001,kisha nikanunua Nissan bluebird... Baada ya hapo nikaingia kwenye TOYOTA chaser, Avante lordly... Niliipenda sana hii mashine TZS 2164, Nikaendelea na TOYOTA nikanunua Balloon GX90 CRESTA T800ABJ... hii mpaka leo ipo... Sifa ya balloon itakumbukwa vizazi vingi... Nikaingia kwenye Ford Explorer V8, nikaingia kwenye Benz V boot, nikarudi kwenye Nissan English Version kisha nikaingia kwenye BMW halafu nikarudi kwenye Nissan kisha BMW
Naomba nikiri wazi bila kificho bila hiyana na bila sifa BMW ni gari bora hasa linapokuja suala la ubora uimara na usalama
Unapoteza muda. Kubadili mentality ya watu zaidi ya milioni 50 si kazi ndogo.
 
Back
Top Bottom