Oii
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 3,930
- 3,128
Niambie Basi, nayo inakulaje wese per kmUnashaangaa? Cheki Audi A4 B8 utastaajabu ulaji wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niambie Basi, nayo inakulaje wese per kmUnashaangaa? Cheki Audi A4 B8 utastaajabu ulaji wake
Zimekuwa over-engineered.Ningependelea kuwa na BMW siku moja ila “electronic issues” zipo nyingi kwenye hao wanyama!
Kama ni chuma cha mjerumani labda kujitosa Porsche
unawatisha watu.. nimekaa na gari kama hiyo miaka 5 mpaka nikauza bila tatizo kubwa loloteBora ubaki na fani yako ,nambo ya giza mkuu. Hiyo gari ni kichefuchefu.
Nikiagiza kwa DHL from US mzigo unafika JKNIA in 3 days.Si rahisi hvyo..
View attachment 686106ni aina ya gari inayoaangaliwa kwa jicho la tofauti sana... Likionekana ni gari ghali na la kifahari huku watu wakitishana sana kuhusu ughali wa vipuri na upatikanaji wake wa shida
Lakini nikwambie tu kitu kimoja hakuna gari imara kama BMW na ukiweza kufuata masharti ya kumiliki gari hutakaa ujutie pesa yako
Kama una uwezo wa kununua Brevis, Nissan Fuga au Klugger... Magari ya kijapan yenye engine kubwa na matumizi makubwa ya mafuta... Hakika HUWEZI kushindwa kununua BMW ya kawaida lakini yenye viwango sawa na hizo gari hapo juu.. Huku ukifurahia ulaji mdogo wa mafuta... Mfumo wa BMW uko tofauti sana... Umejengwa kwenye mfumo wa kuokoa ulaji wa mafuta huku nguvu ya mashine ikiwa ni ileile
Gari nyingi za kijapan hazina body ngumu tofauti kabisa na huyu mnyama BMW... Yani hata unapokaa kwenye seat unahisi kabisa umekaa kwenye mashine ya ukweli... Na ni aghalabu kukuta BMW imepinduka kichwa chini mijuu guu
Hizo magari hapo juu nazo spare zake ni ngumu na ghali kupatikana kama BMW tuu... Tena sometimes unaweza kuipata ya mnyama kirahisi zaidi kuliko hizo nyingine
Kingine ni kwamba BMW wana variety of different styles na kila style ni bakora tofauti na hizi nyingine.... Ukikuta mabrevis yote yanafanana
Badili mtazamo wako BMW ni gari ngumu nzuri na sio ghali kama unavyodhani.. Kuwa tofauti... Miliki mnyama... Pichani hapo juu ni 320td fuel consumption ni km 15 kwa Lita sawasawa na duet tuu... Lakini mkiwa rodini mnyama atatamba
Ningependelea kuwa na BMW siku moja ila “electronic issues” zipo nyingi kwenye hao wanyama!
Kama ni chuma cha mjerumani labda kujitosa Porsche
Unajua watu Kuna kitu hawaelewi!
Hakuna gari za Toyota Bali Kuna usafiri aina ya Toyota!
Magari ni km haya BMW, Audi, Volkswagen, Ford motors, Land Lover nk!
Mkuu GuDume.BIGURUBE acha ulimbukeni bwana. Toyota is one of the most competitive car making company in the world( na kwa sasa inaongoza katika makampuni 10 mkubwa duniani ya kutengeneza magari)
wanazalisha gari zenye sifa tofaut kwa sababu tofauti. ulaya na marekani wanatumia Toyota itakuwa wewe tu mswahili wa hapa unajidai eti si magari.... huo ni ulimbukeni tu. labda uwe huzifahamu gari za Toyota.
- 8th place: Honda Motor.
- 7th place: Fiat-Chrysler.
- 6th place: Ford Motor.
- 5th place: Hyundai-Kia.
- 4th place: Nissan-Renault Group.
- 3rd place: Volkswagen Group.
- 2nd place: General Motors.
- 1st place: Toyota Motor.
katika gari imara duniani
20. Toyota FJ Cruiser
19.Lexus LX 570
11.Toyota 4Runner
6.Toyota Land Cruiser FJ 40
5.Toyota Land Cruiser Mkonga
number 1 is Jeep Wrangler,
Mercedes Benz G Class ikiw anamba 7
kama vile haitoshi kuna Toyota Crown Majesta ni moja ya magari ambayo ni ya kifahari
View attachment 686817
View attachment 686819
View attachment 686820
View attachment 686821
View attachment 686822 View attachment 686823
Hi ni Toyota Crown ya mwaka 2013
price150 000 $![]()
Top speed 250 kph / 155 mph
Speed from 0-100 kph 5.7 seconds
Power 343 bhp / 252 kW
bhp / weight
185 bhp per tonne
Displacement
3.5 litre / 3456 cc
Weight
1850 kg / 4079 lbs
halafu wewe mlalahoi tu huna mbele wala nyuma unakuja kusimama mbele ya wanaume unaponda magari ya toyota? we utawafanya watu wagundue kuwa hufahamu magari na una ulimbukeni. magari yanazidiana uzuri na thamani lakini kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ponda magari ya Mjapani hata siku moja. Japan wanauza magari all over the world. wanatengeneza magari kulingana na mahitaji ya watu husika. watu wa aina yako wakue sasa.
Mkuu GuDume.
Nimesoma maelezo yako yooote lakini licha ya kusifia usafiri wako wa Toyota sijaona mahali popote Ulipotaja kuwa hizo Toyota ni gari moja, umezungumzia mauzo na umaarufu tu.
Kuhusu kuwa ni #1 duniani Hapo ni uongo wa mchana kweupee.
Hadi kufikia December 2017 Volkswagen Group Ndio Ilikuwa Kampuni kubwa zaidi ya magari duniani ikifuatiwa na Hiyo Toyota!
Nakubalina na Ww Kuhusu Toyota land cruiser mkonga, ila nyingine zote ni mbolea tu ukilinganisha na gari za Euro au America.
Sina ulimbukeni wa magari, nilishamiliki sana hizo mbolea za Toyota, Baada ya kuanza kumiliki gari za German ndipo nilijua kuwa kumbe Toyota ni usafiri tu na sio gari!
Badala umjibu GuDume kwa fact na takwim kama alivyokujibu wewe unaendelea kuandika utumbo.Mkuu GuDume.
Nimesoma maelezo yako yooote lakini licha ya kusifia usafiri wako wa Toyota sijaona mahali popote Ulipotaja kuwa hizo Toyota ni gari moja, umezungumzia mauzo na umaarufu tu.
Kuhusu kuwa ni #1 duniani Hapo ni uongo wa mchana kweupee.
Hadi kufikia December 2017 Volkswagen Group Ndio Ilikuwa Kampuni kubwa zaidi ya magari duniani ikifuatiwa na Hiyo Toyota!
Nakubalina na Ww Kuhusu Toyota land cruiser mkonga, ila nyingine zote ni mbolea tu ukilinganisha na gari za Euro au America.
Sina ulimbukeni wa magari, nilishamiliki sana hizo mbolea za Toyota, Baada ya kuanza kumiliki gari za German ndipo nilijua kuwa kumbe Toyota ni usafiri tu na sio gari!
BIGURUBE acha ulimbukeni bwana. Toyota is one of the most competitive car making company in the world( na kwa sasa inaongoza katika makampuni 10 mkubwa duniani ya kutengeneza magari)
wanazalisha gari zenye sifa tofaut kwa sababu tofauti. ulaya na marekani wanatumia Toyota itakuwa wewe tu mswahili wa hapa unajidai eti si magari.... huo ni ulimbukeni tu. labda uwe huzifahamu gari za Toyota.
- 8th place: Honda Motor.
- 7th place: Fiat-Chrysler.
- 6th place: Ford Motor.
- 5th place: Hyundai-Kia.
- 4th place: Nissan-Renault Group.
- 3rd place: Volkswagen Group.
- 2nd place: General Motors.
- 1st place: Toyota Motor.
katika gari imara duniani
20. Toyota FJ Cruiser
19.Lexus LX 570
11.Toyota 4Runner
6.Toyota Land Cruiser FJ 40
5.Toyota Land Cruiser Mkonga
number 1 is Jeep Wrangler,
Mercedes Benz G Class ikiw anamba 7
kama vile haitoshi kuna Toyota Crown Majesta ni moja ya magari ambayo ni ya kifahari
View attachment 686817
View attachment 686819
View attachment 686820
View attachment 686821
View attachment 686822 View attachment 686823
Hi ni Toyota Crown ya mwaka 2013
price150 000 $![]()
Top speed 250 kph / 155 mph
Speed from 0-100 kph 5.7 seconds
Power 343 bhp / 252 kW
bhp / weight
185 bhp per tonne
Displacement
3.5 litre / 3456 cc
Weight
1850 kg / 4079 lbs
halafu wewe mlalahoi tu huna mbele wala nyuma unakuja kusimama mbele ya wanaume unaponda magari ya toyota? we utawafanya watu wagundue kuwa hufahamu magari na una ulimbukeni. magari yanazidiana uzuri na thamani lakini kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ponda magari ya Mjapani hata siku moja. Japan wanauza magari all over the world. wanatengeneza magari kulingana na mahitaji ya watu husika. watu wa aina yako wakue sasa.
All over the internet watu watakuambia bila kupepesa kwamba Toyota ndio kampuni (na Japan ndiyo nchi) inayoongoza kwa kutengeneza magari reliable yanayodumu.BIGURUBE acha ulimbukeni bwana. Toyota is one of the most competitive car making company in the world( na kwa sasa inaongoza katika makampuni 10 mkubwa duniani ya kutengeneza magari)
wanazalisha gari zenye sifa tofaut kwa sababu tofauti. ulaya na marekani wanatumia Toyota itakuwa wewe tu mswahili wa hapa unajidai eti si magari.... huo ni ulimbukeni tu. labda uwe huzifahamu gari za Toyota.
- 8th place: Honda Motor.
- 7th place: Fiat-Chrysler.
- 6th place: Ford Motor.
- 5th place: Hyundai-Kia.
- 4th place: Nissan-Renault Group.
- 3rd place: Volkswagen Group.
- 2nd place: General Motors.
- 1st place: Toyota Motor.
katika gari imara duniani
20. Toyota FJ Cruiser
19.Lexus LX 570
11.Toyota 4Runner
6.Toyota Land Cruiser FJ 40
5.Toyota Land Cruiser Mkonga
number 1 is Jeep Wrangler,
Mercedes Benz G Class ikiw anamba 7
kama vile haitoshi kuna Toyota Crown Majesta ni moja ya magari ambayo ni ya kifahari
View attachment 686817
View attachment 686819
View attachment 686820
View attachment 686821
View attachment 686822 View attachment 686823
Hi ni Toyota Crown ya mwaka 2013
price150 000 $![]()
Top speed 250 kph / 155 mph
Speed from 0-100 kph 5.7 seconds
Power 343 bhp / 252 kW
bhp / weight
185 bhp per tonne
Displacement
3.5 litre / 3456 cc
Weight
1850 kg / 4079 lbs
halafu wewe mlalahoi tu huna mbele wala nyuma unakuja kusimama mbele ya wanaume unaponda magari ya toyota? we utawafanya watu wagundue kuwa hufahamu magari na una ulimbukeni. magari yanazidiana uzuri na thamani lakini kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ponda magari ya Mjapani hata siku moja. Japan wanauza magari all over the world. wanatengeneza magari kulingana na mahitaji ya watu husika. watu wa aina yako wakue sasa.
Yah mkuu najua ni turbo diesel sema sikujua kama e90 kuna turbo mkuu ndo mana nilivoona e90 td nikashangaa....Td...turbo diesel