Badili mtazamo wako kuhusu BMW

Badili mtazamo wako kuhusu BMW

Dunoa ya leo ugumu wa upatikanaji wa spear unatola wapi? Siku hizi hadi kandambili ukitaka unaaguza kutoka duka la ujerumani wanakuletea hadi bongo.
Ugumu upo mkuu,wewe vunja taa yako ya brevis(mfano tu), halafu mwingine avunje taa yake ya BMW halafu nendeni town uone nani ataipata kwa uharaka!wa brevis akienda ilala tu anapata taa fasta,haya mwenzangu na mimi wa BMW unaanzia wapi?si mpaka uagize toka nje wakati huo gari imepaki,mlolongo wa kuagiza mpaka uipate ni leo?!
 
Kuna jirani yangu ana bmw wiki ya 3 sasa lipo ndani mfumo wake wa umeme umeleta shida gari haiwaki,vioo havifunguki,sterring imejiloki.

Wameshakuja mafundi zaidi ya 7 wamefungua kila wanapojua na computer zao wameshindwa.
mmh
 
Ugumu upo mkuu,wewe vunja taa yako ya brevis(mfano tu), halafu mwingine avunje taa yake ya BMW halafu nendeni town uone nani ataipata kwa uharaka!wa brevis akienda ilala tu anapata taa fasta,haya mwenzangu na mimi wa BMW unaanzia wapi?si mpaka uagize toka nje wakati huo gari imepaki,mlolongo wa kuagiza mpaka uipate ni leo?!
Kuna mtu ana alikuwa na bwm x5 ikafa feni ya a/c kubadilisha akaambiwa 1m...kuna siku nikarnda gereji nikqkuta bmw x5 nyingine imefunikeq turubai kuuliza tatizo nn nkaambiwa gear box imekufa bei yake bora ukanunua kluger mpya
 
Hizi bwana ni gari za wenye wadhifa mkubwa.. Sisi vijana wa Mark II, Chaser IST, hiyo ligi kubwa inawenyewe.
 
Kuna mtu ana alikuwa na bwm x5 ikafa feni ya a/c kubadilisha akaambiwa 1m...kuna siku nikarnda gereji nikqkuta bmw x5 nyingine imefunikeq turubai kuuliza tatizo nn nkaambiwa gear box imekufa bei yake bora ukanunua kluger mpya
Si masikhara hayo magari!
 
Mimi nina BMW SUV, X5. Electronics isues sijaona hivyo.

Ila pia baada ya muda kidogo nataka kujiongeza nichukue Porsche Macan S.
Wacha wee..bora uwe hivi ndugu lakini yale mabishano yako uwe unapunguza braza.
 
Bora ubaki na fani yako ,nambo ya giza mkuu. Hiyo gari ni kichefuchefu.
 
Back
Top Bottom