GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Hawezi. Anaandika kwa kutumia maneno anayosikia na tambo za kilevi.mi namwambia kitu ambacho nampa na data anaweza akaserach akafaham ukweli.imenishtusha sna.mndengereko mmoja wa hapa mwenge,manzese,mbezi,sinza na masaki anasema Toyota wanatengeneza taka taka.... Kidogo nizimie kwa mshtuko huo.lakini nikagundua ni kutokuelemika.nchi ambayo hatutengenez hata baiskel unamponda toyota? Ingekuwa nchi nyingine jamaa wangeenda mpima haja dogo na kichwani. Wazungu wenyewe wanazikubal toyota. Canada kuna kiwanda cha Toyota wanaziita Lexus zinaendeshwa na wazungu wengi tu.mimi mmatumbi nasema taka taka?
Badala umjibu GuDume kwa fact na takwim kama alivyokujibu wewe unaendelea kuandika utumbo.