Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kutishwa na huo ndo ukweli na mimi mwenyewe ni shuhuda!kuna jamaa namfahamu alikuwa na hyo BMW 320 series iligongwa upande mmoja,taa kubwa ya mbele pamoja na side mirror zikavunjika!Alizunguka jiji zima hela anayo spea akakosa ikabidi gari ipaki mpaka spea ilipopatikana kwa kuagiza toka nje na kwa gharama kubwa!!sasa nambie ingekuwa ni toyota angehangaika kiasi hicho?!chukulia angekuwa na brevis,mark 2 au any toyota brand ambayo ni common in TZ angehangaika?!Ukweli ni kwamba unapoamua kununua gari kwa bongo tofauti toyota hakikisha una connection nzuri ya kupata spea mara itakapohitajika,pia uwe na pesa ya kutosha coz haitakuwa cheap km unavodhani!!Hapana watu wanatishwa sana kwenye hili
Wengi wanafeli hapaKuna jirani yangu ana bmw wiki ya 3 sasa lipo ndani mfumo wake wa umeme umeleta shida gari haiwaki,vioo havifunguki,sterring imejiloki.
Wameshakuja mafundi zaidi ya 7 wamefungua kila wanapojua na computer zao wameshindwa.
Gari gani ambayo bmw inalingana na toyota brevis mtu kama wa singida atapata wapi spea labda awe anafata dar
Yap!suala lingine ni mafundi,wengi wa mafundi wetu bongo wamezoea magari ya kijapanWengi wanafeli hapa
Kupuuzia warning lights
Kudhani kila mwenye diagnosis mashine anajua kutafuta, kugundua faults na kusoma code errors
VW na AUDI ndio mpango mzima.Bmw sio mbaya lakini hizo sifa ni za audi, vw na benz......
Hivi ist Lita moja inaenda km ngapi mtaalamuWengi wanafeli hapa
Kupuuzia warning lights
Kudhani kila mwenye diagnosis mashine anajua kutafuta, kugundua faults na kusoma code errors
Mimi nina BMW SUV, X5. Electronics isues sijaona hivyo.Ningependelea kuwa na BMW siku moja ila “electronic issues” zipo nyingi kwenye hao wanyama!
Kama ni chuma cha mjerumani labda kujitosa Porsche
Hakuna bima mkuuSio kutishwa na huo ndo ukweli na mimi mwenyewe ni shuhuda!kuna jamaa namfahamu alikuwa na hyo BMW 320 series iligongwa upande mmoja,taa kubwa ya mbele pamoja na side mirror zikavunjika!Alizunguka jiji zima hela anayo spea akakosa ikabidi gari ipaki mpaka spea ilipopatikana kwa kuagiza toka nje na kwa gharama kubwa!!sasa nambie ingekuwa ni toyota angehangaika kiasi hicho?!chukulia angekuwa na brevis,mark 2 au any toyota brand ambayo ni common in TZ angehangaika?!Ukweli ni kwamba unapoamua kununua gari kwa bongo tofauti toyota hakikisha una connection nzuri ya kupata spea mara itakapohitajika,pia uwe na pesa ya kutosha coz haitakuwa cheap km unavodhani!!
Bima kwa ajili ya nn tena mzee baba?!Hakuna bima mkuu
Umesema uligongwa nanunalalamika kwamba hyo taa gharama sijui na vitu gani..sasa ndo nauliza hukuwa na bimaBima kwa ajili ya nn tena mzee baba?!
Hao matapeli wa mtandao je? Umewasahau ee?Siku hizi dunia imekuwa kijiji unaingia mtandaoni tuu
Waipeleke msata kwa mnyama mshana [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna jirani yangu ana bmw wiki ya 3 sasa lipo ndani mfumo wake wa umeme umeleta shida gari haiwaki,vioo havifunguki,sterring imejiloki.
Wameshakuja mafundi zaidi ya 7 wamefungua kila wanapojua na computer zao wameshindwa.
Kuna fundi wa gari za BMW yuko maeneo ya mwenge karib na tamal hotel! Fanya kumcheki tatizo litatatuliwa hiloKuna jirani yangu ana bmw wiki ya 3 sasa lipo ndani mfumo wake wa umeme umeleta shida gari haiwaki,vioo havifunguki,sterring imejiloki.
Wameshakuja mafundi zaidi ya 7 wamefungua kila wanapojua na computer zao wameshindwa.