Actualy wali revenge na wao kwa kuchukua polisi kadhaa, lakin imefunikwaNasikia pia kuna mkoa askari wao waliuawa na polisi wala hakuna hatua jeshi ilichukua sijui kama hii habari ya kweli
Ni hatari ndio , binafsi kama bado jingekuwa nipo kwenye service, ningeopen fire kwa police, niaingevumilia kuona wana attack mwenzangu halaf nakodoa macho tuLakini mwanajeshi kupigwa shaba ndani ya nchi yake mahali ambapo hata sio vitani hii ni hatari
Inafikirisha.Lakini mwanajeshi kupigwa shaba ndani ya nchi yake mahali ambapo hata sio vitani hii ni hatari
Inasemekana vile viniajeniaje vilikua havina niajeniaje lakini sina uhakikaNi hatari ndio , binafsi kama bado jingekuwa nipo kwenye service, ningeopen fire kwa police, niaingevumilia kuona wana attack mwenzangu halaf nakodoa macho tu
Kwa hiyo walikuwa wamebeba placebo tu?Inasemekana vile viniajeniaje vilikua havina niajeniaje lakini sina uhakika
NB:INASEMEKANA
Majeshi yote ni mali ya CCMToka tarehe 29 mpaka leo bado nawaza mwananchi anawezaje kulengwa shaba mbele ya askari wa jeshi la wananchi naye askari akabaki anashangaa tu kama sanamu.
Moja mwananchi anapigwa virungu mbele ya askari jeshi, jeshi bado linashangaa inafuata anauawa bado tu mwanajeshi anashangaa wala hatua zozote za maana achukui hii inawezekana vipi wakuu ?
Mimi kwangu bado hainiingii akilini wakuu mbaya zaidi wanajeshi baadhi wanageuka kuwa kama watoa huduma ya kwanza wanawapakia kwenye magari yao majeruhi wa risasi hili ni jeshi la namna gani yote haya yanafanyika mbele yao.
Binafsi sijawahi kuwa na imani kubwa sana na jeshi la wananchi kwa kipindi kirefu ila kwa yaliyo tokea Oct.29 mbele yao ndio yananishangaza sana
Pia msimamo wangu sio jeshi kuchukua nchi mpaka sasa ni huo ila yale polisi walifanya mbele yao hakuna jeshi la wananchi hapa Tanzania kuna kitu kikubwa sana hakipo sawa ndani ya katika mfumo wao mzima toka juu kwenda chini.
Hivi IGP Wambura ndio CDF ?