Bado Km 51 ili Kigoma-Dar iwe lami. Rais Samia anaenda kuunganisha mikoa yote kwa lami

Tuzo ipi aliyopewa na n
 
Kigoma-Tabora ndiyo hiyo inazungumziwa hapo. Hiyo hesabu ni lami tayari; Mpanda-Kigoma ni lami; Mpanda Sumbawanga ni lami. Upande wa barabara Serikali imepiga hatua kwa kweli!
 
Kigoma-Tabora ndiyo hiyo unazungumzia hapo. Hiyo hesabu ni lami tayari; Mpanda-Kigoma ni lami; Mpanda Sumbawanga ni lami. Uoande wa barabara Serikali imepiga hatua kwa kweli!
We mbumbumbu acha kuongeza takataka zako.Mimi Niko Kigoma Sasa sijui unaongea nini.

Sikiliza hata video basi kama kuambiwa huelewi
 
Mambo ya kijinga sn, miaka 62 ya uhuru bado tunahangaika kuunganisha mikoa kwa lami badala ya kuunganisha kata kwa lami
 
Bangi unayovuta itakua imeanza kukupalia, kipande cha barabara cha kuanzia kasulu hadi kakonko na hicho kipande cha kuelekea tabora vilianza kujengwa na magufuli, huyo bibi chaudele amekuja kuendelea na kazi aliyo anazisha mwamba hata kama ulikua unamchukia mwamba usimsee uongo
 
S
Sema serikali. What.is samia by the way?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…