uchungu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 337
- 883
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeniUtakuwa unaishi Canada.Nyie mlikuwa mnaishi Kwa propaganda za Mwendazake.
Sasa Kwa taarifa Yako Barabara zifuatazo ni vumbi tupu.
Kigoma-Tabora
Mpanda-Sumbawanga
Kigoma-Mpanda
Morogoro -Songea
Mbeya-Tabora
Mbeya-Singida
Arusha-Musoma
Arusha-Simiyu
Njombe-Morogoro via Ifakara.
Mtwara-Masasi via Tandahimba
Morogoro -Lindi
Kigoma-Kagera
Hiyo ni Baadhi tuu ya Barabara kuu za Mikoa kwa Mikoa ambazo zimejaa mavumbi au Baadhi ya vipande Bado ni mavumbi.
Arusha to simiyu ambayo pia inafika musoma ni lami tuuu boss ilianza kujengwa siku nyingi na inapitika