Bado Km 51 ili Kigoma-Dar iwe lami. Rais Samia anaenda kuunganisha mikoa yote kwa lami


View: https://twitter.com/KigomaTanzania/status/1718584758316200385?t=BH3iMzqwNXEi_DYEB7BMHg&s=19
 

View: https://www.instagram.com/p/C16_46Csuna/?igsh=bHBrcDlpcTdyeGN6
 
Kabisa. Lazima tumpambe wa Dini yetu na kumponda Mwendazake.
 
Ukiona una mtoto mwenye hulka zinazofanana na mtoa post haraka sana kambadirishe na pepeta iambulie, maana wahuni si watu wazuri, awachelewi kufanyi wali ukawa bwabwa kisha wale kisamvu kopo.
 
Usiiuite hivyo uislamu wewe dogo.
Kwani mawazo ya kutanua Barabara yameisha na msukule wenu?

Au wakati ni Rais alikuta hakuna Barabara Tzn?

Umevimbiwa upumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…