ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #241
Wivu ๐๐๐๐S
Sema serikali. What.is samia by the way?
Subiria Machadomo mkishika Dola mtatamka mnavyotaka ila Kwa Sasa ni Tanzania ya Samia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu ๐๐๐๐S
Sema serikali. What.is samia by the way?
Samia hana hati milliki ya Tanzania time will come she will go awayWivu ๐๐๐๐
Subiria Machadomo mkishika Dola mtatamka mnavyotaka ila Kwa Sasa ni Tanzania ya Samia.
Akitoka mtataja mnavyotaka mapovu hayatabadili kituSamia hana hati milliki ya Tanzania time will come she will go away
Kodi zetu ndo zinajenga barabara
Tukiwaambia kwamba hakuna alichofanya Cha maana Mwendazake kwenye Barabara za lami wakati wa Uongozi wake muwe mnaelewa.
Imagine Hadi Leo hii huwezi fika Kigoma bila kutembea kwenye mavumbi na hali Iko hivyo kwenye Mikoa Mingi sana.
Sasa kipele kimepata mkunaji ambao km 51 zilizosalia zinaenda kukamilika kabla ya desemba 2024 hivyo Kigoma-Dar itakuwa lami.Kazi hii ya kutukuka anaifanya Rais Samia.
View attachment 2764695
View attachment 2764700
BADO KM 51.1 KUUNGANISHA TABORA-KIGOMA KWA LAMI
IMEELEZWA kuwa bado kilomita 51.1 ili kuunganisha mikoa ya Tabora na Kigoma kwa barabara ya lami na hivyo kuandika historia ya aina yake nchini.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya alipokagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Tabora- Kigoma sehemu ya Kazilambwa-Chagu yenye urefu wa KM 36 na Malagarasi-Ilunde-Uvinza KM 51.1.
โKwa kweli nimeridhika na kasi ya ujenzi sehemu ya Kazilambwa-Chagu yenye urefu wa KM 36 ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 99โ, amesema Eng. Kasekenya.
Naibu Waziri huyo amemtaka mkandarasi STECOL Cooperation Ltd anayejenga sehemu ya Malagarasi-Ilunde-Uvinza KM 51.1 kufanya kazi usiku na mchana ili kuandika historia ya kuunganisha mikoa ya Tabora na Kigoma kwa lami mapema iwezekanavyo.
Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Kigoma Eng. Narcis Choma amesema ujenzi huo umefikia asilimia 45 na watamsimamia kikamilifu mkandarasi ili maeneo yanayoweza kuathiriwa na mvua yakamilishwe mapema ili kuepuka visingizio na kuwawezesha wasafiri na wasafirishaji wa mikoa hiyo kunufaika na barabara ya kisasa.
Zaidi ya shilingi bilioni 62.7 zinatumika katika ujenzi huo ambazo ni matapo ya ndani na mkopo nafuu kutoka mifuko ya OPEC na Abu Dhabi.
Katika hatua nyingine Naibu Waziri Kasekenya amemtaka Mbunge wa Urambo Mhe. Margareth Sitta kuhamasisha wananchi wa jimbo hilo kulinda miundombinu inayojengwa katika jimbo hilo ikiwemo taa na alama za barabarani ili kuepusha ajali na kuendana na kasi ya Serikali ya kupendezesha barabara nchini.
โTunawajengea barabara na mzunguko wa kisasa round about ili kupunguza ajali eneo lililokuwa na kona kali na kutengeneza taswira nzuri ya Urambo hivyo hakikisheni miundombinu hii inalindwa na kuendelezwa kwani inatumia fedha nyingi za Serikali โ, amesisitiza Naibu Waziri Kasekenya.
Kwa upande wake Mhe. Margareth Sitta ameishukuru Serikali kwa uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya kisasa katika wilaya ya Urambo na kuahidi kutoa elimu kwa wananchi kuthamini uwekezaji mkubwa unaofanywa na Serikali ili kuchochea maendeleo ya wananchi.
View: https://youtu.be/wmpjkZkgfR4?si=PuPssK4vU2XqJbXx
Nawakumbusha tuu mradi ulianza tarehe 7/10/2021 baada ya Rais Samia kuingia madarakani,hakuna Cha Mwendazake kuanzisha na blaa blaa kama hizo,huku section ya kwanza Kigoma-Malagarasi alijenga JK
View: https://youtu.be/MfRWwiENKz8?si=S4TOiH1TvwP7NTKs
Pumbavu sanaRubbish gani Sasa,huu ndio ukweli hakuna kitu Cha maana alifanya Mwendazake kwenye Barabara Nchi hii badla yake Samia ndio ataweka historia.
Pumbavu zako wewe boya.Pumbavu sana
Marais wote walio pita walikuwa ni akina Magufuli, sasa kaingia samia ndo raia wa pili tz!Rubbish gani Sasa,huu ndio ukweli hakuna kitu Cha maana alifanya Mwendazake kwenye Barabara Nchi hii badla yake Samia ndio ataweka historia.
Pumbavu zako wewe boya.
Hakuna kitu alifanya Mwendazake kwenye Barabara Mikoani ,alikuta vumbi akaacha Vumbi.
By 2028 hakuna Mkoa utaenda ukanyage vumbi highway.
Tukiwaambia kwamba hakuna alichofanya Cha maana Mwendazake kwenye Barabara za lami wakati wa Uongozi wake muwe mnaelewa.
Imagine Hadi Leo hii huwezi fika Kigoma bila kutembea kwenye mavumbi na hali Iko hivyo kwenye Mikoa Mingi sana.
Sasa kipele kimepata mkunaji ambao km 51 zilizosalia zinaenda kukamilika kabla ya desemba 2024 hivyo Kigoma-Dar itakuwa lami.Kazi hii ya kutukuka anaifanya Rais Samia.
View attachment 2764695
View attachment 2764700
BADO KM 51.1 KUUNGANISHA TABORA-KIGOMA KWA LAMI
IMEELEZWA kuwa bado kilomita 51.1 ili kuunganisha mikoa ya Tabora na Kigoma kwa barabara ya lami na hivyo kuandika historia ya aina yake nchini.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya alipokagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Tabora- Kigoma sehemu ya Kazilambwa-Chagu yenye urefu wa KM 36 na Malagarasi-Ilunde-Uvinza KM 51.1.
โKwa kweli nimeridhika na kasi ya ujenzi sehemu ya Kazilambwa-Chagu yenye urefu wa KM 36 ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 99โ, amesema Eng. Kasekenya.
Naibu Waziri huyo amemtaka mkandarasi STECOL Cooperation Ltd anayejenga sehemu ya Malagarasi-Ilunde-Uvinza KM 51.1 kufanya kazi usiku na mchana ili kuandika historia ya kuunganisha mikoa ya Tabora na Kigoma kwa lami mapema iwezekanavyo.
Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Kigoma Eng. Narcis Choma amesema ujenzi huo umefikia asilimia 45 na watamsimamia kikamilifu mkandarasi ili maeneo yanayoweza kuathiriwa na mvua yakamilishwe mapema ili kuepuka visingizio na kuwawezesha wasafiri na wasafirishaji wa mikoa hiyo kunufaika na barabara ya kisasa.
Zaidi ya shilingi bilioni 62.7 zinatumika katika ujenzi huo ambazo ni matapo ya ndani na mkopo nafuu kutoka mifuko ya OPEC na Abu Dhabi.
Katika hatua nyingine Naibu Waziri Kasekenya amemtaka Mbunge wa Urambo Mhe. Margareth Sitta kuhamasisha wananchi wa jimbo hilo kulinda miundombinu inayojengwa katika jimbo hilo ikiwemo taa na alama za barabarani ili kuepusha ajali na kuendana na kasi ya Serikali ya kupendezesha barabara nchini.
โTunawajengea barabara na mzunguko wa kisasa round about ili kupunguza ajali eneo lililokuwa na kona kali na kutengeneza taswira nzuri ya Urambo hivyo hakikisheni miundombinu hii inalindwa na kuendelezwa kwani inatumia fedha nyingi za Serikali โ, amesisitiza Naibu Waziri Kasekenya.
Kwa upande wake Mhe. Margareth Sitta ameishukuru Serikali kwa uwekezaji mkubwa wa miundombinu ya kisasa katika wilaya ya Urambo na kuahidi kutoa elimu kwa wananchi kuthamini uwekezaji mkubwa unaofanywa na Serikali ili kuchochea maendeleo ya wananchi.
View: https://youtu.be/wmpjkZkgfR4?si=PuPssK4vU2XqJbXx
Nawakumbusha tuu mradi ulianza tarehe 7/10/2021 baada ya Rais Samia kuingia madarakani,hakuna Cha Mwendazake kuanzisha na blaa blaa kama hizo,huku section ya kwanza Kigoma-Malagarasi alijenga JK
View: https://youtu.be/MfRWwiENKz8?si=S4TOiH1TvwP7NTKs
Ina ugumu gani?Kazi ya kuwa chawa siyo rahisi Mshana Jr

Usiniingize kwenye dini zenu za kisengerema.Kabisa. Lazima tumpambe wa Dini yetu na kumponda Mwendazake.
Kabisa. Lazima tumpambe wa Dini yetu na kumponda Mwendazake.
Usiiuite hivyo uislamu wewe dogo.
Kwani mawazo ya kutanua Barabara yameisha na msukule wenu?Wala haina ugumu. Upo sahihi. Ni kujitoa tu ufahamu na kusifia kila kitu cha ambaye mtu unaamua kumchawia na kumponda mwingine. Samia tena 2025 huyu ndo alitoa hata wazo la fly overs zote na kutanua barabara ya Kimara Mbezi. Na SGR na kila zuri. Mwendazake akachukua tu sifa.....
Alikuwepo miaka 5 Iliyopita aliimaliza?Jiulize ujenzi ulianza lini? Angekuwepo hiyo barabara ingekuwa imeisha sijui umeandika nini maseee