Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

Niliwahi kuandika hapa jukwaani kwamba Makonda ndio Rais ajaye baada ya Samia raia wakanishukia but time will tell. Jamaa ana uthubutu wa hali ya juu na anakubalika na wananchi kupita maelezo.

Jamaa ni jasiri na haogopi mtu wala kitu chochote.

Hayumbishwi wala hatishwi na kitu chochote.

Halafu ana " a saviour aura " watu wakimuona wana muona mkombozi na mtetezi wa maisha yao...

Adui zake wana tetemeka na kumuogopa kama mtu alie toa sadaka ya kuwatisha na kuwoagopesha adui zake vile.

Watu kama Makonda ndo wanapataga wafuasi watiifu kwa sababu kwa nature ya binadamu huwa anamkubali na kumuamini sana binadamu jasiri.

Halafu ni lichapa kazi kinoma noma.

Jamaa atakuja kuwa Rais na watu watashangaa.
 
Record ya Makonda inakubalika na wajinga tu.
 
Anaandaliwa hapo mbeleni ashike!!Lakini najiuliza 2025-2030 nani anasimama!!?

Tusubiri,labda majaliwa kwa muhula mmoja coz inaonekana ulinzinwake uliimarishwa!!

Sasa FDR vip!!?ataingiaje!!?

Haya!!!?
FDR nahis ataingia 2033 jarbu kuangalia mwaka aliozaliwa FDR zile tarakimu zake mbili za mwsho znafanana na Konda, pia kipind FDR anaingia urais alkuw na umri wa miaka 51, pia ikifika 2033 kijana atakuw ametimiza 51.......

Ukitak kuelewa zaid karejee kuusoma vizuri uzi wa Tumia akili
 
FDR? Eti GENTAMYCINE FDR ndio nani?
 
Tuweke macho na masikio yetu wazi.

Nimekuelewa kaka. Uhalisia utajieleza
 
Alisemaga jk mnasema mim.mpole mpole sasa nawaletea chuma na kinatema chechee. Mwenez akipewa go ahead lumum ba pale wanaweza kubak watu 2 tu.

..anahitajika mtu mhuni na katili kama Magufuli, au kumzidi, ili watu wa chini yake kama Makonda waweze kushughulikia wengine huku chini.

..kama Mama Samia hatemi cheche usitegemee watu wa chini yake wakawa na nidhamu ya ukatili kama wakati wa Magufuli.

..jambo lingine linalompoza Mama Samia ni uoga wake kwa nchi za magharibi. Mama anataka mikopo toka magharibi hivyo hali hiyo inamtia hofu kuwa mkatili.
 
Halafu waziri Mkuu wake awe Dk. Ally Bashiru Kakurwa.
 


Paschal wewe ni mtu wa hovyo sana, kujipendekeza utaacha lini
 
Halafu waziri Mkuu wake awe Dk. Ally Bashiru Kakurwa.
Nchi itaenda mchaka mchaka.
Maana hawa wengine binafsi nawaona kama waimba mapambio tu. Sifa nyingi, lakini hakuna kinachofanyika zaidi ya kutupeleka kwenye lindi la umaskini uliotopea!
 
Ili tuendelee, tunahitaji watu wa aina ya PCM.
 

Niishie kusema wewe uzaeena vibaya.
 
Binafsi namwona ana nidhamu ya hali ya juu ndiyo maana baada ya kutoka madarakani aliweza kukaa kimya hadi alipoinuliwa tena.

..Ni muoga, asiyeweza kusemea wananchi mpaka awe ktk nafasi fulani ktk mfumo.

..Bashite angekuwa na uchungu na wewe, mimi, au nchi, angetoa kauli ktk mambo yanayohusu wananchi kama tozo, kikokotoo, bei ya mafuta, pembejeo, huduma za afya, nk.

..mikutano anayoifanya lengo lake ni kutulia hasira ya wananchi, na kuboresha taswira ya Ccm, kwa lengo la kubakia madarakani.

..Bashite amerejeshwa ili kuwanusuru walioko madarakani, na amekubali kutumika. Hayuko pale kutetea wananchi wanaotaabika kutokana na uongozi mbovu wa Ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…