Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

Alikua anatufaa sana kua, raisi kulingana na nchi yetu, licha hivyo nafasi itakua finyu sana kulingana na ukanda anaotoka
 
Hivi Paskali anazungumzia ukombozi gani? Ni lini umewahi lalamika kuwa tunapitia mateso hivyo tunahitaji kukombolewa.

Kwako ukombozi ni nini?

Ukombozi huletwa na nani na kwa namna gani?

Chagua upande ili tujue hata hizo voice from within hazitoki tumboni ama zatokea tumboni.
 
Pascal Mayalla ni msomi na mwelewa wa mambo mengi kutokana na kuwa kwenye media miaka mingi, lakini kwa hili la kumwona MAKONDA kama anaweza kuwa Raisi wetu kaamua kujitoa akili au akili yake ni ya kiwango cha chini sana, mungu atuepushe na watu kama Makonda la sivyo nchi itateketea mchana kweupe
 
Wanabodi,

Tuambizaze ukweli, Rais Samia sio chuma kivile kwa uchuma wa Magufuli type, ila yeye naye ana uchuma wake kupitia jicho!. Rais Samia ana jicho hilo!, linaona kila mahali na kila pahala!. Sasa ili mambo yaende, hili taifa linahitaji chuma cha kulikimbiza mchaka mchaka!. Jicho la Mama Samia lika kispoti chuma fulani kikiwa kipo kipo tuu!, Samia akakisajili chuma hiki na kukiita kumsaidia kule kwenye chama!, na kusema ukweli kilikuja moto, kwa mwendo wa mchamchaka, alianza kuwakimbiza kwa kuanza na kinara wao kwa kupewa ultimatum!, kisha mawaziri na watendaji wakaanza kuperekeshwa!

Mara yakaibuka mayowe kila kona!

Paskali.
Hata hizi kelele za udhalilishaji ni kelele za mayowe tuu, watu wanapiga mayowe!, yatapita na maisha yataendelea.

Mheshimiwa Makonda, Salaam. Nataka nikupe pongezi zangu za dhati kwa kasi ya utendaji wako na jinsi unavyo lipigania taifa la Tanzania. Kuna watu wanafikiria tofauti na unavyo fikiria wewe. Wewe unamawazo chanya una kipawa cha uongozi usiyumbishwe na wale wanao kukatisha tamaa. Hao wanachukia wanapoona nyota yako iking'aa kinyume na matarajio yao, hivyo wanakutafutia visababu ili kuweza kukuangusha. Wanawatuma watu waongee wanayo yaongea, amini kwamba hao ni vipaza sauti tu kuna watu walio watuma.

Wakati ukitetea hali za wamama wanao nyanyaswa Arusha sikuwaona UWT wala TAMWA wakikupongeza, umesaidia wamama wengi kupata haki zao, wengi walio najisiwa watoto wao umewapa haki hakuna aliye kupongeza! Lakini ulipomkemea yule mtendaji wa serikali kwa uzembe wa kutotekeleza majukumu yake na kufikia hatua ya kuathiri maelfu ya wananchi waliibuka na kusema kwamba umekosea na kutaka kwamba eti uwajibishwe!

Kuna watendaji waliozoea kula rushwa. Ulipoanzisha uchunguzi kwenye mifumo ya malipo ya serikali wengi hawakupenda, ni wale wanao nufaika na mfumo huu maana wanajua sasa wameumbuka kwa kuchepusha pesa za serikali, na kupitia wewe mifumo yote Tanzania nzima ni lazima ichunguzwe.

Utashangaa pale utakapo fanya vizuri hawata kupongeza, watakaa kimya ila pale utakapo teleza utawasikia kwenye vyombo vya habari wakikuchongea kwa viongozi wajuu kwa maneno ya hapa na pale.

Mkuu nikwambie kitu kimoja songa mbele usirudi nyuma wala kukata tamaa, kuna mamilioni ya watanzania wanakutazama, wanakukubali na wanaona kasi ya utendaji wako wa kazi. Wewe ni dhahabu ili uweze kung'aa ni lazima upite kwenye moto.

Nakutakia utendaji mwema katika kazi yako.
Naunga mkono hoja
- Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

- Pascal Mayalla ampongeza Makonda kuteuliwa mwenezi NEC taifa. Ampigia simu kumpongeza

- Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

- Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

- Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

- Je, Tanzania tunahitaji viongozi gani?. wajinga wachapakazi, au mangi meza wenye vyeti?.

- Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

P
 
Kweli ni chuma na ni Mbunge ajaye wa Arusha mjini in the making!
Hapana sio mbunge wa Arusha, jimbo la Arusha lilitengwa kwa Lema katika ule mgao wa kugawana nusu mkate na CCM. Konda Boy hakai sana hapo Arusha, anapanyoosha tuu kisha anarejeshwa Dar. Atagombea Kinondoni au atakwenda kwao Kolomije
P
 
Hakuna kitu hapo huyo Makonda wako Ni usukuma tu ndio unakuumiza....hafai kwanza anatakiwa kuwa jela. Hivyo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Speaking from a spiritual perspective:


1. Makonda ana kibali cha Mungu tena kibali chake kinataka straight from the the throne room of heaven.


2. Makonda ana mafuta ya Mungu.


3. No one can ever defeat Paul Makonda...


It is better to join him cause you cannot defeat him.


Makonda atakuja kuwa Rais wa nchi hii mtakuja kuniambia nipo nimekaa pale
 
Mkuu #pasco mayalla nakuelewa sana, hizo Article ulizoandika Toka huyu kijana akiwa DC KINONDONI,
Hili ni Jiwe walilolikataa waashi, twendeni tu muda utaongea
Na article za pasco NDO ZITATUMIKA KAMA USHUHUDA
 
Back
Top Bottom