Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

Alikua anatufaa sana kua, raisi kulingana na nchi yetu, licha hivyo nafasi itakua finyu sana kulingana na ukanda anaotoka
 
Hivi Paskali anazungumzia ukombozi gani? Ni lini umewahi lalamika kuwa tunapitia mateso hivyo tunahitaji kukombolewa.

Kwako ukombozi ni nini?

Ukombozi huletwa na nani na kwa namna gani?

Chagua upande ili tujue hata hizo voice from within hazitoki tumboni ama zatokea tumboni.
 
Pascal Mayalla ni msomi na mwelewa wa mambo mengi kutokana na kuwa kwenye media miaka mingi, lakini kwa hili la kumwona MAKONDA kama anaweza kuwa Raisi wetu kaamua kujitoa akili au akili yake ni ya kiwango cha chini sana, mungu atuepushe na watu kama Makonda la sivyo nchi itateketea mchana kweupe
 
Hata hizi kelele za udhalilishaji ni kelele za mayowe tuu, watu wanapiga mayowe!, yatapita na maisha yataendelea.

Naunga mkono hoja
- Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

- Pascal Mayalla ampongeza Makonda kuteuliwa mwenezi NEC taifa. Ampigia simu kumpongeza

- Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

- Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

- Nikimwangalia Makonda, mambo anayoyafanya namuona kama Magufuli

- Je, Tanzania tunahitaji viongozi gani?. wajinga wachapakazi, au mangi meza wenye vyeti?.

- Bado kuna ubishi kuwa hiki ni chuma? Je, chuma hiki ni chuma kingine ila ni kama kile au chuma hiki ni kile kile kimerejea kivingine?

P
 
Kweli ni chuma na ni Mbunge ajaye wa Arusha mjini in the making!
Hapana sio mbunge wa Arusha, jimbo la Arusha lilitengwa kwa Lema katika ule mgao wa kugawana nusu mkate na CCM. Konda Boy hakai sana hapo Arusha, anapanyoosha tuu kisha anarejeshwa Dar. Atagombea Kinondoni au atakwenda kwao Kolomije
P
 
Hakuna kitu hapo huyo Makonda wako Ni usukuma tu ndio unakuumiza....hafai kwanza anatakiwa kuwa jela. Hivyo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Speaking from a spiritual perspective:


1. Makonda ana kibali cha Mungu tena kibali chake kinataka straight from the the throne room of heaven.


2. Makonda ana mafuta ya Mungu.


3. No one can ever defeat Paul Makonda...


It is better to join him cause you cannot defeat him.


Makonda atakuja kuwa Rais wa nchi hii mtakuja kuniambia nipo nimekaa pale
 
Mkuu #pasco mayalla nakuelewa sana, hizo Article ulizoandika Toka huyu kijana akiwa DC KINONDONI,
Hili ni Jiwe walilolikataa waashi, twendeni tu muda utaongea
Na article za pasco NDO ZITATUMIKA KAMA USHUHUDA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…