Bado kuna wanaobisha misiba ni mingi kuliko mwaka jana

Wabunge watatu,wanasheria 8,maa dc 2,ma dk bingwa3,,,,haya tusubiri mwaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Uingereza ilipokuja Corona vifo vya magonjwa mengine navyo viliongezeka. Wamekuja kujua baadaye kuwa kumbe hata vingi vingine ilikuwa Corona.

Sina hakika kama umeielewa mada. Vifo vimeongezeka. Matatizo ya kupumua. Hakuna aliyesema ni Corona.

Haitushangazi vifo vimeongezeka? Haitushangazi ukisikia ni matatizo ya kupumua? Haitushangazi ni kwa nini ni siku za karibuni? Hatujali wala kuona kama hali sawa sawa.

Hatuoni kuwa kuna tatizo hadi litukute mlangoni. Kuna kitu halipo sawa.

Kama hatuoni hii ni serious tutakuwa watu wa ajabu mno.
 
HGL, HKL et el
 

Mambo haya hakuna yanayokufikirisha?

1. Hawakuwahi kufa wakuu wa wilaya 2 ndani ya wiki 3.
2. Hawakuwahi kufa wabunge 3 ndani ya wiki 3.
3. Rais hakuwahi kubakia kwao kwa zaidi ya mwezi mzima.
4. Hatukuwahi kupata ugonjwa shughuli zote za shule zikastishwa.
5. Hatukuwahi kuwa na mazishi ya kusimamiwa na serikali.
6. Hatukuwahi kuwa na mazishi waombolezaji wasiozidi 10
7. Nk nk

Yote haya yanatokea katika kipindi hicho hicho.

Kweli haya huyaoni na ni jasiri wa kuulizana kama kuna jingine?

Sote tupo dunia hii hii au wengine mnatokea anga za juu?
 
What is your point, pal?!
 
What is your point, pal?!

Did you read your preceding comment that I replied to? What was your point patsy?!

Please get back to it or to your senses. If you gotta eyes, I promise, you won't miss it!
 

Kwahiyo serikali ndio huwa inapanga nani afe nani asife,kichwa sio kwa sababu yakufuga nywele tu tumia hata akili kupambanua mambo


Sent using IPhone X
 
sisi(watoto) tumelelewa hivyo kimizaha ndivyo tunakua hivyo kimizaha.

Kama mwenyewe ulivyokiri.
Akili yako nyembamba , haijajua methali,
Pembamba hukatika kamba,angalia fumbo hili,

Fumbo afumbiwe mjinga, mwerevu hung'amua.

Aliyekuwa mjinga ,akifundishwa hujua.

Mshairi huru Chakochangu.
 
Huu utaratibu wa kunawa kila wakati nao unatichanganya mkuu, hebu fafanua na hapa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Data siyo lazima mwisho wa mwaka. Tunaweza ku complile data ya first ,second and third quarter . Mwisho ya mwaka tunafunga hesabu.
 
Mzee Baba hajajificha, he is working from Ikulu ya Chato na kila siku tunamuona anapiga kazi kutokea pale unasema kajificha, kajificha vipi wakati pale ni kwake?!

P
Wengi tu wanajificha na kuchapa kazi. Unapojificha kuna kitu hutaki kikuone au unakikwepa-kwa mfano-Korona. Hata mimi nimejificha nyumbani kwangu lakini kazi nachapa. Utamu unakuja pale kwa Mzee Baba aliposepa. Nasikia anaongoza "vita" toka huko mafichoni-hata Churchil alijificha underground wakati wa vita kukwepa mabomu ya wajerumani (LoL). Jambo hapa ni perception-ni kweli amekimbia mdudu?
 
Did you read your preceding comment that I replied to? What was your point patsy?!

Please get back to it or to your senses. If you gotta eyes, I promise, you won't miss it!
I repeat, what's your point?! Don't you think it'd be wiser to directly respond to my question?!

Sounds like you're not sure of what exactly you're arguing, are you? If not, what's your point? Tiririka...
 
I repeat, what's your point?! Don't you think it'd be wiser to directly respond to my question?!

Sounds like you're not sure of what exactly you're arguing, are you? If not, what's your point? Tiririka...

I repeat, did you read your preceding comment that I had replied to?

Get back to your senses if you have any left with you, patsy. You had my promise - "you won't miss it!"

Miminika ....
 
Ni kwamba corona ikikukuta upo tit inakusukumiza!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…