Bado kuna wanaobisha misiba ni mingi kuliko mwaka jana

Bado hujawa specific nini kifanyike mazee!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakuwa akili zao wamezipeleka likizo kwa muda!
Hakuna ugonjwa kwanini shule bado zimefungwa?
Mahali nilipo barakoa na kuosha mikono ni compulsory mpaka sasa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii joining force mnamaanisha tukasaidiane na waganga na wauguzi au?
Maana tunaelekezwa kujikinga kwa mbinu za kisayansi, au kuna zingine tunakosea taifa lilipaswa kutuelekeza?( ukiondoa lockdown ya kiserikali ile fully,maana shule na vyuo tayari viko lockdown)
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We wa igombe huko mwanza vipi?
Nasikia karantini za buswelu na isangijo watu wamejaa sana wengine wanatoroka huko, hebu kafanye uchunguzi utuletee data, pia nasikia makaburi yamejaa sana mwanza kiasi hakuna pa kuzika tena na wazikaji pia wamechoka na wamekimbia kazi,mochwari za bugando na sekou toure nasikia hali tête na hospital za wilaya nyamagana na ilemela pia.
Tujuze mazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa nilikuhisigi ndio mbunge wa sumve, sasa alivorest in peace nashangaa bado upo.
Wasalimie hapo ddh, sumve luguru, mantare, kolomije na ishingisha kwa leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha..ndo ajaye, shukrani kwa hilo, baada ya bunge kuvunjwa nitatangaza nia na humu ndo itakuwa jukwaa langu la kwanza kutangazia nia, jf ni sehemu ya maisha yangu.

Salamu zimefika huko kote, kote kwenda mpaka Malya zimefika.
 
Hahaha..ndo ajaye, shukrani kwa hilo, baada ya bunge kuvunjwa nitatangaza nia na humu ndo itakuwa jukwaa langu la kwanza kutangazia nia, jf ni sehemu ya maisha yangu.

Salamu zimefika huko kote, kote kwenda mpaka Malya zimefika.

Wewe sio uligombea ukapigwa chini ukamlaumu sana marehemu?
Msalimie Mchele mwenye Ntunduru kama sio wewe mwenyewe!
 

5 na 6 Sio kweli ushawahi shuhudia mazishi ya watu waliokufa kwa Cholera/Kipindipindu ?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwanini anakimbia vikao na maraisi wenzake?
Kazi gani hiyo anayoifanya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…