Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #421
Mkuu, either you respect me or not, I don't care, msimamo wangu utabaki pale pale kwamba binadamu hatakiwi kuzaa hovyo kama sungura. Mama/baba anazaa sambamba na watoto? Alikuwa wapi siku zote?Hujapangiwa bosi wala hakuna malipo
Hoja Tu imekua kituko
Unataka kuwapangia wazazi wazae lini lakini hutaki feedback ukipost kwenye public forum
I respect you a lot kamanda.... Ila Leo aisee