Bado kuna wazazi wanaendelea kuzaa hata baada ya mtoto wao wa kwanza kuolewa? Mtoto wa mwisho analingana na mjukuu wa kwanza? Huku ni kukosa maadili

Hujapangiwa bosi wala hakuna malipo

Hoja Tu imekua kituko

Unataka kuwapangia wazazi wazae lini lakini hutaki feedback ukipost kwenye public forum

I respect you a lot kamanda.... Ila Leo aisee
Mkuu, either you respect me or not, I don't care, msimamo wangu utabaki pale pale kwamba binadamu hatakiwi kuzaa hovyo kama sungura. Mama/baba anazaa sambamba na watoto? Alikuwa wapi siku zote?
 
Sawa mkuu
 
Mkuu, either you respect me or not, I don't care, msimamo wangu utabaki pale pale kwamba binadamu hatakiwi kuzaa hovyo kama sungura. Mama/baba anazaa sambamba na watoto? Alikuwa wapi siku zote?
Unadhani hao akina mfalme Solomon, Abraham na wengine walizaa Kwa muda gani?

Ukiona dume linahangaikia madume mengine yanazaa vipi ujue limeboreka
 
Watoto wa mwisho bora uzae watakusaidieni msiwe boreke wakati wale wakubwa wakiondoka nyumbani kujitegemea msiwe wapweke
 
Hii kitu ni common sana pale makao makuu ya nchi, mama na mtoto wake wote wana mabeseni vichwani wanaenda kujifungua....
 
Kila Mtu afanye lililo sahihi kwake
Ukizaa watoto wako usisumbue watu kulea hata ukiwa na 70 yrs we zaa tu Cha muhimu usisumbue Mtu ktk malezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…