Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Acha uoga mkuu...
Sheria yoyota iliyotofauti na nature ni batili!
Naona Sasa umeanza kujifananisha na samaki😂😂Nature hii hii inayokufanya uzalishe more than a thousand sperms per mshindo?
Mbona hutoi watoto wengi kama samaki ama chura per pregnancy?
Tumeumbwa kuyatawala mazingira (nature) na sio kinyume chake!
Kabisa mkuu mzee wangu alizaa wakwake akiwa na miaka 65 hiyo ilikua mwaka 2008 sasa hivi ka dogo ndio kanampa kampani na kumchangamshalakini watoto wa uzeeni ndio huwafariji wazee baada ya wakubwa wote kuanza maisha yao na isitoshe siku hizi utamaduni wa kuwaachia wazee wajukuu wawalee ni kama unakufa, kheri hiyo kidogo inawaondolea upweke ndani ya nyumba
coach, maneno ya mwenye kushiba hayo!! mtoto ana raha yake asikwambie mtu; isitoshe kuna wimbi la wazazi wasiotaka au kupenda watoto wao kulelewa na mabibi siku hizi......ungelipata tabu na majuto.Binafsi mimi nisingezaa tena! Ningesubiri wajukuu!
Hao ningewafanya wanangu na pia kwa mzazi kupata Mjukuu ukiwa bado na nguvu basi ni kama baraka!
It’s like getting a second chance to create a whole human being again, kwa kutumia ujuzi na makosa ya zamani kufanya bora zaidi!
Sio kulingana tu, hata akazidiwa kabisa na hiyo kwetu ndivyo ilivyo na wala hamna tatizo dogo wa mwisho kazidiwa miaka mingi sana na mjukuu wa kwanza wa mzeeMkuu, ni sahihi mtoto wa mwisho akalingana na mjukuu wa kwanza?
Nilichosema ndicho sahihiAisee..sijakupata vizuri. Siyo wanawake ndiyo wana hizo mila
Haya yatabaki kuwa maoni yako tu...Whatever the case 3 children should be a maximum for everybody
Kwa hiyo msibani waliaga watu wote kasoro wajukuu zake? Mengi alivyokua anampenda Roodney aache kuwataja wajukuu zake popote???Nani kakuambia Mzee Mengi kafariki bila ya wajukuu?? Mtoto wake Rodney Motie Mengi,alifariki mwaka 2005 akiwa na watoto 2 kama sio 3, sema Regina ndiyo hataki kuzaa may be. Huyu mwingine Abdul nadhani ana watoto,sema jamaa is very cool hana mishe kabisa!
Huyo mtoto wa pili wataka kumpata kibahati mbaya ama ushapata mume?
Na huyo mume itabidi umwangalie vizuri asije akala kuku na mayai yake maana ushasema mtoto keshavunja ungo tayari.
Kabisa mkuu mzee wangu alizaa wakwake akiwa na miaka 65 hiyo ilikua mwaka 2008 sasa hivi ka dogo ndio kanampa kampani na kumchangamsha
wakati huo huo kaka zangu wakubwa wana watoto wakubwa mbali sana kama gape la miaka 25 na haka kadogo ketu ka mwisho
[emoji3][emoji3]kwamba unawaona wajinga na hawajawahi kuja kukuomba chakula Wala sehemu ya kuwalaza hao watoto. Wala hawajawahi kukuomba ada.mimi mtu anayezaa zaidi ya watoto 3 katika dunia ya sasa naona kama amekosa akili. zamani watu walikuwa wakizaa mitoto mingi kwa sababu elimu na njia za uzazi wa mpango kulikuwa hakuna, sasa hivi zipo tele, mtoto pia alikuwa akitumika kama rasilimali ya kulima shamba na kuchunga mifugo, saa hivi mtoto anatakiwa alishwe, avalishwe na asomeshwe na utengeneze future nzuri kwa kuwekeza sio waje kutembea juani wakisaka ajira
Nailed it matatizo ya kwake na sehemu aliyopo ana generalize kwamba ni tatizo la watu wote.Huku kwetu vijijini tuna uwezo huo, chakula tele mashamba na hata nguvu pendwa uhakika... huko mjini dhiki nyingi chumba kimoja cha kupanga unadhani wote tunaishi hivyo?
[emoji3][emoji3][emoji2960] kumbe mtoa mada ana weak facts kiasi hikiKujisaidia haja kubwa pia ni natural process. Je, unaweza kujisaidia mbele ya watoto wako?
Kuna watu humu JF hawana dini na wengine wana dini tofauti na yakoMada haina uhusiano wowote na maisha yangu, sio vizuri kuleta mada ambazo tayari dini ishaweka wazi kwenye kitabu kitakatifu.,
Hizo zote ni natural processes. Huna hoja mkuuKuzaa unakufananisha na kujisaidia haja kubwa...!?