Bado kuna wazazi wanaendelea kuzaa hata baada ya mtoto wao wa kwanza kuolewa? Mtoto wa mwisho analingana na mjukuu wa kwanza? Huku ni kukosa maadili

Bado kuna wazazi wanaendelea kuzaa hata baada ya mtoto wao wa kwanza kuolewa? Mtoto wa mwisho analingana na mjukuu wa kwanza? Huku ni kukosa maadili

Nature hii hii inayokufanya uzalishe more than a thousand sperms per mshindo?
Mbona hutoi watoto wengi kama samaki ama chura per pregnancy?

Tumeumbwa kuyatawala mazingira (nature) na sio kinyume chake!
Naona Sasa umeanza kujifananisha na samaki😂😂
Ila usisahau huna asili ya samaki. Acha samaki aitwe samaki.
 
lakini watoto wa uzeeni ndio huwafariji wazee baada ya wakubwa wote kuanza maisha yao na isitoshe siku hizi utamaduni wa kuwaachia wazee wajukuu wawalee ni kama unakufa, kheri hiyo kidogo inawaondolea upweke ndani ya nyumba
Kabisa mkuu mzee wangu alizaa wakwake akiwa na miaka 65 hiyo ilikua mwaka 2008 sasa hivi ka dogo ndio kanampa kampani na kumchangamsha

wakati huo huo kaka zangu wakubwa wana watoto wakubwa mbali sana kama gape la miaka 25 na haka kadogo ketu ka mwisho
 
Binafsi mimi nisingezaa tena! Ningesubiri wajukuu!

Hao ningewafanya wanangu na pia kwa mzazi kupata Mjukuu ukiwa bado na nguvu basi ni kama baraka!

It’s like getting a second chance to create a whole human being again, kwa kutumia ujuzi na makosa ya zamani kufanya bora zaidi!
coach, maneno ya mwenye kushiba hayo!! mtoto ana raha yake asikwambie mtu; isitoshe kuna wimbi la wazazi wasiotaka au kupenda watoto wao kulelewa na mabibi siku hizi......ungelipata tabu na majuto.
 
Mkuu, ni sahihi mtoto wa mwisho akalingana na mjukuu wa kwanza?
Sio kulingana tu, hata akazidiwa kabisa na hiyo kwetu ndivyo ilivyo na wala hamna tatizo dogo wa mwisho kazidiwa miaka mingi sana na mjukuu wa kwanza wa mzee

Nafikiri hayo maadili umejitungia mwenyewe kichwani kwako

Na mimi namuunga mkono mzee wangu ntafyatua mpaka nifikie idadi ya watoto wake au nimzidi kabisa

Kwetu tupo watoto kumi na mbili saba wa kiume watano wa kike na wa mwisho alizaliwa mwaka 2008 you never know mzee anaweza akafanya yake tena maana Ng'ombe hazeeki maini.
 
Bado wapo wazazi wa namna hiyo..
Huku madongoporomoka kwetu kuna mwanamama amezaa sawa na mwanae baada ya kuolewa..na bado Sasa hivi kajibebea mimba nyingine.
 
Nani kakuambia Mzee Mengi kafariki bila ya wajukuu?? Mtoto wake Rodney Motie Mengi,alifariki mwaka 2005 akiwa na watoto 2 kama sio 3, sema Regina ndiyo hataki kuzaa may be. Huyu mwingine Abdul nadhani ana watoto,sema jamaa is very cool hana mishe kabisa!
Kwa hiyo msibani waliaga watu wote kasoro wajukuu zake? Mengi alivyokua anampenda Roodney aache kuwataja wajukuu zake popote???
 
Huyo mtoto wa pili wataka kumpata kibahati mbaya ama ushapata mume?
Na huyo mume itabidi umwangalie vizuri asije akala kuku na mayai yake maana ushasema mtoto keshavunja ungo tayari.

Mm ni me na mtoto ni ke sasa hapo hakuna tatizo
 
Kabisa mkuu mzee wangu alizaa wakwake akiwa na miaka 65 hiyo ilikua mwaka 2008 sasa hivi ka dogo ndio kanampa kampani na kumchangamsha

wakati huo huo kaka zangu wakubwa wana watoto wakubwa mbali sana kama gape la miaka 25 na haka kadogo ketu ka mwisho

Hapo mzee kweli alijitahidi 😀
. Watu hawajui tu hizi nyumba wazee wakiachwa peke yao huwa na upweke sana ila akiwa na katoto kakumuweka busy na kuipa nyumba maisha, wazee hufarijika sana
 
mimi mtu anayezaa zaidi ya watoto 3 katika dunia ya sasa naona kama amekosa akili. zamani watu walikuwa wakizaa mitoto mingi kwa sababu elimu na njia za uzazi wa mpango kulikuwa hakuna, sasa hivi zipo tele, mtoto pia alikuwa akitumika kama rasilimali ya kulima shamba na kuchunga mifugo, saa hivi mtoto anatakiwa alishwe, avalishwe na asomeshwe na utengeneze future nzuri kwa kuwekeza sio waje kutembea juani wakisaka ajira
[emoji3][emoji3]kwamba unawaona wajinga na hawajawahi kuja kukuomba chakula Wala sehemu ya kuwalaza hao watoto. Wala hawajawahi kukuomba ada.

Any way hiyo ni kawaida ya watu ambao wanapenda kuiga uzungu na kujiona kuwa wameendelea kumbe wamecopy utamaduni wa watu wengine ambao unasababu wanazozijua wao. Lakini pia inawezekana hauna au hautegemei kuwa na kipato Cha kuwalea hao watoto THEN unajumuisha watu wote as if unauwezo Sawa na wao.

Kwa upande wangu nitazaa watoto nitakao wamudu kuwalea labda sababu zingine zitokee Ila siyo chini ya watano.
 
Acha wivu mleta mada ......unajua uchungu wa mahari wewe.......na je utamu WA tundu?? Kama ujui tuache
 
Back
Top Bottom