Tume yenyewe ni ya CCM tupu na police CCM unatarajia nini Kwa mfano????Tukumbuke Samia aliunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29, tume hii iliundwa tarehe 18 November na kupewa muda wa miezi 3 ambapo Bado takribani saa 24 siku iwadie, kuchunguza na kutoa ripoti hiyo
Ila Nina maswali najiuliza
1. Tume hiyo itatoa idadi halisi ya watu waliouliwa? Au hata hawakutafiti kutaka kujua idadi?
2. Je, tume hiyo itamshauri Samia bila kumwogopa kuwa yeye ndo chanzo cha fujo zile na mauaji?
3 Je tume itamshauri Samia kurudiwa Kwa uchaguzi mkuu, kuwa uchaguzi wa ulaghai wa October 29 ulikuwa utapeli
4. Je tume itamshauri Samia aache kutumia madaraka kukandamiza wapinzani hasa Lissu?
5. Au tume itaamua kuwaangushia chadema jumba bovu?
6. Tume itakuja na majibu yalipo makaburi ya halaiki?
7. Miili ya Watanganyika waliouliwa Iko wapi?
Tume itajibu hili swali?
8. Tume itapendekeza Nini juu ya kuwajibishwa Kwa walioua Watanganyika ambao serikali inawakingia kifua
Je Samia atawajibika yeye binafsi Kwa kujiuzulu?
Najua hapa tume itapendekeza IGP wambura ajiuzulu
9. Tume itapendekeza Nini Kwa fidia Kwa ndugu wa Watanganyika waliouliwa?
10. Tume itashauri tuliendee vipi suala la maridhiano
Au ripoti yenyewe haitatoka hadharani
TUENDELEE KUSUBIRI REPORT YA TUME KANJANJA
Umesema kweli mkuuGuys tume ikiongelea hayo maswala itakuwa inaumiza watu
1. Mwigulu
2. Nchimbi.
Jambo la kufurahisha ni kwamba Kuna mwana tume/wanatume baadhi Kila uchwao HUWENDA wanaripoti kwa aliye wateua hata kabla ya ripoti kamili kufikishwa kwa Samia.
Maoni yangu ni haya
Ikiwa tume haita jibu maswali Yako uliyo uliza itakuwa ni total Westgate of time and resources.
Pia usipo taka watu wa wajibishwe Tena kwa kuwataja majina na vyeo vyao itabidi tume hii miaka ijayo wakamatwe kwa kufuja Mali za umma bila manufaa yoyote
Eeh kumbe kulikuwa na tume?Tukumbuke Samia aliunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29, tume hii iliundwa tarehe 18 November na kupewa muda wa miezi 3 ambapo Bado takribani saa 24 siku iwadie, kuchunguza na kutoa ripoti hiyo
Ila Nina maswali najiuliza
1. Tume hiyo itatoa idadi halisi ya watu waliouliwa? Au hata hawakutafiti kutaka kujua idadi?
2. Je, tume hiyo itamshauri Samia bila kumwogopa kuwa yeye ndo chanzo cha fujo zile na mauaji?
3 Je tume itamshauri Samia kurudiwa Kwa uchaguzi mkuu, kuwa uchaguzi wa ulaghai wa October 29 ulikuwa utapeli
4. Je tume itamshauri Samia aache kutumia madaraka kukandamiza wapinzani hasa Lissu?
5. Au tume itaamua kuwaangushia chadema jumba bovu?
6. Tume itakuja na majibu yalipo makaburi ya halaiki?
7. Miili ya Watanganyika waliouliwa Iko wapi?
Tume itajibu hili swali?
8. Tume itapendekeza Nini juu ya kuwajibishwa Kwa walioua Watanganyika ambao serikali inawakingia kifua
Je Samia atawajibika yeye binafsi Kwa kujiuzulu?
Najua hapa tume itapendekeza IGP wambura ajiuzulu
9. Tume itapendekeza Nini Kwa fidia Kwa ndugu wa Watanganyika waliouliwa?
10. Tume itashauri tuliendee vipi suala la maridhiano
Au ripoti yenyewe haitatoka hadharani
TUENDELEE KUSUBIRI REPORT YA TUME KANJANJA
Hiyo tưme hata ikifanya kazi kwa robo ya ukweli taarifa yake badiTukumbuke Samia aliunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29, tume hii iliundwa tarehe 18 November na kupewa muda wa miezi 3 ambapo Bado takribani saa 24 siku iwadie, kuchunguza na kutoa ripoti hiyo
Ila Nina maswali najiuliza
1. Tume hiyo itatoa idadi halisi ya watu waliouliwa? Au hata hawakutafiti kutaka kujua idadi?
2. Je, tume hiyo itamshauri Samia bila kumwogopa kuwa yeye ndo chanzo cha fujo zile na mauaji?
3 Je tume itamshauri Samia kurudiwa Kwa uchaguzi mkuu, kuwa uchaguzi wa ulaghai wa October 29 ulikuwa utapeli
4. Je tume itamshauri Samia aache kutumia madaraka kukandamiza wapinzani hasa Lissu?
5. Au tume itaamua kuwaangushia chadema jumba bovu?
6. Tume itakuja na majibu yalipo makaburi ya halaiki?
7. Miili ya Watanganyika waliouliwa Iko wapi?
Tume itajibu hili swali?
8. Tume itapendekeza Nini juu ya kuwajibishwa Kwa walioua Watanganyika ambao serikali inawakingia kifua
Je Samia atawajibika yeye binafsi Kwa kujiuzulu?
Najua hapa tume itapendekeza IGP wambura ajiuzulu
9. Tume itapendekeza Nini Kwa fidia Kwa ndugu wa Watanganyika waliouliwa?
10. Tume itashauri tuliendee vipi suala la maridhiano
Au ripoti yenyewe haitatoka hadharani
TUENDELEE KUSUBIRI REPORT YA TUME KANJANJA
Ongezea na hayaTukumbuke Samia aliunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29, tume hii iliundwa tarehe 18 November na kupewa muda wa miezi 3 ambapo Bado takribani saa 24 siku iwadie, kuchunguza na kutoa ripoti hiyo