Bado mpaka sasa kamba za kushikia mtu zijapatikana au mnazo.

Bado mpaka sasa kamba za kushikia mtu zijapatikana au mnazo.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Sasa hivi hii December tunao juwana idarani mbona sikukuu zote tutasikia mabaraza yote kila mkubwa anayoitisha

kuna baraza la sikuu jipya linakuja kutoa taamko.
 
Hali ni tete, watu hawalali..... Likizo itakua doubled next year ila kwa sasa mambo yatulizwe kwanza...


Pray and Fight for our country, Tanganyika
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Hata mashekhe ubwabwa nao wanajuta pilau la x mas na mwaka mpya limeingia mainzii wamekosa pa kwenda kudoea.
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Back
Top Bottom