Bado Mungu anazungumza na Taifa la Tanzania kuelekea 2025

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Najuwa kelele ni nyingi kila Kona, kila chawa na kila mlamba asali 5 tena.
Ila nataka kuwakumbusha kama vile hamkujuwa yule ajaye na yule aondokaye ndivyo itakavyo kuwa 2025.
Kama Taifa mtajifunza kwa Yale yametokea nakufanya uwamuxi ulio sahihi kwa uhai na afya la Taifa.
Mtachaguwa 5 tena au busara ktk 5 tena.
5 tena ni sunami inayokuja na kama Taifa mtajifunza kwa Yale yametokea nakufanya uchaguzi sahihi mtaliponya Taifa.
Ipo njia inaonekana kuwa njema mbele ya Taifa ila mwisho ni kiama.
Kama Taifa lilikutana na msiba na nyie mwautumia msiba kufanya kile sio mapenzi ya Mungu basi kumbukeni hata misaafu. Yakuwa Taifa lisilo na vision basi Hilo huwangamia je Nini vision ya Taifa kabla ya msiba? Bado Mungu anazungumza na Taifa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤐🙏🙏🙏

View: https://m.youtube.com/watch?v=UJZylxUq074
 
Mwandiko tu unaonyesha wewe lafa kiasi gani. ila JF ina viumbe vya ajabu kweli!
 
Mkuu somo la leokwenye lesson linasemaje?
 
NAAMINI WAMESIKIA ILA SINA UHAKIKA KM WAMEELEWA
 
Mwandiko tu unaonyesha wewe lafa kiasi gani. ila JF ina viumbe vya ajabu kweli!
Ujumbe wa mleta mada umeeleweka kwa wote wenye uelewa.

Haya yaliwahi kusemwa na yule mtabiri maarufu wa Zimbabwe kuwa mama apumzike, akilazimisha, itamzorotesha afya yake. Hakuna ajuaye ukweli wa hizi tabiri.

Lakini kutokana na kelele na hasira nyingi, hasa kutokana na alichokitenda dhidi ya rasilimali za Tanganyika na upendeleo kwa Zanzibar na anavyowalinda mafisadi, ni busara kwake angepumzika. Asiwaamini machawa, wanampotosha. Sauti dhidi yake siyo njema. Jana nimeshuhudia viongozi wawili wa chama chake wa wilaya wakimsema vibaya sana kwa mambo hayo matatu.
 
Najuwa kelele ni nyingi kila Kona, kila chawa na kila mlamba asali 5 tena.
Ila nataka kuwakumbusha kama vile hamkujuwa yule ajaye na yule aondokaye ndivyo itakavyo kuwa 2025.
Kama Taifa mtajifunza kwa Yale yametokea nakufanya uwamuxi ulio sahihi kwa uhai na afya la Taifa.
Mtachaguwa 5 tena au busara ktk 5 tena.
5 tena ni sunami inayokuja na kama Taifa mtajifunza kwa Yale yametokea nakufanya uchaguzi sahihi mtaliponya Taifa.
Ipo njia inaonekana kuwa njema mbele ya Taifa ila mwisho ni kiama.
Kama Taifa lilikutana na msiba na nyie mwautumia msiba kufanya kile sio mapenzi ya Mungu basi kumbukeni hata misaafu. Yakuwa Taifa lisilo na vision basi Hilo huwangamia je Nini vision ya Taifa kabla ya msiba? Bado Mungu anazungumza na Taifa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤐🙏🙏🙏
Upuuzi tu.. uchaguzi nani. Aende bila tume huru

Nyie endelea kutengenezea tume yenu endelea kujipa ushindi hewa
Sisi tunamwonba baba Yetu wa Mbiguni

Ipo siku mtakwama tu na mtarudi kuja kutubembeleza
 
Najuwa kelele ni nyingi kila Kona, kila chawa na kila mlamba asali 5 tena.
Ila nataka kuwakumbusha kama vile hamkujuwa yule ajaye na yule aondokaye ndivyo itakavyo kuwa 2025.
Kama Taifa mtajifunza kwa Yale yametokea nakufanya uwamuxi ulio sahihi kwa uhai na afya la Taifa.
Mtachaguwa 5 tena au busara ktk 5 tena.
5 tena ni sunami inayokuja na kama Taifa mtajifunza kwa Yale yametokea nakufanya uchaguzi sahihi mtaliponya Taifa.
Ipo njia inaonekana kuwa njema mbele ya Taifa ila mwisho ni kiama.
Kama Taifa lilikutana na msiba na nyie mwautumia msiba kufanya kile sio mapenzi ya Mungu basi kumbukeni hata misaafu. Yakuwa Taifa lisilo na vision basi Hilo huwangamia je Nini vision ya Taifa kabla ya msiba? Bado Mungu anazungumza na Taifa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤐🙏🙏🙏
Kwa hali ilipo na alivyo ni lazima yatokee. Ila ajaye hata hatajwi popote.
 
Vision kabla ya msiba haikuwa kuuza bandari zetu Wala Kugawa misitu na bahari Kwa wageni.

Sasa hiyo GIA ya angani imekuja vp?

Tusubiri!!
 
ndivyo itakavyo kuwa 2025.
Kama Taifa mtajifunza kwa Yale yametokea nakufanya uwamuzi ulio sahihi kwa uhai na afya la Taifa.

Mtachaguwa 5 tena au busara ktk kufanya uchaguzi sahihi mtaliponya Taifa.
Ipo njia inaonekana kuwa njema mbele ya Taifa ila mwisho ni kiama.

Bado Mungu anazungumza na Taifa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤐🙏🙏🙏
Nikweli Mkuu TumainiEl,
naunga mkono hoja, Tanzania ni taifa la Mungu hivyo nina imani bado Mungu anazungumza na Taifa letu kupitia sauti yake kwenye ushauri wa sauti tulizo sikia, hivyo usiwe na shaka kabisa na utendaji wa Mungu, kwani baada ya kusikilizishwa nasi tumesikilizisha tumeisha kupitia ushauri wa sauti HII
Tumemshauri kuwa na yeye pia ataambiwa kupitia hizo hizo sauti, tumemshauri akiisikia, aitike wito, tatizo Mungu naye, sometimes sijui vipi, anaifanya mioyo yao kuwa migumu kama Farao kule Misri, mwisho wa siku anafanya yake!.
P
 
Back
Top Bottom