Bado Mungu anazungumza na Taifa la Tanzania kuelekea 2025

Kwenye ushauri wa sauti
Usiwe na shaka, tumeisha mshauri kwa sauti HII
Tumemshauri akiisikia, aitike wito, tatizo Mungu nae, sometimes sijui vipi, anaifanya mioyo yao kuwa migumu kama Farao kule Misri, mwisho wa siku anafanya yake!.
P
[/QUOTE]
(Isaiah 6:9-10)
 
tumpe nani Sasa ??, maana kila niki tazama sioni angalau mwanga wa tumaini !.

Jpm Ali pewa mitano tu, alipo jaribu jiongezea, aka lambishwa pipi ya panya.

mpango alipo upata umakamu, aka jaribu kukoroma kidogo. Ila naye waka amua kumkumbusha hapo tume kuazima tu.

haya tuli furahi mlipo tuondolea maembe, maana ni rasmi wazee wa tabasamu wange simika mizizi!!.

nauliza nani nani atufaae!!, awe kinyume na wadhalimu. nani atakuwa kidume 2025!
 
Mlawi!!
 
Najuwa kelele ni nyingi kila Kona, kila chawa na kila mlamba asali 5 tena.
Ila nataka kuwakumbusha kama vile hamkujuwa yule ajaye na yule aondokaye ndivyo itakavyo kuwa 2025.
Kama Taifa mtajifunza kwa Yale yametokea nakufanya uwamuxi ulio sahihi kwa uhai na afya la Taifa.
Mtachaguwa 5 tena au busara ktk 5 tena.
5 tena ni sunami inayokuja na kama Taifa mtajifunza kwa Yale yametokea nakufanya uchaguzi sahihi mtaliponya Taifa.
Ipo njia inaonekana kuwa njema mbele ya Taifa ila mwisho ni kiama.
Kama Taifa lilikutana na msiba na nyie mwautumia msiba kufanya kile sio mapenzi ya Mungu basi kumbukeni hata misaafu. Yakuwa Taifa lisilo na vision basi Hilo huwangamia je Nini vision ya Taifa kabla ya msiba? Bado Mungu anazungumza na Taifa
 
tumpe nani Sasa ??, maana kila niki tazama sioni angalau mwanga wa tumaini !.

Jpm Ali pewa mitano tu, alipo jaribu jiongezea, aka lambishwa pipi ya panya.

mpango alipo upata umakamu, aka jaribu kukoroma kidogo. Ila naye waka amua kumkumbusha hapo tume kuazima tu.

haya tuli furahi mlipo tuondolea maembe, maana ni rasmi wazee wa tabasamu wange simika mizizi!!.

nauliza nani nani atufaae!!, awe kinyume na wadhalimu. nani atakuwa kidume 2025!
Yupo kati yetu
 
Ah
Tanzania itakuwa Taifa takatifu, Nchi ya AGANO,

Mungu atainua kiongozi mkuu ambaye atasema hadharani kuwa Yesu ni BWANA Mungu.( Aliyeokoka).

Nuru kuu itaonekana Tanzania na mataifa yakakuja kuitafuta na kuifurahia Nuru hiyo, hivyo Utalii utaongezeka mara dufu.

Umebarikiwa sana Nyikani.

Amen
Sipo katika misingi ya kisiasa lakini naamini tanzania ni nchi ya AGANO, Ipo saa mataifa wataikimbilia!, Amein.
 
Huu unabii wa huyo Mtumishi wa Mungu, utaanza kuwatia kiwewe hawa maccm dulumati!

Hakika Taifa hili Mungu analisimamia Kwa Karibu sana na atamteua Mtumishi wake, Ili aliongoze Taifa hili Kwa haki na kuwarejejeshea watanganyika raslimali zao zilizoporwa na kukabidhiwa waarabu!

Hayo tunaanza kuyaona yakitokea nchini Tanzania

Mungu ibariki Tanzania
 
Najuwa kelele ni nyingi kila Kona, kila chawa na kila mlamba asali 5 tena.
Ila nataka kuwakumbusha kama vile hamkujuwa yule ajaye na yule aondokaye ndivyo itakavyo kuwa 2025.
Kama Taifa mtajifunza kwa Yale yametokea nakufanya uwamuxi ulio sahihi kwa uhai na afya la Taifa.
Mtachaguwa 5 tena au busara ktk 5 tena.
5 tena ni sunami inayokuja na kama Taifa mtajifunza kwa Yale yametokea nakufanya uchaguzi sahihi mtaliponya Taifa.
Ipo njia inaonekana kuwa njema mbele ya Taifa ila mwisho ni kiama.
Kama Taifa lilikutana na msiba na nyie mwautumia msiba kufanya kile sio mapenzi ya Mungu basi kumbukeni hata misaafu. Yakuwa Taifa lisilo na vision basi Hilo huwangamia je Nini vision ya Taifa kabla ya msiba? Bado Mungu anazungumza na Taifa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤐🙏🙏🙏

View: https://m.youtube.com/watch?v=UJZylxUq074

Ndiyo. Au una jibu lako mfukoni? Ka jk alivyokuwa na jina la membe mfukono wakati ule?
 
Najuwa kelele ni nyingi kila Kona, kila chawa na kila mlamba asali 5 tena.
Ila nataka kuwakumbusha kama vile hamkujuwa yule ajaye na yule aondokaye ndivyo itakavyo kuwa 2025.
Kama Taifa mtajifunza kwa Yale yametokea nakufanya uwamuxi ulio sahihi kwa uhai na afya la Taifa.
Mtachaguwa 5 tena au busara ktk 5 tena.
5 tena ni sunami inayokuja na kama Taifa mtajifunza kwa Yale yametokea nakufanya uchaguzi sahihi mtaliponya Taifa.
Ipo njia inaonekana kuwa njema mbele ya Taifa ila mwisho ni kiama.
Kama Taifa lilikutana na msiba na nyie mwautumia msiba kufanya kile sio mapenzi ya Mungu basi kumbukeni hata misaafu. Yakuwa Taifa lisilo na vision basi Hilo huwangamia je Nini vision ya Taifa kabla ya msiba? Bado Mungu anazungumza na Taifa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤐🙏🙏🙏

View: https://m.youtube.com/watch?v=UJZylxUq074

Mungu anazungumza na Taifa. Mungu anazungumza na Watanzania bara na visiwani. Je hamuoni yakuwa yale yatatukia 2025 bado mnashindana na Mungu? Haya
 
Huyo Mungu kama hayo ndio mazungumzo yake nadhani sio mimi tu bali ni wengi ambao hawataki wala hawahitaji kuyasikia.....

Ifike wakati tutenganishe fact, upuuzi na uzembe, tukiendelea na Imani potofu basi kila kitu tutakipa justification according to tupo upande gani....
 
Back
Top Bottom