Bado Mungu anazungumza na Taifa la Tanzania kuelekea 2025

Kwenye ushauri wa sauti
Usiwe na shaka, tumeisha mshauri kwa sauti HII
Tumemshauri akiisikia, aitike wito, tatizo Mungu nae, sometimes sijui vipi, anaifanya mioyo yao kuwa migumu kama Farao kule Misri, mwisho wa siku anafanya yake!.
P
[/QUOTE]
(Isaiah 6:9-10)
 
tumpe nani Sasa ??, maana kila niki tazama sioni angalau mwanga wa tumaini !.

Jpm Ali pewa mitano tu, alipo jaribu jiongezea, aka lambishwa pipi ya panya.

mpango alipo upata umakamu, aka jaribu kukoroma kidogo. Ila naye waka amua kumkumbusha hapo tume kuazima tu.

haya tuli furahi mlipo tuondolea maembe, maana ni rasmi wazee wa tabasamu wange simika mizizi!!.

nauliza nani nani atufaae!!, awe kinyume na wadhalimu. nani atakuwa kidume 2025!
 
Mlawi!!
 
 
Yupo kati yetu
 
Ah Sipo katika misingi ya kisiasa lakini naamini tanzania ni nchi ya AGANO, Ipo saa mataifa wataikimbilia!, Amein.
 
Huu unabii wa huyo Mtumishi wa Mungu, utaanza kuwatia kiwewe hawa maccm dulumati!

Hakika Taifa hili Mungu analisimamia Kwa Karibu sana na atamteua Mtumishi wake, Ili aliongoze Taifa hili Kwa haki na kuwarejejeshea watanganyika raslimali zao zilizoporwa na kukabidhiwa waarabu!

Hayo tunaanza kuyaona yakitokea nchini Tanzania

Mungu ibariki Tanzania
 
Ndiyo. Au una jibu lako mfukoni? Ka jk alivyokuwa na jina la membe mfukono wakati ule?
 
Mungu anazungumza na Taifa. Mungu anazungumza na Watanzania bara na visiwani. Je hamuoni yakuwa yale yatatukia 2025 bado mnashindana na Mungu? Haya
 
Huyo Mungu kama hayo ndio mazungumzo yake nadhani sio mimi tu bali ni wengi ambao hawataki wala hawahitaji kuyasikia.....

Ifike wakati tutenganishe fact, upuuzi na uzembe, tukiendelea na Imani potofu basi kila kitu tutakipa justification according to tupo upande gani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ