johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tena takataka za kuchoma motoniWote uliowataja hapo ni takataka.
Atakuja usiemdhaniNi katika kuwatia moyo makada wa CCM ndugu zangu January Makamba, Dr Nchimbi na Mwigullu Nchemba kwamba wawe na subra nafasi bado zipo.
Bado kuna nafasi ya Katibu mkuu wa CCM iko wazi.
Kadhalika imejitokeza nafasi nyingine nyeti ya Waziri wa fedha.
Ila na nyie muachane na hayo makundi yenu ya urais kwa sababu 2030 bado ni mbali sana!
Maendeleo hayana vyama!
Sasa ndugu mwandishi unamtaka Dotto James au unawataka hawa wengine ?Ni katika kuwatia moyo makada wa CCM ndugu zangu January Makamba, Dr Nchimbi na Mwigullu Nchemba kwamba wawe na subra nafasi bado zipo.
Bado kuna nafasi ya Katibu mkuu wa CCM iko wazi.
Kadhalika imejitokeza nafasi nyingine nyeti ya Waziri wa fedha.
Ila na nyie muachane na hayo makundi yenu ya urais kwa sababu 2030 bado ni mbali sana!
Maendeleo hayana vyama!
Kwa nyakati hizi Zitto Kabwe alipaswa kuwemo serikalini!Tungekuwa na katiba inayoruhusu uundwaji wa Serikali ya pamoja na vyama vya upinzani basi kuna majenbe mazuri mno yapo yametulia tu huko!!
Ni wana CCM!yani hao uliwataja ndiyo mnawaaminia sana huko CCM [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Dotto apewe tu ofa ya ubunge kama akina Halima James Mdee!Sasa ndugu mwandishi unamtaka Dotto James au unawataka hawa wengine ?
Hahahaaaa....... Ndio wanatamani sana madaraka bwashee!yani hao uliwataja ndiyo mnawaaminia sana huko CCM 🤣 🤣 🤣
Mimi ndo sipo hapoNi katika kuwatia moyo makada wa CCM ndugu zangu January Makamba, Dr Nchimbi na Mwigullu Nchemba kwamba wawe na subra nafasi bado zipo.
Bado kuna nafasi ya Katibu mkuu wa CCM iko wazi.
Kadhalika imejitokeza nafasi nyingine nyeti ya Waziri wa fedha.
Ila na nyie muachane na hayo makundi yenu ya urais kwa sababu 2030 bado ni mbali sana!
Maendeleo hayana vyama!
Halima Mdee au SilindeAtakuja usiemdhani
Hawawezi kupata, VP Mpango ndiyo atapendekeza mrithi wake na mama atamsikiliza, wale wanamtandao wasahau kabisa, wamejiharibia wenyeweNi katika kuwatia moyo makada wa CCM ndugu zangu January Makamba, Dr Nchimbi na Mwigullu Nchemba kwamba wawe na subra nafasi bado zipo.
Bado kuna nafasi ya Katibu mkuu wa CCM iko wazi.
Kadhalika imejitokeza nafasi nyingine nyeti ya Waziri wa fedha.
Ila na nyie muachane na hayo makundi yenu ya urais kwa sababu 2030 bado ni mbali sana!
Maendeleo hayana vyama!
JambaziKatibu Mkuu wampe Makonda!! anakijua chama nje ndani.
Kama mnashindwa kumtambua rais aliyeko madarakani na kukubaliana na miradi ya kimkakati mmebaki kupinga nani atawapa ushirikiano.Tungekuwa na katiba inayoruhusu uundwaji wa Serikali ya pamoja na vyama vya upinzani basi kuna majenbe mazuri mno yapo yametulia tu huko!!