shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Mwanry kuwa katibu mkuu CCM
Ni katika kuwatia moyo makada wa CCM ndugu zangu January Makamba, Dr Nchimbi na Mwigullu Nchemba kwamba wawe na subra nafasi bado zipo.
Bado kuna nafasi ya Katibu mkuu wa CCM iko wazi.
Kadhalika imejitokeza nafasi nyingine nyeti ya Waziri wa fedha.
Ila na nyie muachane na hayo makundi yenu ya urais kwa sababu 2030 bado ni mbali sana!
Maendeleo hayana vyama!