In short wote wapitie mafaili yai confidential a wanayo kuanzia utendaji , ufisadi insubirdination , kuunda mitandao,Kutoheshimu katiba ya CCM eg Mwigulu hajafuta maandishi ya Chagua Mwigulu 2015 kwenye mawe nchi nzima wakati chama hata kilikuwa hakijamteua mgombea kachafua mawe nchi nzima barabarani halmashauri ilitakiwa wamdai kodi ya mabango
Hao wengine wanajijua .Nchimbi anajijua na ufisadi wane na Lowasa wake akiwa vijana
Makamba ni mtu wa business as usual sii mbunifu ni mtu tu wa mifaili nayo hata utendaji hawezi .Mifuko ya Plastic alipewa assignment ndogo alishindwa kuimaliza
Wawejezaji walikuwa hadi wakiondona kwa umangi meza wake wa kufanya impact eniroment assesment hadi watoe pesa ndio aidhinishe hana spidi kwenye maaumuzi na ni laizer faire fulani hivi spi ya kazi hana