shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Ni katika kuwatia moyo makada wa CCM ndugu zangu January Makamba, Dr Nchimbi na Mwigullu Nchemba kwamba wawe na subra nafasi bado zipo.
Bado kuna nafasi ya Katibu mkuu wa CCM iko wazi.
Kadhalika imejitokeza nafasi nyingine nyeti ya Waziri wa fedha.
Ila na nyie muachane na hayo makundi yenu ya urais kwa sababu 2030 bado ni mbali sana!
Maendeleo hayana vyama!
Ni jambo jema!Mwanry kuwa katibu mkuu ccm
Rais ambaye hata kusimamia kwa HAKI na USAWA zoezi dogo tu la kuchaguana kwa HAKI hawezi - HAKI ni suala muhimu sana kwa binadamu - hata nyumbani kwako kajaribu kuondoa neno HAKI then uone kitakachokutokea after sometime.Kama mnashindwa kumtambua rais aliyeko madarakani na kukubaliana na miradi ya kimkakati mmebaki kupinga nani atawapa ushirikiano. Badilikeni vinginevyo mtasubiri sana, Wazanzibari wamegundua kuwa siasa zimewachelewesha sasa hawataki tena vurugu za kisiasa. Umeona jana uchaguzi kule ACT kachukua na bado vyama vyote vimekubali matoke kwa maslahi ya zanzibar, lakini kwa siasa za bara mpaka upinzani ujifunze.
Nimekuelewa mkuu!In short wote wapitie mafaili yai confidential a wanayo kuanzia utendaji , ufisadi insubirdination , kuunda mitandao,Kutoheshimu katiba ya CCM eg Mwigulu hajafuta maandishi ya Chagua Mwigulu 2015 kwenye mawe nchi nzima wakati chama hata kilikuwa hakijamteua mgombea kachafua mawe nchi nzima barabarani halmashauri ilitakiwa wamdai kodi ya mabango
Hao wengine wanajijua .Nchimbi anajijua na ufisadi wane na Lowasa wake akiwa vijana
Makamba ni mtu wa business as usual sii mbunifu ni mtu ti wa mifaili nayo hata utendaji hawezi .Mifuko ya Plastic alipewa assignment ndogo alishindwa kuimaliza
wawejezaji walikuwa hadi wakiondona kwa umangi meza wake wa kufanya impact eniroment assesment hadi watoe pesa ndio aidhinishe hana spidi kwenye maaumuzi na ni laizer faire fulani hivi spi ya kazi hana
Tungekuwa na katiba inayoruhusu uundwaji wa Serikali ya pamoja na vyama vya upinzani basi kuna majenbe mazuri mno yapo yametulia tu huko!!
Basi kafute ule uzi wako unaompigia debe .Dotto apewe tu ofa ya ubunge kama akina Halima James Mdee!
Hasa PMKwa nyakati hizi Zitto Kabwe alipaswa kuwemo serikalini!
Ni wana ccm!
hawawezi kupata, VP Mpango ndiyo atapendekeza mrithi wake na mama atamsikiliza, wale wanamtandao wasahau kabisa, wamejiharibia wenyewe
Wewe unateseka Dotto akipewa kifuta jasho cha ubunge?Basi kafute ule uzi wako unaompigia debe .
Huna hoja , unatujazia ujinga tuWewe unateseka Dotto akipewa kifuta jasho cha ubunge?
Mbona Nusrat Henje kapewa!!!
Tayari makamu mtarajiwa kashatuita WANYONGE [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]Tunahitaji mtu ambaye ana experience na masuala ya fedha , hatuitaji politician , hatuhutaji kuitwa wanyonge tena, hatuhitaji kuitwa maskini tena, mana watu wanakutwa na viroba vya dola majumbani, tunahitaji watu ambao hawatalamba viatu vya mteuzi ila atapiga kazi, kusifu na kuabudu tumezika rasmi tarehe 26.
Tungekuwa na katiba inayoruhusu uundwaji wa Serikali ya pamoja na vyama vya upinzani basi kuna majenbe mazuri mno yapo yametulia tu huko!!
Kwa nyakati hizi Zitto Kabwe alipaswa kuwemo serikalini!
Kikwazo kipo - unatakiwa uikane ilani yako na utekeleze ya wenzako!! Kuikana ilani ni sawa na kukikana chama chako!! Usaliti ni dhambi kubwa!!Katiba haina kikwazo kuwachagua wapinzani serikalini, ndio maana unamuona Anna Mgwhira RC Kilimanjaro. Aliteuliwa kabla hajahama hata ACT