CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Habari wakuu.
Naomba niwaeleze ukweli, japo ukweli ni mchungu.
Bado NALIA na kamati ya usajili ya Simba. Simba bado ni underdog kwa YANGA.
Tunawachezaji Baadhi wa KIMATAIFA nadhani uongozi uwaangalie kwa jicho la tatu.
1. Peter Banda.
2. Mohamed Ottara
3. Dejan aliyeondoka.
4. Okwa Nelson.
5.victor Akpan.
Hawa ni wachezaji wa kigeni ambao mchango/msaada wao ni MDOGO. Nadhani dirisha lijalo wapukutishwe wote.
2. Simba haina namba 6CDM baada ya kuumia na kuondoka kwa Thadeo Lwanga.
3. Simba inahitaji beki mzuri wa pembeni wa KIMATAIFA anayeweza kucheza kulia ama kushoto. Backup ya Shomari na Shabalala.
4. Simba haina mshambuliaji wa asili No 9 kama ilivyokuwa Mugalu au Kagere wa kusaidiana na Phili.
5. Wajitahidi kusajili wachezaji wenye urefu zaidi ya Foot 6, tuna wachezaji wafupi mno. Linapokuja suala la matumizi ya NGUVU na mipira ya juu tupo hovyo. Tofauti na zamani tulipokuwa na Lwanga na akina Mugalu.
Naomba kuwaailisha, mnifikishie kwenye uongozi wa SIMBA.
IRP Zacharia Hancepope.