Bado nalia na Kamati ya Usajili ya Simba, kushinda michezo ya kimataifa kusitusahaulishe

Bado nalia na Kamati ya Usajili ya Simba, kushinda michezo ya kimataifa kusitusahaulishe

Habari wakuu.

Naomba niwaeleze ukweli, japo ukweli ni mchungu.

Bado NALIA na kamati ya usajili ya Simba. Simba bado ni underdog kwa YANGA.

Tunawachezaji Baadhi wa KIMATAIFA nadhani uongozi uwaangalie kwa jicho la tatu.
1. Peter Banda.
2. Mohamed Ottara
3. Dejan aliyeondoka.
4. Okwa Nelson.
5.victor Akpan.

Hawa ni wachezaji wa kigeni ambao mchango/msaada wao ni MDOGO. Nadhani dirisha lijalo wapukutishwe wote.

2. Simba haina namba 6CDM baada ya kuumia na kuondoka kwa Thadeo Lwanga.

3. Simba inahitaji beki mzuri wa pembeni wa KIMATAIFA anayeweza kucheza kulia ama kushoto. Backup ya Shomari na Shabalala.

4. Simba haina mshambuliaji wa asili No 9 kama ilivyokuwa Mugalu au Kagere wa kusaidiana na Phili.

5. Wajitahidi kusajili wachezaji wenye urefu zaidi ya Foot 6, tuna wachezaji wafupi mno. Linapokuja suala la matumizi ya NGUVU na mipira ya juu tupo hovyo. Tofauti na zamani tulipokuwa na Lwanga na akina Mugalu.

Naomba kuwaailisha, mnifikishie kwenye uongozi wa SIMBA.

IRP Zacharia Hancepope.
HiVi mugalu Bado yupo simba
 
Hebu msikilizeni mtoa mada, anapoint sio rahisi kuigundua kwa Sasa wakati bado tunafuraha. Tukivuka kwenda makundi pia wachezaji imara wanahtajika
 
Hebu msikilizeni mtoa mada, anapoint sio rahisi kuigundua kwa Sasa wakati bado tunafuraha. Tukivuka kwenda makundi pia wachezaji imara wanahtajika
Usajiri ni kama kamali. Ndio maana kuna dirisha dogo la kufanya marekebisho ya usajiri.
Ni vigumu kusajiri wachezaji wazuri watupu.
Fuatilia sajiri zote
 
Aisee...! Yaani Hawa Wazee uliowataja hapo Watachukua namba Ya Nani pale Simba?
Juma Shabani kashakuwa mzee ni mzito sana na Nina hakika baada ya yanga kutolewa CAF CL itaanza kutafuta mbadala.
Aucho alishamaliza Soka la Ushindani Sasa anakula Pensheni.
Kwa mbaali Mayele ndo anaweza kugombea nafasi na Hawa..
Okrah Magic
General Phiri
Shakho etc

Kama Viungo Wenu Wenyewe Ni Akina Mzamiru Na Mkude Tena Wanaanza Kikosi Cha Kwanza, Basi Aucho Na Bangala Wanachukua Namba Mchana Kweupee! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tulia mtoa mada mambo yashaanza kujipa inamaana hujaona namba zote kwa sasa zinajipa zenyeewe??
 
Tulia mtoa mada mambo yashaanza kujipa inamaana hujaona namba zote kwa sasa zinajipa zenyeewe??

Zinajipa kwa Hivi vi timu vidogo vidogo, NENDA mkapambane na Alahally, mazembe, Orlando kaizer nk.

Hiki kikosi hata robo fainali hakiwezi kufika.
 
Back
Top Bottom